Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Why CCM ni maarufu kwa watu wajinga na waliofeli maisha?

Kwani wewe ccm ilikukosea nini....?? Wewe mbona zwazwa sana........kubavu kabisa......ccm ilimlea baba ako na mama ako na bibi yako na babu yako.......kosa lao nini hapa...... Uko ulaya na Marekani watu wananunua magari ya mabilioni na inakadiriwa kutuma miaka miwili tu basi.. wakati kuna mtu hata uwezo wa kununua mkate wa dora moja hana...... Huna basi huna endelea kumuomba Mungu ili akupe na wewe..........acha siasa za kishamba ukivaa shati limechanika huo uzembe wako.....maana kuna vingi vya kufanya sio lazima uajiriwe lift up your head broo......serikali ilichokufanyia we waulize waliokuzaa wamekufanyia nini.........maaana inawezekana uko peke yako kama mtoto kwenu lakin hata shamba la futi ishirini kupanda majani ya maboga na matembele hawaja kuandalia......mh kicheko🤣🤣🤣🤣🤣
Acha kula kulala kwa shemeji ambae ni kada mnufaika utauona ukweli.
 
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?

Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.

Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.

Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Cha ajabu hapo ulipo hujui mlo unaofuata kama utaupata
 
Kwani wewe ccm ilikukosea nini....?? Wewe mbona zwazwa sana........kubavu kabisa......ccm ilimlea baba ako na mama ako na bibi yako na babu yako.......kosa lao nini hapa...... Uko ulaya na Marekani watu wananunua magari ya mabilioni na inakadiriwa kutuma miaka miwili tu basi.. wakati kuna mtu hata uwezo wa kununua mkate wa dora moja hana...... Huna basi huna endelea kumuomba Mungu ili akupe na wewe..........acha siasa za kishamba ukivaa shati limechanika huo uzembe wako.....maana kuna vingi vya kufanya sio lazima uajiriwe lift up your head broo......serikali ilichokufanyia we waulize waliokuzaa wamekufanyia nini.........maaana inawezekana uko peke yako kama mtoto kwenu lakin hata shamba la futi ishirini kupanda majani ya maboga na matembele hawaja kuandalia......mh kicheko🤣🤣🤣🤣🤣
Ni heri ya wakoloni walituletea maendeleo elimu na afya bora,ajira zilikuwa za kumwaga,masoko ya mazao tele wakulima hawakuangaikia masoko,kuliko ccm inayotuletea umasikini na kipigo juu.
 
Na wewe uliye post uzi huu ni walewale ila hauko tu ssm uko upande wa pili au watatu kabisa
 
Ukiongelea umasikini nchi hii unaongelea wanaccm ambao kwa ujinga wao hawajui Kama tunawatetea wao
 
Mbna huwa mnawanunulia fulana wakat wa uchaguzi huku mkisahau kuwavisha suruali?
Dunia nzima hakuna Chama na serikali yake ambayo itanunulia watu mashati,viatu au chakula. Labda kuwe na balaa au janga.
Serikali inatengeneza fursa kwa wamanchi ili wafanye kazi ,biashara na kilimo. Kama wewe unataka upewe pesa mkononi ungelimuomba Mbowe wakati anakwapua bil 8+ za ruzuku.
 
Mjinga ni ww na familia yako yote, kwa nn unataka kila mtu aamini kile unachoamini wewe???
 
Sijawahi kutukana Ila wewe ni mjinga wa mwisho, watu wa marekani wanalipa Kodi siyo, je watoto wa watu hao wanasoma bure!?, Kenya wanalipa kodi, je watoto wa Kenya wanasoma bure!?.Je unataka magufuli amnunulie shati mtu yule anaevaa shati limechanika kisa tu anasapoti ccm huh!?.

Grow up!
maguvu amewafanya watu wawe masikini ili awatawale pia wamuabudu.
 
Toka ulete bandiko la kuomba corona ije Tanzania nilikuweka rasmi kundi la unaowaita wajinga kwenye bandiko lako. Akili yako kama ya 2lia Akisoni wa siku za karibuni
 
heri kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu na Mhuni,,
Chadema litabaki kuwa genge la wahuni tu lenye watu wapumbavu.

Note; Am not a member of re CCM or whatever. nilikuwa naweka Mambo sawa tu tafadhali.
You are a pure member of ccm,your post is a symbol
 
Hivi kama Kuna mtu hafunganishwi kimaslahi na ccm Nini?cha ziada ambacho mtu mwenye akili atashabikia ccm?
 
Acha kula kulala kwa shemeji ambae ni kada mnufaika utauona ukweli.
Natamani ujue maisha yangu........... wewe dada yako si demu wa masela sasa shemeji pusha unategemea kutoboa kweli??..........dada yako kashafyonzwa utamu wote kawa kama lile bua linatoka baadaya ya muwa kukamuliwa......pole,,🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hatuna dada,Wala si ishi kwa hisani ya ccm.
 
Back
Top Bottom