Sio vijiji vyote. Tandahimba huko, kule kwa bwege utakuwa unawaonea. Walishathubutu.CCM inapendwa vijijini na wajinga. Siyo mimi ni utafiti wa Twaweza mwaka 2015 mataga msije mkanitoa macho.
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kizuri kipi kilichopingwa?Kama anavyojiuliza mimi pia hujiuliza hivo kuwa CDM lazima uvute bangi maana ukiwaona ni wa aina moja tu vurugu ndo jadi yao no reasoning hata kizuri unapinga tu.
Mizigo ya mavi iyoNa hapo ndio makosa ya demokrasia yalipo. Yaani eti Mimi na Kawe Alumni Bia yetu, Etwege, MOTOCHINI, na wengine wa aina hiyo tuna kuwa na sharti la mtu mmoja kura moja?
Ilitakiwa watu wa aina hiyo wawe kama ishirini ndio ihesabike ni kura moja ya mtu mmoja makini.
Wanawaza wakawa wapumbavu ndiyo why not?Kwaiyo mamako na babako wapumbavu
Usikute hapo ulipo wewe unatamani kubanduliwa ila huku unapinga hatariUtakwenda wapi wakati vyama vingine vinautetea ushoga? Ni afadhali kuangalia kilchopo bungeni kuliko cha ushoga
Trio ya Think tank iyo.Hata ujiite msomi ukiingia CCM Taaluma yote inafutika unakuwa zuzu unabakia kuabudu kusadiki zidumu fikra za mwenyekiti wa CCM tena zile fikra alizoshawishiwa na mtu asiye na vyeti Naibu Rais Bashite. Hata Bungeni wabunge tegemeo ni wale darasa la saba kibajaji na Msukuma ndipo ujue CCM hawataki mtu aliyesoma kabsa
Hauna chama hauna chama wakati unatetea tumbo la baba ako nyie ndiyo mnasemaga mimi sio shoga nimewekewa pipe mara moja tu.
Sasa mkuku Unaanza je kutuaminisha kuwa CHADEMA siyo wahuni/Wapumbavu angali wewe kama mwanachama wake unatumia lugha ya kihuni hivi?
Apart from your rubbish words, hata avitar na username yako(Minyoo) inasadifu kile kilichomo kichwani mwako..
Note; Mtu mhuni na mpumbavu hawezi kujificha kamwe utamujua tu kwa matendo ake hata Kama akiwa amevaa suti ya kujifichia makucha.
Picha yenu mmevaa kama .... ilichekwa kidogo tu na Idris mkataka kumuuaKiongozi wa Sacco's ya wajinga TanzaniaView attachment 1490096
Usikute wewe ni mwanaume na unaandika "ur" ilo ni neno la lugha gani?.
That's ur view and I can't antigonise it but can not change the reality.
Hakuna kitu wewe ni mnafiki na mfanyabiashara haramu tu.
Inasikitisha Sana kuona mtu anatoka Kwenye stage ya Ujinga na kwenda Kwenye stage ya upumbavu badala ya kujitambua.
Na Kipimo sahihi Cha mtu mjinga na mpumbavu nikuwa mchumia vyama vya kisiasa vya Afrika including CCM,CDM,FDD and etc.
Hao ndiyo wauza vitu vya ajabu kabisaHata Kawe Alumni.
Uwa najiuliza maswali haya sipati majibu unakuta mtu shule alifeli, maisha yameshamchapa kweli kweli wengine hata uwezo wa kununua shati hana anavaa shati limechanika. Lakini ukimleta kwenye siasa utasikia anasema hakuna kama Magufuli mtetezi wa wanyonge unajiuliza sasa kama ni mtetezi mbona ajamtoa huyu mtu kwenye hii hali?
Anasahau kwamba unyonge ni kete ya kujizolea publicity na ccm ni chama cha kibepari na unyonyaji ukitaka kutambua ili angalia wasitaafu wake na wafadhiri wake wote ni wafanyabiashara.
Unakuta mtu aelewi kwamba wanae kupata elimu bure ni haki yake tena sio tu elimu bure mpaka form 4 elimu bure mpaka chuo kikuu, kupata maji safi, umeme, ajira sio hisani ni haki ya kila mtanzania kwa sababu wanalipa kodi.
Binafsi nachukia sana mtu kunililia mtoto wake amekosa mkopo wa chuo wakati anaisifia CCM kwa kuleta maendeleo uku ccm wakielea kuitumia kete ya ujinga na umasikini kuendelea kutawa. Binafsi nauchukia sana umasikini.
Kwa uandishi wako huu we mweupe tu. Unaweza kutumia hayo matusi ili ujidhihirishe zaidiUmerudia kusoma ulichoandika? Mkiitwa wajinga mtakuwa mnatukanwa kweli!!?? Kwa uandishi huu!!??
Pale vilaza wawili wakifarijianaNa hapo ndio makosa ya demokrasia yalipo. Yaani eti Mimi na Kawe Alumni Bia yetu, Etwege, MOTOCHINI, na wengine wa aina hiyo tuna kuwa na sharti la mtu mmoja kura moja?
Ilitakiwa watu wa aina hiyo wawe kama ishirini ndio ihesabike ni kura moja ya mtu mmoja makini.