Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Watu kama nyie ndio mfano wa watu wanaoifanya ccm iendelee kubaki madarakani kwa sababu hamuonyeshi kwanini ccm iondoke unapoanza kusema watu wajinga na maskini ndio wanaifanya ccm iwepo hapo unamaanisha baba zako, mama zako, dada zako, kaka zako, shangazi, wajomba,babu na bibi zako bila kusahau maskini wa mawazo kama yako.
Pia kaa uelewe sio kila mtu anaipenda ccm lakini ipo madarakani na itaendelea kuwepo mpaka upinzani unaojali maslahi ya watanzania utakapokuja na sio huu wa kujifikiria wao binafsi
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
CCM ndochama pekee kinatatua shida za wananchi Tanzania
 
Nikiangalia hayo maandiko yako napata ushahidi tosha ya kuwa siyo kweli unachokizungumza. Kwani kama ingekuwa ni kweli basi wewe unekuwa nini CCM au huamini mile unachokiandika. Kwani unashindwaje kuandika kiswahili fasaha na kama si mjinga na huku ukichukulia ni lugha yako ya Taifa? Najua vijana wengi wa ufipa mnahisi kuja kuandika hapa JF ndiyo kielelezo cha kujiona kama ni mjanja na mwenye akili. Sasa ninachokuomba rekebisha kituko chako ilikiendane na kile unachotaka tuamini!
 
Ukishawafanya watu wakawa masikini ni lzm wawe na upungufu wa akili nao utawaswaga utakavo kupitia propaganda
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Wajinga ni watu kama walivyo watu wengine. Tena ni watu wazuri kuliko unavyo wadhania. Ni wakarimu na wastaarabu sana.
I like them kwa sababu bila wao wewe haupo.
 
Wajibu wa pesa za walipa kodi ni maendeleo kwa lazima siyo Hisani za CCM, cha ajabu eti CCM hujinadi wameleta maendeleo utazani ni pesa zao binafsi toka mfukoni.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Uhuru wa mawazo umeutumia.
 
Hata wewe mtoa mada, upinzani wako upo mdomoni tu ila moyoni ni ccm kabisa.
 
unahit

unahitaji uji wa lishe
 
Wala hujui kitu bora usingecomment kitu. Labda walikutumbuaga ndio maana unaichukia ccm. Ccm ni chama cha kijamaa ndio maana huduma kama elimu na zingine za kijamii serikali yake inahakikisha zinawafikia umma kwa gharama ya serikali au kwa gharama nafuu.
 
Sahihi kivipi? Chadema wangekuwa wabovu mngehangaika kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi zote? Si mngeacha wananchi waamue wenyewe
Mimi sifungamani na upande wowote . Chadema Kuna madudu sio utani. Ila nako upande wa pili yapo. Ila Chadema wasinge kuwa na mfumo wa kimtei wangekuwa bomba sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa asili kila Mtanzania ni CCM

Na huko tunapoenda kutokana dola za magharibi kuanza kukosa ushawishi tutaenda kwenye siasa za China au Russia tena
Hili halina upingamizi teena,ni swala la mda flani kidogo ujao..
 
Unajua ukiwa mwandishi mzuri ni lazima pia uwe na kumbukumbu ya Yale uliyowahi kuyaandika hata miaka mingi iliyopita ama ulifanya kuyapinga Baadhi ya mambo katika uendeshwaji wa Taasisi fulani ama kuyakebehi kwenye Mandiko yako

Sasa kilichoandikwa ili kumwonyesha kwamba mwandishi ni mjinga na msahaulifu na alichoandika kuwa ni ujinga pia, ni pale leo anapokubali kwamba Kumbe Elimu ya Tanzania inaweza kuzalisha wasomi tofauti Kabisa na wanavyopinga kuwa elimu yetu haiwezi kuzalisha wasomi

Ili kuweka kumbukumbu vizuri, mwandishi alipaswa atengue Kwanza kauli ya kusema Elimu yetu haina maana inazalisha wajinga na hapo Andiko lake hili lingepata mashiko

Kama hataki kutengua kauli! Ninayo maswali

Watu wote walioko Chadema au CCM n.k ni watu waliosoma kwenye shule zetu hizihizi na vyuo ni hizi zilizopo, kwa kuwa kauli nyingi za Chadema husema Elimu yetu haizalishi wasomi Bali wajinga, Hao wasomi walioko Chadema huwa wanaenda kusomea shule zipi ikiwa elimu yetu Kwa mjibu wa Chadema haizalishi wasomi?

Na wajinga wa CCM husoma kwenye shule zipi ambazo hazina uwezo wa kuwatoa kielimu?

Na ndivyo maana nikasema, Andiko la huyu mchadema msomi ni la kijinga na ni mbumbumbu tu anayeona hiyo Nayo ni hoja!
 
Back
Top Bottom