Don Nzoko
JF-Expert Member
- Jan 6, 2020
- 308
- 312
Kuna kipind nlikuwa na mangi shop
kabla halijafa siku moja akaja mpuuzi mmoja akamsifia Sana Magu amefanya mazuri maendeleo yapo Sana tulibishana sn dat day af mwishoni anaomba nimkopeshe unga nahc unajua nn alikipataNa wewe ni wale wale niliowataja juu