Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

CCM inapendwa vijijini na wajinga. Siyo mimi ni utafiti wa Twaweza mwaka 2015 mataga msije mkanitoa macho.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.

Quite honestly, sijui umepata wapi ujasiri wa kuita Watanzania wenzio walio wengi wajinga na waliofeli maisha!!! Ndugu yangu una umri gani wewe? Are you serious?
 
Kama anavyojiuliza mimi pia hujiuliza hivo kuwa CDM lazima uvute bangi maana ukiwaona ni wa aina moja tu vurugu ndo jadi yao no reasoning hata kizuri unapinga tu.
Kizuri kipi kilichopingwa?
 
Hata ujiite msomi ukiingia CCM Taaluma yote inafutika unakuwa zuzu unabakia kuabudu kusadiki zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM tena zile fikra alizoshawishiwa na mtu asiye na vyeti Naibu Rais Bashite. Hata Bungeni wabunge tegemeo ni wale darasa la saba kibajaji na Msukuma ndipo ujue CCM hawataki mtu aliyesoma kabsa
Trio ya Think tank iyo.
 
.
Sasa mkuku Unaanza je kutuaminisha kuwa CHADEMA siyo wahuni/Wapumbavu angali wewe kama mwanachama wake unatumia lugha ya kihuni hivi?
Apart from your rubbish words, hata avitar na username yako(Minyoo) inasadifu kile kilichomo kichwani mwako..
Note; Mtu mhuni na mpumbavu hawezi kujificha kamwe utamujua tu kwa matendo ake hata Kama akiwa amevaa suti ya kujifichia makucha.
Hauna chama hauna chama wakati unatetea tumbo la baba ako nyie ndiyo mnasemaga mimi sio shoga nimewekewa pipe mara moja tu
 
.
Inasikitisha Sana kuona mtu anatoka Kwenye stage ya Ujinga na kwenda Kwenye stage ya upumbavu badala ya kujitambua.
Na Kipimo sahihi Cha mtu mjinga na mpumbavu nikuwa mchumia vyama vya kisiasa vya Afrika including CCM,CDM,FDD and etc.
Hakuna kitu wewe ni mnafiki na mfanyabiashara haramu tu
 
CCM kinapambana ..kuwapumbuza akili za watanzania..ili kiweze kutawala milele..wanatumia dola, kubadili sheria kwa maslahi yao binafsi

Lakini mtanzania..anashabikia anaona sawa anashindwa kujiuliza kama maendeleo yanafanyika kuna haja gani yakuwachafua wapinzani na kuwatesa

Lakini watanzania wanaona sawa, wengi wamekata tamaa na maisha
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.

Mbowe ni failure mbona hayuko ccm?
 
Back
Top Bottom