Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Hivi mkuu chanzo cha mungu ni nini?
 
Acha upumb.avu ww. Ndo maana akili yako inakuwa kama kurasa za hiyo bibilia kwasababu hutaki kushuhulisha akili yako.

Soma na tumia akili yako vzr acha woga Wa kutafuta maaridfa
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza hayo maarifa yako yatakupeleka pabaya
 
Sababu hakuna wa bluu, njano wala rangi nyingne zaid.

Maswali mengine haya ukifatlia sana, mwishowe ndio wale wanaishia kujarbu nao kutafunwa, wanajiulza kwanini tunawatafna wenzetu
 
Soma tena nilichoandika kuhusu evolution
Kwa nini black America and black colored people in Europe kama sissoko , pogba hawajaanza hata kubadilika na wamezaliwa ulaya?
 





Hujawahi kuielewa evolution kumbe it doesn't work that way,we humans and apes had single parents we evolved in different ways/dimensions ma kwa taarifa yako homo sapiens ndio species ya binadam ilio survive zingine.kama Neanderthal has gone extinct.somo zaidi kuhusu evolution
 
Exactly mkuu.... nafikir walimu hawakutoa darasa vizuri, somo la historia limewaharibu vijana, ila kwenye biology ndio unaipata vizuri hii mada.
 
Evolution takes centuries and centuries as such you can not witness changes in the same century which you are living in!
If nobody cannot witness evolution is taking place, why claiming that varieties of people are a result of evolution? Are there any clear records about that?

Scientists are still saying that this phenomenon is still a mystery.
 
If nobody cannot witness evolution is taking place, why claiming that varieties of people are a result of evolution? Are there any clear records about that?

Scientists are still saying that this phenomenon is still a mystery.
Evolution is simply not testable or observable.
 
If not observed, why do we still see chimps?
That's precisely why I'm saying it's neither testable nor observable.

Those who swear by it will tell you that it takes thousands, hundreds of thousands, and millions of years for it to take place.

Now...seriously?

Is it humanly possible to test and observe something for that long?
 

No, not at all. That is why their argument is not convincing!
 
jamaa yalofunuliwa kwetu ni ya kwetu na watoto wetu na yalofichwa ni ya Mungu muumba tusinganganie kukuna vichwa bila sababu ya msingi
 
'Enyi watu, Kwa hakika tumewaumbeni kutoka mwanaume mmoja (Adamu) na mwanamke mmoja(Hawa/Eva) na tukawafanya muwe makabila na mataifa mbali mbali ili mjuane, (albino akingwe na jua, Muafrika nywele fupi na ngozi inayohimili jua, mzungu aweza kufa kwa mafua . . . .), Kwa hakika mbora wenu (Kwa mtazamo Muumbaji) ni Mchamungu. (Anayewafuata wawakilishi wa Mungu duniani(Mitume). Hope tumesaidiwa kujua lengo la kutofautishwa.
 
Halafu hua najiuliza kwanini ni rahisi mweusi kua mweupe tena kwa haraka tu, kuliko mweupe kua mweusi?

Wataalamu msaada plz.[/QUO
Original ni rahisi kuwa fake kama itachakachuliwa but fake si rahisi kuwa original.
 
Kinachosababisha tabaka flani la watu kuwa na rangi flani na lingine kiwa na rangi tofauti ni SUBSTANCE MOJA AMBAYO INAITWA MELANIN.
Kimsingi matabaka ya watu hupangwa kwa kutumia kiwango cha MELANIN ambacho tabaka hilo husika huwanacho.
Katika bimadamu wote watu weusi ndo huwa na kiwango kikubwa sana cha MELANIN wakifuatiwa na watu wa mashariko ya mbali na asia huku wazungu wakiwa wa mwisho.
MELANIN ndo msingi wa kila kitu katika maisha ya mwanadamu. MELANIN haiishii tu kwenye kuupa mwili rangi bali huja mbaka kwenye milango yote ya fahamu na kupitia MELANIN ndo milango hiyo huweza kuganya kazi.
Kwa mfano wazungu hawana uwezo wa kubadilisha mwanga wa jua kiwa vitamin d lakini watu weusi wanaweza,wazungu hawana uwezo wa kuangalia jua lakin watu weusi wanaweza,hata kupata harufu ya chakula au radha waafrika huwa na uwezo zaidi wa kufanya hivyo kuliko wazungu.
MELANIN huzalishwa na tezi muhimu sana katika mwili wa mwanadamu ambayo huitwa PINEAL GLAND.
Katika maana nyepesi hiyo tezi ndo huitwa jicho la tatu na watu wanaofanya meditation huwa wanaelewa hapo nazungumzia kitu gani.
Nimalize kwa kusema kuwa MELANIN ndo kitu muhimu katika mwili wa mwanadamu hata kuliko seli za mwili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…