Jim007 2
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 395
- 247
- Thread starter
-
- #61
Wewe ndo hujasoma historia. Hayo yote yapo kwenye vitabu. Hata ukimuuliza mwanafunzi wa O level tu aliyefuatilia somo la historia vizuri atakwambia..
Tatizo wa waafrika wengi hawataki kujishughurisha na kujua asiri yetu. Hao unaoona wazungu wameendelea sasa, karne ya 15 maendeleo tulikuwa nao sawa tu na tulifanya nao sana biashara karne hiyo hadi karne18.
Italy ilipoivamia Ethiopia kuchukua maeneo walichapwa mpaka wenye wakakimbia na kuifanya Ethiopia kua nchi pekee ya kiafrika ambayo haikutawaliwa na wazungu.
Tatizo ni kuwa westernized. Waafrika wa sasa kila kitu tunaiga kutoka magharibi. Na wao wanatuletea hata vitu vibaya, tabia mbaya coz tunawanyenyekea. Na chanzo chote ni viongozi wetu wakuu kuwa watumwa kwao. Africa tunatakiwa kuwa na viongozi majasiri kama president Mugabe, viongozi wazalendo haswa watakaoweka maslahi ya nchi zao mbele bila kusita sita. Unfortunately viongozi hawa walikuwepo zamani na sio sasa.
Mkuu historia ya Olevel inasema kushinda kwa waEthiopia haikua suala la technolojia bali walipata advantage ya milima na other topographical features