Why blacks?

Why blacks?

hata wazungu mbona wanauzana? tazama ktk soka. kiufupi ni kwamba mtu yoyote hutumia line ya weakness kumshusha mwenzie. hadi wazungu kufika afrika tena interior ujue kwamba kuna gap kati yetu na wao.
 
Nadhani na sisi tulianza kujibagua nao wakatake advantage


Nii kweli hata sie tulikuwa wabaguzi, kwani nakumbuka marehemu babu yangu aliwahi kuniambia kuwa alipokuwa mdogo miaka hiyo ya 1920's waliwahi kutembelewa na wazungu (wakoloni) shuleni kwao. Wale wanafunzi baada ya kuona wazungu, walikimbia karibu ya wanafunzi wote pale shuleni eti walidhani shetani amaeshuka kuja kuwachukua.
 
Haya yote yatawezekana kama tukiamua kujitegemea kwa kila jambo

na sisi.tukaanza harakati za kuwabagua weupe

Maana washatupiga 1-0 yani walituuza kama bidhaa jamani hili di jambo dogo ni udhalilishaj ambao hauwez kusahaulika

biashara ya utumwa nadhan nfo hatua ya kwanza iliyotudumaza kisaikolojia waafrika
 
Back
Top Bottom