Why Did Nyerere Support Biafra?

Why Did Nyerere Support Biafra?

There is not hurry in Africa, Sir, even among champions of Nyerere's gradualist Pan-Africanism!

Sir, that's why Dr. Nyerere failed. He wanted you to fly while others walk.
 
Mna uthibitisho kweli huyo ni zitto kabwe mnayeongea naye?mimi niliwahi kumwuliza kwa nini akatetea saana issue ya kununua mitambo ya richmond kinyume na sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2004,wakati serikali hiyo hiyo haitaki kuendeleza mradi wa bonde la rufiji stigler's gorge ambao utamaliza kero yoote ya umeme na kuzalisha ziada ya kuuza jirani akajiumauma na baadaye akaacha ku chat nikajua kuwa kijana huyo hawezi dialogue na kama anaweza basi anahitaji kusoma zaidi na zaidi bila kujali kama ba. Na ma. Anazo au hapana maana anajichanganya katika utendaji na utashi na anayoyaamini na hata msimamo wake unabadilika badilika
 
Swari:

Hivi bila kuwepo kwa mafuta kule, Biafra wangefikiria kujitenga? Hivi bila kuwepo kwa madini kwenye jimbo la Shaba, je vita vingetokea Congo?
 
Mna uthibitisho kweli huyo ni zitto kabwe mnayeongea naye?mimi niliwahi kumwuliza kwa nini akatetea saana issue ya kununua mitambo ya richmond kinyume na sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2004,wakati serikali hiyo hiyo haitaki kuendeleza mradi wa bonde la rufiji stigler's gorge ambao utamaliza kero yoote ya umeme na kuzalisha ziada ya kuuza jirani akajiumauma na baadaye akaacha ku chat nikajua kuwa kijana huyo hawezi dialogue na kama anaweza basi anahitaji kusoma zaidi na zaidi bila kujali kama ba. Na ma. Anazo au hapana maana anajichanganya katika utendaji na utashi na anayoyaamini na hata msimamo wake unabadilika badilika

Stigler's Gorge inaweza kumaliza matatizo ya umeme kwa muda mfupi tu. Ni 10% ya watanzania inayotumia umeme. Pili kwa sasa hivi umeme wa maporomoko ya maji unategemea sana upatikanaji wa mvua. Hivyo cha muhimu ni nchi kuwa na vyanzo tofauti vya umeme.

Mimi ningependa NUKI. Stigler's Gorge ni uharibifu wa mazingiira tu.
 
Guys, Nyerere was human,lets agree there wrongs in the process of trying to make things right. In overall he did many rights to this nation. JF great thinkers thinks critically.

To my brother Zitto, come back to your senses,we need you back. We don't know who you are anymore.
 
Wanabiafra mpaka leo wanamkumbuka Mwalimu Nyerere na Watanzania. Kwenye riwaya maarufu ya mwandishi wao anayechipukia, Chimamanda Ngozi Adichie, ijulikanayo kama 'Half of a Yellow Sun', kuna sehemu inaongelea jinsi walivyofurahi kupata ukubali wetu mpaka wakaiita baa fulani 'Tanzania Bar. Hatuwezi kukubali ubeberu hata ukiwa wa Kiafrika kwa kisingizio cha umoja! Umoja, umoja gani bila ukubali wa wahusika? Ndio maana huwezi kusema Mwalimu alikua kigeugeu - alikiwa na msimamo katika utetezi wa wahusika wanyonge wote, wale wanaoburuzwa na beberu mweupe na wale wanaobezwa na beberu mweusi!
 
Labda miye niulize.. tatizo la kanuni aliyosema Nyerere katika kuelezea kwanini Tanzania ilitambua Biafra ina makosa gani? Maana ni kanuni ile ile iliyomfanya awe na mahusiano na PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO. Au watu wamesahau kuwa Nyerere alitambua PLO vile vile kama alivyoitambua ANC?
 
why did nyerere support pan africanism and at the same time biafra? Why did nyerere oppose south african capital and at the same time allow debeers into our diamond?

i am of the view many of tanzania's chronic problems including grand corruption have their root from mwalimu nyerere's administration. Hence the only remedy is to restructure tanzania from scratch starting with the constitution.
 
Wanabiafra mpaka leo wanamkumbuka Mwalimu Nyerere na Watanzania. Kwenye riwaya maarufu ya mwandishi wao anayechipukia, Chimamanda Ngozi Adichie, ijulikanayo kama 'Half of a Yellow Sun', kuna sehemu inaongelea jinsi walivyofurahi kupata ukubali wetu mpaka wakaiita baa fulani 'Tanzania Bar. Hatuwezi kukubali ubeberu hata ukiwa wa Kiafrika kwa kisingizio cha umoja! Umoja, umoja gani bila ukubali wa wahusika? Ndio maana huwezi kusema Mwalimu alikua kigeugeu - alikiwa na msimamo katika utetezi wa wahusika wanyonge wote, wale wanaoburuzwa na beberu mweupe na wale wanaobezwa na beberu mweusi!

Kwa hiyo hata African Socialim inayolazimisha umoja nayo tusiikubali. Unalazimisha wabarabaig kuhama hili ardhi yao iwe shamba la NAFCO.
 
i am of the view many of tanzania's chronic problems including grand corruption have their root from mwalimu nyerere's administration. Hence the only remedy is to restructure tanzania from scratch starting with the constitution.

Kutoka Nyerere hadi sasa zimepita tawala nyingine tatu.. Nyerere alitoka miaka zaidi ya 25 iliyopita. Tanzania iliyoungana imekuwa kwa muda mrefu chini ya viongozi wengine kuliko Nyerere.. msipoangalia bado wengine wataendelea kumlalamikia Nyerere miaka 50 ijayo na hawatakuwa tayari kujiangalia wao wenyewe. Labda kukumbusha tu kuwa Nyerere amefariki zaidi ya miaka 10 iliyopita!
 
Kwa hiyo hata African Socialim inayolazimisha umoja nayo tusiikubali. Unalazimisha wabarabaig kuhama hili ardhi yao iwe shamba la NAFCO.

NAFCO haikuwa sera ya Kijamaa - ilikuwa ni STATE CAPITALISM!

UJAMAA - The Basis of African Socialism ni suala la hiari (IMANI)!
 
Sir you are heavyly biased. That's plainly African socialim, sharing poverty.

EU ambayo ni model ya EAC nayo ni African Socialism - they are sharing poverty with Belgium and Ireland?
 
Sir, that's why Dr. Nyerere failed. He wanted you to fly while others walk.

No, not in regard to Pan-Africanism Sir - Dr. Nkrumah ndio alitaka ku-fly kwenye hilo!

Mwalimu alitaka tutumie Ujamaa kukimbilia maendeleo - 'running while others walk'!
 
Ni Ubinafsi wa Mwl Nyerere na kutaka kuabudiwa kama Mungu. Na ndio maana mnataka kumfanya Saint. kitu alichoweza kufanikiwa ni kimoja tu Kutufanya tuwe waoga hata ndani ya nchi yetu. Hatujawi kuwa na kiwanda cha silaha lakini tulikuwa tunatoa msaada wa silaha kwa so called 'ukombozi wa bara Africa' wazungu walikuwa wanapigania mali Nyerere anapigania FAME. Naomba kutoa hoja
 
Labda miye niulize.. tatizo la kanuni aliyosema Nyerere katika kuelezea kwanini Tanzania ilitambua Biafra ina makosa gani? Maana ni kanuni ile ile iliyomfanya awe na mahusiano na PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO. Au watu wamesahau kuwa Nyerere alitambua PLO vile vile kama alivyoitambua ANC?

Mkuu Sana,
Hizo PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO ni organizations....Biafra ni tofauti kwa kuwa issue ilikuwa kujitenga kama nchi....lakini naomba muongozo wako
 
Labda miye niulize.. tatizo la kanuni aliyosema Nyerere katika kuelezea kwanini Tanzania ilitambua Biafra ina makosa gani? Maana ni kanuni ile ile iliyomfanya awe na mahusiano na PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO. Au watu wamesahau kuwa Nyerere alitambua PLO vile vile kama alivyoitambua ANC?

Hii mada haiusiani na Nyerere. Watu wanataka ku-justify hoja zao. Kwa maoni yangu mifano inayotolewa hapa sidhani kama inaangukia kwenye kundi la predictable/unpredictable. Hii ni kwa sababu unapotoa maamuzi ukiwa sober unatumia frame of reference ambazo kipindi kile zilikuwa haba. Hivyo Nyerere au Kiongozi wowote wa kiAfrika aliweza kutoa uamuzi ambao kwa miaka ya sasa asingeweza kutoa.

Lakini Geo-politics za kiAfrika zilipoanza kujitokeza, viongozi walianza kuwa na patterns zao za kufanya maamuzi. Kwa mfano, kwenye vitabu vya historia tunasoma kuwa kwenye kikao cha OAU walikubaliana kuiwekea ngumu UK kuhusiana na masuala ya Rodhesia. Baada ya kikao ni Tanzania pekee yake ikafanya hivyo. Na wengine walinyamaza. Hapo unaweza kusema kuwa Nyerere alikuwa predictable. Lakini angeweza kuwa na uamuzi mwingine kama kikao kingekuwa na makubaliano mengine au kama angekua kuwa wenzake wanamtosa.
 
Back
Top Bottom