Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
š
𤣠𤣠š¤£Tupo nae pamoja.
View attachment 3182165
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
𤣠𤣠š¤£Tupo nae pamoja.
View attachment 3182165
Wacha hizo wewe! Yaani akili zenu mnaona kabisa Lissu ndiye mtu wa kuachiwa chama?Unafikiri huyo Mbowe ni wa kumuamini tena? Hujiulizi mpaka TBC wanarusha live mkutano wake kuna nini?
Ka. A walienda Chadema kwa ajili ya vyeo sio mbaya waka anzisha kundi lao.Kuna habari za kuaminika kabisa,kutoka kwa chanzo tiifu sana ambacho kina ukaribu wa hali ya juu mno na hawa Miamba mitatuā¦ā¦chanzo kinasema kuna makabrasha tayari yapo mezani na Mzee wa āubwecheā ameridhia kwa hiyari kabisa ujio wa hawa watu,tena ameomba astaafu chama awaachie LISSU na wenzake ila mwanae wa kiume (Rungwe JR) na baadhi ya viongozi wa juu hicho wawekwe kwenye kamati kuu ya Chama
Hatua hii inafuatia baada ya kuonekana kwa msigano na mvutano mkubwa sana unaoendelea pale CHADEMA,kwani Mbowe anataka aendelee kuongoza Chama yeye na genge lake,huku wanachama wengi wakimtaka Lissu ila inaonekana ni vigumu sana kwa TAL kushinda kulingana na wajumbe wengi kuwa vibaraka wa Mbowe na waliwekwa kimkakati kabisa
Unaambiwa ndani ya huu mpango wapo John Heche,Godbless Lema etcā¦..kinachosubiriwa ni hiyo siku ya Uchaguzi wa chama chao,endapo akishindwa TAL basi njia itakuwa ni kwenda kuungana na Hashim Rungwe Sipunda
Naiona CHAUMMA ikienda kuwa Chama kikuu cha upinzani ambacho kitakuwa hakina utapeli au hakina mafungamano na dola
VIVA CHAUMMA VIVAāšæ
Yule Mzee kanyooka sana na hana lopolopo kama wale wachaggaMkuu alikuambia nani mzee wa ubweche sio mtu wa kunako??? 𤣠𤣠𤣠š