hata wazungu mbona wanauzana? tazama ktk soka. kiufupi ni kwamba mtu yoyote hutumia line ya weakness kumshusha mwenzie. hadi wazungu kufika afrika tena interior ujue kwamba kuna gap kati yetu na wao.
Nii kweli hata sie tulikuwa wabaguzi, kwani nakumbuka marehemu babu yangu aliwahi kuniambia kuwa alipokuwa mdogo miaka hiyo ya 1920's waliwahi kutembelewa na wazungu (wakoloni) shuleni kwao. Wale wanafunzi baada ya kuona wazungu, walikimbia karibu ya wanafunzi wote pale shuleni eti walidhani shetani amaeshuka kuja kuwachukua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.