Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,478
There is not hurry in Africa, Sir, even among champions of Nyerere's gradualist Pan-Africanism!
Sir, that's why Dr. Nyerere failed. He wanted you to fly while others walk.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is not hurry in Africa, Sir, even among champions of Nyerere's gradualist Pan-Africanism!
Kwa hiyo kufufuka kwa EAC kunakoendelea sasa nako ni utumbo wa Kijamaa?
Mna uthibitisho kweli huyo ni zitto kabwe mnayeongea naye?mimi niliwahi kumwuliza kwa nini akatetea saana issue ya kununua mitambo ya richmond kinyume na sheria ya ununuzi wa umma ya mwaka 2004,wakati serikali hiyo hiyo haitaki kuendeleza mradi wa bonde la rufiji stigler's gorge ambao utamaliza kero yoote ya umeme na kuzalisha ziada ya kuuza jirani akajiumauma na baadaye akaacha ku chat nikajua kuwa kijana huyo hawezi dialogue na kama anaweza basi anahitaji kusoma zaidi na zaidi bila kujali kama ba. Na ma. Anazo au hapana maana anajichanganya katika utendaji na utashi na anayoyaamini na hata msimamo wake unabadilika badilika
It's a recipe for disaster.
It's a recipe for disaster.
why did nyerere support pan africanism and at the same time biafra? Why did nyerere oppose south african capital and at the same time allow debeers into our diamond?
Wanabiafra mpaka leo wanamkumbuka Mwalimu Nyerere na Watanzania. Kwenye riwaya maarufu ya mwandishi wao anayechipukia, Chimamanda Ngozi Adichie, ijulikanayo kama 'Half of a Yellow Sun', kuna sehemu inaongelea jinsi walivyofurahi kupata ukubali wetu mpaka wakaiita baa fulani 'Tanzania Bar. Hatuwezi kukubali ubeberu hata ukiwa wa Kiafrika kwa kisingizio cha umoja! Umoja, umoja gani bila ukubali wa wahusika? Ndio maana huwezi kusema Mwalimu alikua kigeugeu - alikiwa na msimamo katika utetezi wa wahusika wanyonge wote, wale wanaoburuzwa na beberu mweupe na wale wanaobezwa na beberu mweusi!
Hujajibu swali - au ni kusaidie? La, hasha, ni utumbo wa Kibepari!
i am of the view many of tanzania's chronic problems including grand corruption have their root from mwalimu nyerere's administration. Hence the only remedy is to restructure tanzania from scratch starting with the constitution.
Kwa hiyo hata African Socialim inayolazimisha umoja nayo tusiikubali. Unalazimisha wabarabaig kuhama hili ardhi yao iwe shamba la NAFCO.
Sir you are heavyly biased. That's plainly African socialim, sharing poverty.
Sir, that's why Dr. Nyerere failed. He wanted you to fly while others walk.
Labda miye niulize.. tatizo la kanuni aliyosema Nyerere katika kuelezea kwanini Tanzania ilitambua Biafra ina makosa gani? Maana ni kanuni ile ile iliyomfanya awe na mahusiano na PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO. Au watu wamesahau kuwa Nyerere alitambua PLO vile vile kama alivyoitambua ANC?
Labda miye niulize.. tatizo la kanuni aliyosema Nyerere katika kuelezea kwanini Tanzania ilitambua Biafra ina makosa gani? Maana ni kanuni ile ile iliyomfanya awe na mahusiano na PLO na POLISARIO, ANC na FRELIMO. Au watu wamesahau kuwa Nyerere alitambua PLO vile vile kama alivyoitambua ANC?