Why Black People and White People? (Kwanini kuwe na Mtu Mweusi na Mtu Mweupe?)

Zile ni rangi za rainbow. Actually tunayemuita mtu mweusi ni rangi ya zambarau,kama ambavyo sometimes umewaona watu wa West Africa ni weusi halafu wanakuwa kama vile zambarau. It is a long story. Actually it is a short story.In a far distant universe hawa purple people walileta space ship huku for exploration. Ndipo wakaiona Solar System ilivyoanza. Wakasubiri tu ipoe,halafu wakaweka watu. Watu waliowekwa hapa wametoka wapi? Wametoka kwenye maabara zao,wametengeza watu,wamewaleta hapa. Sisi labda siku moja proficiency yetu itaongezeka tutamtengeneza mtu na kumpeleka kwenye sayari mpya.
 
Hao unaowaona hapa Tanzania chimbuko lako lilihamia aidha enzi za utumwa au utafutaji maisha wakajikuta wameingia nchini na kupiga kambi.
If people are Tropical animals why do those above not change into black...
Nafikili kuna madini mwinili yalipungua wakawa WEUPE
 
Daaah. It is a long story...it is a short story....kwamba watu wametengenezwa maabara?! Brother Andrew, I guess this is an endless dream if not a moribund one.
 

Kaka fafanua zaidi
 
Ukiizungumzia Africans Jua kuna na Waarabu na wengine wenye ngozi Nyeupe.. Je wao Jua haliwapati...!?
 
Kuna wazungu husema wanapenda rangi nyeusi, je ni kweli wameshindwa kutengeneza mkorogo wakawa weusi na wao au tayari wametengeneza ila hawajaanza kutumia au tayari kuna waliowahi kutumia.
????
wazungu wanafanya tanning. either akae kwenye jua au kuna mchanganyiko wanatengeneza halafu wanajipulizia wanakua brown.
 
Mkuu bila kujiuliza na kufanya tafiti mbalimbali kwa kusema tumwachie tu Mungu haya maendeleo ya kisayansi na teknolojia tuliyofikia leo tusingekuwa nayo.
Kabisa ndg.
 
sababu kuu ni Melanin. ni pigment (rangi)

kwenye ngozi kuna cells ambazo zikipigwa na mwanga wa jua zinatoa hiyo melanin. kadri zinavyopata jua ndivyo rangi inakuwa nyeusi na nyingi.

hii adaptation imemsaidia mwanadamu kujilinda na mwanga wa jua ambao unaweza kuharibu DNA.

lakini pia kuna aina mbili za melanin. moja hupatikana kwa wingi kwa watu weupe (wazungu) na nyingine zaidi kwa watu weusi. nafikiri baada ya mwanadamu kutoka afrika ndo mazingira yakapelekea kutengenezeka aina ya pili ya melanin
 
Kila siku nifungua JF lazima nipate jambo jipya la kujifunza
 
Mkuu hao wahindi wamekaa miaka mia3 haifiki evolution is a slow process you can't notice in your lifetime it could take 10thousands years wakabadilika wakawa weusi
OK ndg, 10th Thousands years ni sawa na (10000 miaka)

Kwahiyo nchi kama #Libya Argeria Tunisia nk. Zilizo na miaka 2016 sasa baada ya kufikisha 10000+ Wananchi wake watakuwa Kama Wajaruo ..(weusi)

Ziko AFRICA
 


Nilisoma na kitu cha brown.. Ukimcheki kaivaa mpaka damu vile ni
Nyekundu inaonekana inavopita.. Hatumii mkorogo.. Kila mtu alimfahamu kwa rangi yake

Lakini eti alikuwa black ktk level za kimataifa(mtu mweusi)
 
Jibu sahihi ni melanin, hii ndio inayo determine rangi ya kitu. Kuna white melanin na black melanin kwa weupe na weusi respectively. Albino yeye hana melanin kabisa. Mimea ina green melanin iitwayo chlorophilly itoayo rangi ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…