Yap hapo umenena, hivi unawezaje kujiita Ccm chama Cha wanyoge na masikini, alafu ukabarikiwa, mnajipa laanaMnaamua mtukane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya chadema chama cha matajir na watu wenye akili

Wajinga Kama Nyie ndo mnataka kutupeleka nchi ya uchumi was viwanda kwa akili hizi!Natamani ujue maisha yangu........... wewe dada yako si demu wa masela sasa shemeji pusha unategemea kutoboa kweli??..........dada yako kashafyonzwa utamu wote kawa kama lile bua linatoka baadaya ya muwa kukamuliwa......pole,,🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo mkuu unataka magufuli awanunulie mashati wote wenye mashati yaliyochanika kisa tu wanamsapoti yeye siyo!?.Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Basi ndiooo maaaa na ujue mkizaliwa na dada inakuwa poa sana ......maaana mkiwa madume matupu kuna mmoja wenu anaweza kuwa kama punga au kupata vitabia vitabia kama vya kipunga punga.........eee wewe uoni unavotamn wanaume wa ccm ?? Ndio hili ni tatizo kubwaHatuna dada,Wala si ishi kwa hisani ya ccm.
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kujinajisi nafsi.Yafaa nyie wajinga wajinga akili zenu ni Mali ya mwenyekitiBasi ndiooo maaaa na ujue mkizaliwa na dada inakuwa poa sana ......maaana mkiwa madume matupu kuna mmoja wenu anaweza kuwa kama punga au kupata vitabia vitabia kama vya kipunga punga.........eee wewe uoni unavotamn wanaume wa ccm ?? Ndio hili ni tatizo kubwa
Kwa asili kila Mtanzania ni Ccm
Na huko tunapoenda kutokana dola za magharibi kuanza kukosa ushawishi tutaenda kwenye siasa za china au Russia tena
Mwanachadema hata hawe na Phd ........akiambiwa na mwenyekiti mlevi ashikwe matako anakubaliKujinajisi nafsi.Yafaa nyie wajinga wajinga akili zenu ni Mali ya mwenyekiti
Mbunge mmoja ni sawa na wabunge 30 wa ccm,case study hoja ya mdee kuhusu uchumi Hakuna aliyeweza jibu wakaishia muongozo, muongozo ili kubuy time.Wabunge wa ccm awamu hii wamekula bure tu Kodi zetu awajafanya kitu zaidi ya kusifia sifia ujinga ujinga tu.Hii ndio sababu ya ninyi kuikosa ikulu maana ni wazi mnadharau sana ....hivi ninyi mna kitu gani cha maana ambacho kitakufanya useme chama chenu kinapendwa na wasomi sana? Mna wanachama walio faulu maisha na wasomi kuzidi CCM?
Hizi dharau zenu ndio zinawafanya msiguse ikulu maana ujuaji mwingi lakini hamna kitu cha maana kabisa!
Wenye elimu na akili wapo mjini,Bali ngoja kizazi cha kale cha wazee kipungueViongozi wote bora na wenye nidhamu ya kuiongoza nchi wapo ccm, tatizo lipo kwenye mfumo wa uongozi pamoja na katiba, siku wote wenye nidhamu, wakiamua kukihama chama na kuunga mkono upinzani ccm inaweza kutoka, tatizo hapa sio kundi gani linakipenda chama bali m'badala wake hayupo,
Tuna upinzani usioweza kusimamisha wagombea kila jimbo manake hauna nguvu iliyosambaa nchi nzima bali maeneo ya mijini zaidi,
Kuitoa ccm madarakani lazima yenyewe igawanyike kwanza, vinginevyo tuvumiliane tu.
Mwizi wa PHD sasa ndiyo wamefika hawatamuachia ni mwenzao haswaa! ze katarist is samsing that spids leacshen but it itself does not change!Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Unaowaita waliofeli ndiyo waishio maisha halisi ya muafrika,kupenda uzungu kunawakuta wale wanao jiona walisoma,wanaishi maisha ya kibeberu na kudhani ndiyo uhalisia wa kiafrika na sivyo,ndiyo maana unaona mpumbavu mmoja anaitwa Tundu Lisu yuko huko anatukana nchi yake bila yeye kujua kua wanamdharau..na huko tuendako mtakubali tu maana siasa zitaenda kupotea hapa afrika na waliopiga maisha kupitia upumbavu wa muafrika watatoweka na kutuacha..sasa hv jifanyeni wasomi mtakuja kujua mkiwa wazeeUwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Nchi hii sio masikini, kama wewe ni masikini wa mali pamoja na akili usitujumuishe na wengine,,!!Jinga wewe nchi maskini imejaza maccm majinga
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people ( wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.
Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.
Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.
Kuna mtu masikini anaipinga ccm ?? Ukiona mtu anapinga na sera za kiccm huyo siyo masikiniNchi hii sio masikini, kama wewe ni masikini wa mali pamoja na akili usitujumuishe na wengine,,!!