Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatu……chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa “ubweche” ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etc…..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVA✊🏿