Why blacks?

Why blacks?

Wewe ndo hujasoma historia. Hayo yote yapo kwenye vitabu. Hata ukimuuliza mwanafunzi wa O level tu aliyefuatilia somo la historia vizuri atakwambia..
Tatizo wa waafrika wengi hawataki kujishughurisha na kujua asiri yetu. Hao unaoona wazungu wameendelea sasa, karne ya 15 maendeleo tulikuwa nao sawa tu na tulifanya nao sana biashara karne hiyo hadi karne18.
Italy ilipoivamia Ethiopia kuchukua maeneo walichapwa mpaka wenye wakakimbia na kuifanya Ethiopia kua nchi pekee ya kiafrika ambayo haikutawaliwa na wazungu.
Tatizo ni kuwa westernized. Waafrika wa sasa kila kitu tunaiga kutoka magharibi. Na wao wanatuletea hata vitu vibaya, tabia mbaya coz tunawanyenyekea. Na chanzo chote ni viongozi wetu wakuu kuwa watumwa kwao. Africa tunatakiwa kuwa na viongozi majasiri kama president Mugabe, viongozi wazalendo haswa watakaoweka maslahi ya nchi zao mbele bila kusita sita. Unfortunately viongozi hawa walikuwepo zamani na sio sasa.

Mkuu historia ya Olevel inasema kushinda kwa waEthiopia haikua suala la technolojia bali walipata advantage ya milima na other topographical features
 
Mkuu Kiranga....hebu mtizamo wako kuhusu Mugabe....maana wengi tunamuona kama mwafrika aliyeonyesha ujasiri kukataa kupelekeshwa na wazungu

Mugsbe ni diktets aliyeua wananchi wake zaidi ya 20,000 Matabeleland na kukataa kuschia madsraka, hardly the beacon of integrity.
 
miafrika watu wa ajabu sana, ukiambiwa mji wa Liverpool ndio ulikuwa kinara cha biashara ya utumwa uingereza na bado wanajiita liverpool fans??? huwa nashangaa sana...akili zetu zinahitaji maombi
 
miafrika watu wa ajabu sana, ukiambiwa mji wa Liverpool ndio ulikuwa kinara cha biashara ya utumwa uingereza na bado wanajiita liverpool fans??? huwa nashangaa sana...akili zetu zinahitaji maombi
kuna mdau humu JF ana signature inasema "Miafrika ndivyo tulivyo"
 
Mugsbe ni diktets aliyrua wansnchi wake zaidi ya 20,000 Matabrleland na kukataa kuschia madsraka, hardly the beacon of integrity.

Mkuu hao unaowaita raia nadhani Puppets ambao Mugabe anawashughulikia
 
Waafrika hasa wale weusi tuna vilema vya akili.. popote mweusi utakapompeleka atakua wa mwisho
 
Mkuu hao unaowaita raia nadhani Puppets ambao Mugabe anawashughulikia

Kwanza you need to show with evidence kwamba ni puppets

Pia.

Hata puppets kuna namna ya kuwashughulikia within due process. Sio summary execution.
 
Mkuu mtoa mada Hannibal Barca the greatest military general of all time alikuwa mweusi tiii

Ancient Egyptians builders of the pyramids walikuwa weusi

Waafrika toka enzi walikuwa great people

Mkuu Apakak...salaam!!ama baada ya salam nipende kukushukuru kwa task ulonipa ya kumsoma Hannibal Barca......
He was a Carthaginian na
Carthage was founded in North Africa by Middle
Easterners originally from lebanon na mitaa hiyo. Here's a
bust of Hannibal. He was not black but he
commanded a multiracial army of North
Africans. "African" does not automatically equal "black."
Also, we are not saying that no black person can
achieve greatness, it's just that its rare (just look
around you, and at history).
was Muammar Gaddafi
black? was Sadam Hussein. One is from the area
where Carthage was the other from the area
where carthage's founders arrived from. I'd say
its safe to say that the carthaginians would not
be mistaken for negros.
pia many North Africans were of a White
Racial type. The prime example today is the
Tuats of Algeria who are descended from the
ancient Whites and White Egyptians. They even
speak the ancient Egyptian language still to this
very day. The Tuaregs also of N.W. Africa are
White and blonde hair with blue eyes, karibu mkuu kunisahihisha kwa hoja naogopa matusi
 
wazungu wanajua blacks akiamka kutoka kwenye huu usingizi atakua mtu hatar sana, wanachokifanya sasa ni kuhakikisha hatuamki kwenye huu usingizi. Ukifwatilia vizur utangundua akitokea mtu wa kutuamsha basi haraka sana whites'll get rid of him! Mfano Nyerere alikua na maono ya mbali sana, alitaka kuiunganisha afrika akaja na sera ya ujamaa na kujitegemea. Sina uhakika sna ila around 1970's aliwaalika wabritish waje waone kolon waliloliacha jns lilivyopga hatua, kpnd hcho Tz ilikua inamashamba mengi sana ya mazao na mifugo wazungu waliogopa wakamtengenezea kagera war and that mark the end of glory days of the late Nyerere
 
mmhh hapo "wakamtengenezea kagera war" napata mashaka mkuu
 
Mkuu Apakak...salaam!!ama baada ya salam nipende kukushukuru kwa task ulonipa ya kumsoma Hannibal Barca......
He was a Carthaginian na
Carthage was founded in North Africa by Middle
Easterners originally from lebanon na mitaa hiyo. Here's a
bust of Hannibal. He was not black but he
commanded a multiracial army of North
Africans. "African" does not automatically equal "black."
Also, we are not saying that no black person can
achieve greatness, it's just that its rare (just look
around you, and at history).
was Muammar Gaddafi
black? was Sadam Hussein. One is from the area
where Carthage was the other from the area
where carthage's founders arrived from. I'd say
its safe to say that the carthaginians would not
be mistaken for negros.
pia many North Africans were of a White
Racial type. The prime example today is the
Tuats of Algeria who are descended from the
ancient Whites and White Egyptians. They even
speak the ancient Egyptian language still to this
very day. The Tuaregs also of N.W. Africa are
White and blonde hair with blue eyes, karibu mkuu kunisahihisha kwa hoja naogopa matusi

Mkuu Jim007 2 ningependa usome hii

[FONT=Verdana, Arial]

What Color Was Hannibal?

THIS ARTICLE CAN BE POSTED ON OTHER WEBSITES

The true face of Hannibal. This well-preserved coin, circa 208-207 BC, and dated by some at 217 BC., was found in the Chiana (Clanis) valley. This coin was in circulation in the vicinity of Lake Trasimeno and in the Chiana Valley.

Some individuals have thrown aside all available evidence and have incoherently shouted themselves hoarse by claiming that Hannibal who nearly destroyed Rome belonged to the ‘great White race.'

Whites have been in North Africa for centuries but they are not indigenous to that area. They were merely migrants and invaders, not to mention the White slave trade that brought many Whites to that area. The presence of different races in North Africa has been mentioned by ancient writers like Diodorus Siculus and Herodotus. They included Ethiopians or Blacks.

Hannibal has been variously called a Canaanite or Phoenician. The Canaanites were descendants of Ham or Hamites. ‘Hamite' was a term once used widely by Europeans to denote members of the Black race. ‘Phoenician' was another term used to describe these Blacks.

The original dwelling place of the Phoenicians was not in the Middle East but more likely in East Africa. According to Herodotus (see The Histories) they lived on the shores of the Eritrean Sea. This area is widely disputed today, but apparently it was located on the shores of East Africa.

The ancient Near East was a melting pot just like modern America. Different races could be found there, but the original race was a Black one. The Elamites, for instance, were Blacks. Later on it was possible to find not only Black Phoenicians, but White and mixed Phoenicians as well.

Carthage on the North African coast was a Phoenician colony. A reading of history makes it clear that many migrants including White Greeks settled in that area and beyond. Thus just like South Africa, it was possible to find different races there, known as Carthaginians.

The clearest evidence of Hannibal being Black is the coin found in the Valley of the Clanis in Italy, not far from where he defeated the Romans at the Battle of Lake Trasimeno. It is believed to have been minted by Hannibal after the battle. The date of the coin corresponds to the era of Hannibal's early battles with the Romans.

According to White historians/scholars the coin, representing an elephant on one side and a Black man on the other, is not Hannibal but a mere elephant driver, never mind that the various portraits depicting a White Hannibal are those of other individuals.

The idea that the Black man was a mere elephant driver is pure rubbish since Carthaginians often minted coins to portray important personalities or deities. Moreover the words of Polybius are very telling. According to him before the Battle of Trasimeno, Hannibal had lost all his elephants with the exception of one, which he rode.

Thus it is Hannibal and no one else, portrayed in the ancient coin found in the valley of the Clanis in Italy. Indeed, a number of such coins exist.

[/FONT]
Hannibal.jpg
 
Mkuu Jim007 2 ningependa usome hii

Mkuu nimekuelewa kwa justifications zako zilizokwenda shule lakini napata shaka kwenye hiyo coin ya elephant rider,the man there has black African phenotypes like thick lips,full nose(pua pana),uso mpana na mfupi but an curled hairs!!kitu ambacho sio asili yetu wamatumbi.....na pia nimesoma mahali mama yake ana ethnicity ya Spain what can you say about that??nachopinga si kua ametoka Africa hilo nakubali but scholars wengi nlowasoma wanadai a man is from Africa but he was not a negro....ts like those Tuaregs....
Karibu Chief
 
Mkuu hakuna written record yeyote kuhusu mama wa Hannibal.Kama unayo naomba unipe link

Hannibal Barca kwa mazingira sasa kama angekuwepo katika mitaa ya marekani wange mterm kama black. Alikuwa ni half breed

Wazungu ni watu wa ajabu sana,siku hizi ukiwa na one drop of blood ya uafrika kweny damu yako wanakuitwa black lakini wanavyo refer history ya civilizations kubwa ukiwa na one drop of white blood unaitwa mzungu hata kama ni mweusi kama Obama

Interpretation ya Race ya watu wa kubwa kihistoria ipo kisiasa. Mfano sasa hivi Obama anatambulika kama mtu mweusi lakini kama angeiisha miaka ya Hannibal Barca na kufanya mambo makubwa wangemuita mzungu

Pure hypocrisy.Na huu unafiki wa kizungu umejikta hadi kwa race of ancient Egyptians.Eti King Tutankhamun wanadai ni mzungu kwasababu sio nubian black na hana features za "negro" lakini hapo hapo wan ignore the fact ya kuwa Ethiopians and somalians hawana negro features lakini ni weusi na wanatambulika kama watu weusi

Cheki picha ya King Tutankhamun hapo chini

g1_CMq9GKQo1dmVm3G770oaOgWpp0fC4yx_Abuq5qyMAcGQLz0FIO7YyxlPacf-j5dbpYQFtF2hT37pWhy92sBeN3BZxap6o28VQJ78EvMbxSqDipYwI
 
Mkuu sitii neno umenidadavulia vizuri sana...sasa naanza kuelewa ni kwanini whites wanapindisha hii fact....nadhani pia ni sawa kwa obama kuwa refered as white cause he is half breed mana ukimterm black umepick one half na ukimterm white umerefer the other half....nazungumza hili kwa hoja kua kama son of barca alikua halfbreed hakuna tatizo kumterm vyovyote. link ntakuekea kiongozi wangu.
karibu.
 
scientifically black is superior.....
aliwahi kutubia professor wetu wa plant pathology pale sua.
 
Mkuu historia ya Olevel inasema kushinda kwa waEthiopia haikua suala la technolojia bali walipata advantage ya milima na other topographical features

Uliterajia kusikia nini toka kwa hao "Eurocentric scholars". Kwani milima ilikuwepo Ethiopia tu..!? Kwa nini isinge serve purpose katika maeneo mengine pia!?
 
Wakuu habarini,

Toka kuumbwa kwa huu ulimwengu mtu mweusi amekua akibaguliwa na mtu mweupe! hivi nini asili ya chuki hii...

Tukikumbuka slavery...

Apartheid...

Nadhani kuna la zaidi kwa hawa wenzetu kuhusu blacks...

asanteni

Ubaguzi ni ubaguzi tu!
Kuna miundo mengi sana ya ubaguzi:
1 rangi!
2 dini!
3 jinsia! Nk nk!

Sema kwa vile wewe umeona ubaguzi huo, nakubali ni ubaguzi but sababu za ubaguzi huo ni zile zile kama za ubaguzi mwengine!

Sababu kuu ya ubaguzi ni kujiona wewe ni bora kuliko wengine kutokana some development uliopata or uliyozaliwa nayo!

Majews wanaubaguzi wa kikabila! Kwao wao mtu yeyote asiyekuwa jews wanambagua! Refers intermarriage na hata social interactions!

Wadutch pia ni wabaguzi, hawataki hata kuchanganyika na wazungu wengine achilia mbali watu weusi! Refers Boer movement frm cost area to interior part kule South Afrika! Walihama cape town kuelekea Natal na Transvaal! Hapo waliepusha kujichanganya na wazungu (British)

Hawakuishia hapo! British alipoamua kuwafata huko (kwa sababu ya dhahabu) kulitokea Anglo boer war 1 & 2 1800s

Na baada ya hapo ndio kukatokea Apatheid policy!

Rudi India! Kule kunaubaguzi wa kipato, maskini wanabaguliwa sana!
...
Kwa mantiki hiyo, Ubaguzi ni ubaguzi tu, uwe wa rangi uwe kabila au namna nyengine yoyote ile!
Na source ni human nature: Human beings are selfish in nature

KITENDO CHA KUJIHISI NI WEWE TU NDIO UNABAGULIWA NI MENTAL DISORDER NA UNAHITAJI TIBA MBADALA!
 
Back
Top Bottom