Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.

CCM ni popular kwa vijana wanaopenda njia za mkato za kuingiza kipato kwa kuimba "iyena iyena"!
 
Utakuwa umechanganyikiwa si bure,angalia vizuri human resource ya ccm ulinganishe na wavuta bangi wa chadema
 
Nilipita masaki nikaona mahekalu ya wastaafu, mwinyi, mkapa ni hatari, alafu viinyamkera Kama, vya lumumba wanalipwa buku 7 kelele tu wanatumika bila kujitambua
Hata wewe ni kinyamkera pia......kwani nyumba ya baba yako mbowe uko kwenye ukoo wenu nani kashaijenga.....???🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mnaamua mtukane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya chadema chama cha matajir na watu wenye akili
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Wewe unaipenda chadema ambayo haina hata ofis ya maana
 
Nyie mnaokataa kutoka gamboshi tutawaacha humo.
Yaani wewe ulikuja mjini tayari stendi iko ubungo........lazima usipeende ccm.........maana hata mbagara kulikuwa kusha jaa tayari........hata mwabe pande pia kulikuwa kumejaa pia........kasoro jangwani tu ndio kuna viwanja...........sasa ujinga wako usidhani kira mtu anaupenda ......ccm sisi tuache wewe kama huoni mabadiliko rudi uko uko kwenye maji ya rangi ya udongo ukafanane na mifugo
 
Ccm inapendwa na Makundi mawili moja ni wanufaika wa mfumo hapa wapo wakuu wa vyombo na idara zote, viongozi wa dini,na wote ambao bila ccm ni lzm wafe njaa,pili ni future less people ( wanyonge) Hawa ni mtaji wa wanasiasa unawapa elf 2,sukari,t shirt ,kofia na khanga wao wanakupa kura then unapotea 5yrs unarudi tena kuwanunua.

Why wanyonge,mnyonge ni mtu hoehae asiye na mbele yaani aliyefikia level ya juu ya kukata tamaa ya maisha hivo mwingine akikosa au akitumbuliwa ujihisi nafuu ya kuhalalisha kushindwa kwake,ni mtu mwenye chuki na waliofanikiwa akiamini umasikini na unyonge wake umeletwa na tajiri,ili uwe mnyonge ni lzm uwe mjinga,maana mjinga uamini matumaini hewa ( propaganda) za wanasiasa.

Ukiuondoa ujinga umeiondoa ccm case study ni ngome za ccm huwezi pata watu wanaojielewa wakachagua kupigia kura mateso yao.Watu wanaojielewa Wana reasoning.
Yaani hapa kwa ujinga ndilo janga hata zaidi ya Corona
 
Kweli kabisa yani wale walopigika kimaisha ndio ccm ni kwamba wamelogwa au
 
Yaani wewe ulikuja mjini tayari stendi iko ubungo........lazima usipeende ccm.........maana hata mbagara kulikuwa kusha jaa tayari........hata mwabe pande pia kulikuwa kumejaa pia........kasoro jangwani tu ndio kuna viwanja...........sasa ujinga wako usidhani kira mtu anaupenda ......ccm sisi tuache wewe kama huoni mabadiliko rudi uko uko kwenye maji ya rangi ya udongo ukafanane na mifugo
Wanaofanana na mifugo yao hadi akili zao wanatokea kanda ya jiwe ndio wameleta ushenzi wao mjini na watu wamechoka sasa.
 
Tabia za maccm, uchawi,chuki, ugomvi,fitina wizi, ufisadi, ujambazi, utapeli, uongo, ujinga, upumbavu, uchoyo,

Ongezea
 
Maccm majinga tu, kazi kuabudu na kusujudu tu. Wajanja tunayatumikisha tu, Kuna siku. Yatutuelewa tu
 
Mnaamua mtukane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya chadema chama cha matajir na watu wenye akili

Hawahawa waliodeki barabara gari la lowasa lipite ndo wenye akili?!

Nchi hii haiishi vituko.
 
Back
Top Bottom