Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Uchaguzi 2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

Kwa kwa kuwa umetumia kigezo cha uwezo wake wa darasani na kwa kuwa kigezo hicho kinahusiana na alivyopata elimu yake.

Basi, ni vyema na haki utupe wasifu wake wa kielimu pia, alipita wapi na alikwama wapi kwenye elimu yake.

Ni kawaida sana kwa miaka ya zamani watu kufeli na kurudia, vip Membe kuna historia hiyo?ukipeleka kwa milengo ya aina hiyo ndipo utakapokuwa na haki kusema hakuwa na uwezo darasani au vipi.

Kuna shule zingine, kama Ilboru na Mzumbe za zamani, ilikuwa ngumu sana kuwika kwemye darasa lako, lakini ata mtu asiye 20 bora huko akienda shule nyingine angeweza kuwa kichwa chao, hivyo sio haki kumpima kwa kuangalia tu darasani kwake kama alikuwa kipanga miongoni kwa wenzake lakin kupitia kigezo cha jumla, pote alipopita kuna matokeo ya jumla.

Kuhusu kutowahi kuwa kiongozi kabla hiyo sio kigezo cha udhaifu wake, kuna suala la malengo na mipango, kwamba kwa wakati fulani unataka ujikite zaidi kwenye jambo fulani hivyo jambo lingime unaliachia lipite kwanza.

Kuna watu wengi waliokuwa wanamichezo wazuri lakin hawakuwa wanashiriki umishumta wala umiseta maana ni distraction kwa walichokuwa busy nacho shule.La pili ni debatable pia je uongozi mtu anazaliwa nao au anajifunza?na wataalamu wengi wanakubali kuwa uongozi kama nyanja zingine zozote unafunzwa.

Lakii kingine Plato Myunani wa kale anayeheshimika sana alipata kusema "Wanafalsafa ndio wanaofaa kutawala maana wanasifa kuu mbili muhimu, kwanza wanaweza kutawala lakin pili hawapendi kutawala" akaendelea kusema ni "wapo tofauti na wanasiasa wa kawaida ambao wanapenda kutawala wakati hawawezi kutawala"akasema Jamii Iwatambue watu hao ni iwafor e wachukue uongozi.Hivyo kigezo cha kuwa kiongozu kila ulipopita jambo ni ishara kuwa unapenda uongozi lakini sio ishara kuwa unaweza uongozi au unafaa kuwa kiongozi, maana wanasiasa wa kaqaisa hutaka tu uongozi japo hawana uwezo wa kuongoza.
umemtetea sana ila watanzania tunasema membe ni dhaifu hana jipya zaidi ya kujilambalamba mdomo kuleni ela zake vzuri
 
yericko umenena joka la mdimu halina hadhi ata ya kuwa dc wanamlia ela za rambirambi za hayati ghadafi kina lizabon na gsu na team mdimu...siasa zake za fitina zmefka mwsho

Kizazi cha kikachezo hakitakosa kulilia makechezo wenzake.
 
Bernard Kamilius Membe ni waziri wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, ni mwanachama wa chama cha mapinduzi,

Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika mikono salama ya upadre, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari.

Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili ya kawaida akiwa nyuma ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza kama Bernard mvivu wakusimamiwa kila jambo,

Hayo ni ya Namupa Seminari na Itaga Seminari katika mapito yake kielimu. Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani kidato cha sita, hakuna mahali panapotaja uimara wake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la kishujaa la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote toka kwa wakufunzi wake.
Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa kawaida kabisa ambae hawezi kusonga mbele bila usimamizi wa walimu wake kinyume na wanafunzi wengine,

Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa mwaka mmoja tu akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,

Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama haukuwa wa kutukuka na hakuna kumbukumbu lake na la mfano ndani ya idara kwa ujumla zaidi ya kuwa mmoja ya majasusi wa Tanzania waliopata mafunzo ya mda kuke Scotland Uk, Hakuna mission yoyote aliyowahi kupewa na akaifanya kwa ufanisi wenye kukubalika ndani ya Idara, anamshinda hata Eliamkim Maswi yule wa Escrow ambae yeye alipewa mission ya kuiua NCCR ya Mrema na akafanikiwa kwakujipenyeza mpaka kuwa mbeba mikoba wa Mrema enzi zile na kuizika NCCR MAGEUZI kabisa,

Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha kuwa naibu waziri wa Mashauri ya Ndani, baadae naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha naibu waziri wa Mambo ya Kigeni na sasa ni Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni

Kulegalega kwa Diplomasia ya Tanzania kunatokana na udhaifu wa Bernard Membe katika wizara hii ya mashaiuri ya Kigeni, Diplomasia ya nchi imeshuka na sasa sio Tanzania ile yenye sauti ya UTU.

Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa limeshuhudia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni, ambayo kimsingi ni ufinyu wa maarifa wa Bernard Membe katika kukabiliana nayo,

Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya,

Haya yote yametukia katika uongozi wa Bernard Membe katika wizara inayohusika na mashauri ya Kigeni, lakini hili linatokana na historia ya mtumishi huyu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wala hajawahi kujiongoza yeye mwenyewe,

Je dhamana kubwa kabisa ya Urais wa Jamhuri anaweza ikiwa Wizara tu imemshinda?

Zingatia, Bernard Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu AZALIWE 1953 mpaka 2000 alipoingia kwenye siasa, hivyo uongozi sio kipaji chake!

Una hakika Membe alikuwa naibu waziri Wa mambo ya ndani kuanzia 2000?

Ni vizuri ukatafuta kwanza info zenye ukweli kabla ya kujiabisha hivi.
 
Mwulizeni kwa nini hayuko karibu na viongozi wa Kanisa Katoliki wakati alikuwa mseminari akisomea upadre Kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne seminari ya Namupa na kisha "A" level huko Itaga, Tabora, hadi kuvaa Kanzu Seminari Kuu ya Peramiho, Songea? Kuna nini nyuma ya pazia?

Akiwa ameshavua kanzu na kufanya kazi Ikulu usalama wa taifa kitengo hicho cha ujasusi hayo yakitokea Seminari Kuu Peramiho Bernard Membe alikovaa kanzu ya useminari na kusomea masomo ya awali ya filosofia yanayotangulia teolojia alivua kanzu na kwenda huko kufanya kazi Ikulu na kisha kutokea hayo pale seminari kuu Peramiho. Hayuko karibu kabisa na kanisa lililomsomesha na kumlea hadi awe alivyo na pengine kuna kinachomsumbua alicholifanyia kanisa na kuambua kukaa mbali kabisa.

Kwa macho yangu nikiwa mdogo nasoma shule tukienda kuangalia mpira nilimshuhudia akiwa na Kanzu seminari Kuu Peramiho alikuwa na mazoea kusafiri na timu ya mpira wa miguu ya waseminari akiwa shabiki wa timu hiyo. Alionekana mtulivu sana kama ilivyo kawaida ya waseminari wengine ila hakuonyesha upekee. Kwa waliokuwa karibu naye huko alikosomea Peramiho alionekana kuwa karibu katika kila tukio na kujua kila kinachojilia seminarini, pengine alishakuwa na kazi maalum pale seminarini bila wakubwa wake kujua hadi walipomshtukia baadaye sana.

Kwa maelezo yako bila shaka Membe anafaa, hatutaki watu watakaoebda ikulu kulipa fadhira, hivyo kama kigezo chako ni Membe kulipa fadhira kwa alivyopanda basi ni kiongozi mzuri.

Katika wakati ambao nchu yetu ina uhuru wa kuabudu na haina dini, hatutaki Rais atakayeenda Ikulu na Ukatoliki wake ay Ulutherni wake au Uislamu wake; kama Membe haendi na ukatoliki wake basi ni namna halali ya kwenda Ikulu ili asilipe fadhira huko kama atafika.

Kingine hujamtendea haki Membe wala kanisa katoliki, umeweka kifo cha Padri alafu unawashutumu Mapadre wengine kuhusika na kifo cha Padri mwenzao alafu Membe unamlaumu kwa Mapadre wengine kumuua Padre mwenzao?sasa Membe alikuwa Askofu?hulitendei haki kanisa Katoliki kwa kashfa kubwa ya aina hii.
 
Katila watu tabu kuwatetea ni Membe,huwa naona humu jukwaani buku 7 wake wanavyohanya
 
Kwa maelezo yako bila shaka Membe anafaa, hatutaki watu watakaoebda ikulu kulipa fadhira, hivyo kama kigezo chako ni Membe kulipa fadhira kwa alivyopanda basi ni kiongozi mzuri.

Katika wakati ambao nchu yetu ina uhuru wa kuabudu na haina dini, hatutaki Rais atakayeenda Ikulu na Ukatoliki wake ay Ulutherni wake au Uislamu wake; kama Membe haendi na ukatoliki wake basi ni namna halali ya kwenda Ikulu ili asilipe fadhira huko kama atafika.

Kingine hujamtendea haki Membe wala kanisa katoliki, umeweka kifo cha Padri alafu unawashutumu Mapadre wengine kuhusika na kifo cha Padri mwenzao alafu Membe unamlaumu kwa Mapadre wengine kumuua Padre mwenzao?sasa Membe alikuwa Askofu?hulitendei haki kanisa Katoliki kwa kashfa kubwa ya aina hii.

kp04202015.jpg

Mwelewa na maelezo yangu mwenye upeo na utu atanielewa nyuma ya pazia naongelea nini, lakini kwa mtazamo wako endelea hivyo hivyo lakini ukweli ndio huo, mficha madhambi mwisho humwumbua na tunazidi kushuhudia hayo.
 
Una hakika Membe alikuwa naibu waziri Wa mambo ya ndani kuanzia 2000?

Ni vizuri ukatafuta kwanza info zenye ukweli kabla ya kujiabisha hivi.

Mkuu lusungo,imeandikwa aliingia ubunge mwaka 2000,kwa nilivoelewa hilo la unaibu lilifuata ndo maana kuna koma
 
Bernard Kamilius Membe ni waziri wa Mashauri ya Kigeni nchini Tanzania, ni mwanachama wa chama cha mapinduzi,

Historia ya Membe inaanzia mbali kidogo toka kusini mwa Tanzania katika mikono salama ya upadre, chini ya ukasisi wa Namupa Seminari.

Bernard Kamilius Membe kijana wa kati mwenye uso angavu akiketi dawati la Tatu kutoka kulia, alikuwa mtoto mwenye akili ya kawaida akiwa nyuma ya watoto wenye vipaji shuleni hapo, Kasisi Mariano anamueleza kama Bernard mvivu wakusimamiwa kila jambo,

Hayo ni ya Namupa Seminari na Itaga Seminari katika mapito yake kielimu. Bernard Membe kutoka Darasa la awali hadi High School yani kidato cha sita, hakuna mahali panapotaja uimara wake kiakili darasani wala hakuna tukio lolote la kishujaa la kukumbukwa, iwe katika mitiahani, michezo, uongozi shuleni ama sifa yoyote toka kwa wakufunzi wake.
Kwaujumla alikuwa ni mwanafunzi wa kawaida kabisa ambae hawezi kusonga mbele bila usimamizi wa walimu wake kinyume na wanafunzi wengine,

Mwaka 1978 Membe aliingia kwenye ajira ya serikali akihudumu Ofisi ya Rais Idara ya Usalama wa Taifa kitengo cha uchambuzi wa taarifa za kijasusi, Kazi hiyo amehudumu kwa mwaka mmoja tu akahamishiwa Wizara ya Mashauri ya Kigeni na kwenda Ottawa Canada kuwa mshauri wa Kibalozi kutoka 1992-2000,

Utumishi wake ndani ya Idara ya Usalama haukuwa wa kutukuka na hakuna kumbukumbu lake na la mfano ndani ya idara kwa ujumla zaidi ya kuwa mmoja ya majasusi wa Tanzania waliopata mafunzo ya mda kuke Scotland Uk, Hakuna mission yoyote aliyowahi kupewa na akaifanya kwa ufanisi wenye kukubalika ndani ya Idara, anamshinda hata Eliamkim Maswi yule wa Escrow ambae yeye alipewa mission ya kuiua NCCR ya Mrema na akafanikiwa kwakujipenyeza mpaka kuwa mbeba mikoba wa Mrema enzi zile na kuizika NCCR MAGEUZI kabisa,

Mwaka 2000 aliingia kwenye siasa akawa Mbunge wa Jimbo la Mtama, nakisha kuwa naibu waziri wa Mashauri ya Ndani, baadae naibu Waziri wa Nishati na Madini, na kisha naibu waziri wa Mambo ya Kigeni na sasa ni Waziri kamili wa Mashauri ya Kigeni,

Kulegalega kwa Diplomasia ya Tanzania kunatokana na udhaifu wa Bernard Membe katika wizara hii ya mashaiuri ya Kigeni, Diplomasia ya nchi imeshuka na sasa sio Tanzania ile yenye sauti ya UTU.

Katika kipiti cha utmishi wa Bernard Membe ndani ya Wizara taifa limeshuhudia migogoro mikubwa ya Kidiplomasia na mataifa ya kigeni, ambayo kimsingi ni ufinyu wa maarifa wa Bernard Membe katika kukabiliana nayo,

Mathalani Mgogoro na Malawi wa Ziwa Nyasa, Mgogoro na Rwanda, Mgogoro na Kenya, Mgorogoro na Uingeraza, Mgogoro na ummoja wa nchi wa Hisani wa Maendeleo za Ulaya,

Haya yote yametukia katika uongozi wa Bernard Membe katika wizara inayohusika na mashauri ya Kigeni, lakini hili linatokana na historia ya mtumishi huyu ambaye hajawahi kuwa kiongozi wala hajawahi kujiongoza yeye mwenyewe,

Je dhamana kubwa kabisa ya Urais wa Jamhuri anaweza ikiwa Wizara tu imemshinda?

Zingatia, Bernard Membe hajawahi kuwa kiongozi wa umma tangu AZALIWE 1953 mpaka 2000 alipoingia kwenye siasa, hivyo uongozi sio kipaji chake!

Hivi ninyi wabongo kukaa na kuandika upuuzi huu huwa mnapata wapi muda? Halafu mna bahati kweli maana sisi huwa tukitoa mada huwa inafungwa na wahusika.....huwa inaishia hewani. Tena huwa ni mada zilizokwenda shule kweli na si upuuzi huu wa kuongelea mapungufu ya mtu. Wewe umekaa ukaona ni vema sana uandike udhaifu wa huyu bwana. Kwani hebu nikuulize swali. Huo udhaifu wa darasani ulioutaja hapo kwenye mada yako ulitaka Membe awe na uwezo gani darasani ili ndo umwone anafaa? Ni maksi ngapi angepata ama dawati la tatu kutoka kulia alilokaa darasani akiwa seminari wewe ulitaka akae dawati la ngapi na kutoka upande gani ili tuone kuwa alivyokaa yeye ni alama ya udhaifu?
Eti unasema hajawahi kufanya lolote mpaka pale alipoingia kwenye siasa........' Huo ni uongo mkubwa!!! Membe ndiye aliyeongoza intelijensi katika vita vya Idi Amini. Ndiye aliyefanikisha kupata taarifa za wapi adui alipo na hatimaye Amini alichapwa mpaka akaikimbia Uganda. Na ni yeye ndiye aliyetathmini madhara ya vita hivyo. Wewe ulitaka aweje ndo uridhike kwamba ni mtu anayefaa?
Ulitaka amwoe dada yako? Watu wengine mnaudhi sana!
 
kuliko membe awe rais afadhali mwingine mara 100
 
Mimi nasimamia ukweli mkuu. Kama nimeongopa mwambieni aje ajitetee

Huo ukweli ulioweka hapo ndiyo sifa za kuwa Rais? Uliambiwa kuwa mwanafunzi bora darasani ndiye kiongozi bora? Ooh kasoma seminari ooh ukasisi,haya hayana maana kwa watu hatuhitaji Mtume au Nabii auPadre au sheikh au mchungaji kama kisifa kimoja wapo cha mtu kuelekea Ikulu. Ni kheri tukaongozwa na Membe kuliko huyo na hao wanaokutumia kuwachafua wanaodhani ni kikwazo kwenu kuelekea Ikulu. Bado siku chache utanyamaza.
 
Vipi Dafi, Mgonjwa wenu anaendeleaje?

Naona sasahivi mmenunua mpaka radio feki inayoitwa Sauti ya Ulimwengu ili tu impambe mzee wenu.
Mgojwa wao hata kushika karatasi hawezi,report ya kamati anakaimisha,mama dk zaidi ya 30 kusimama hawezi
 
Back
Top Bottom