let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Tuzidhanie sababu kwenye Taifa gani hasa?.Unadhani ni sababu zipi hupelekea kuzuia vipimo hivyo?
Sababu zinazohusu taifa la IsraelTuzidhanie sababu kwenye Taifa gani hasa?.
Maana kuna mataifa mengi tu yamezuia DNA.
Sasa Sijui wewe unapendekeza tutafute sababu kwenye Taifa lipi.
Israelis afraid to find out they are of European origins instead of ancient Hebrew like the Palestinians? Israelis are forbidden to buy ancestry DNA kits from the store without presenting a court order.I am interested in hearing your thoughts on the matter.
Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
Which European countries did they originate from?Israelis afraid to find out they are of European origins instead of ancient Hebrew like the Palestinians? Israelis are forbidden to buy ancestry DNA kits from the store without presenting a court order.
Vizuri.. Lakini kabla hatujazitafuta hizo sababu ebu jipe muda ujiulize... Ni kwanini Israel Nchi pekee ambayo ni Multicultural country Mashariki ya kati ku-ban DNA kuwe kitu cha kuibua maswali wakati huo huo switzerland Nchi ambayo si Multicultural country ku-ban DNA sio jambo la kuibua Maswali?.Sababu zinazohusu taifa la Israel
Wamelaaniwa na nani Mkuu?!Hawa jamaa wamelaaniwa na ni moja ya jamii ya kishenzi kuwahi kutokea duniani wanalazimisha kuheshimika lakini matendo yao hayawezi kuwaheshimisha saivi kila mtu hadi ulaya anawatemea mate
Mbona unachapia lugha za watu kiasi hiki?Because Zionists are not neither Semites nor Hebrews.
DNA simply reveals they are not natives of Middle East.
Nimerekebisha.Mbona unachapia lugha za watu kiasi hiki?
Swali langu je kuna wayahud wa asili kabla hawajaja hawa kutoka ulaya?DNA zao siyo za eneo la Hilo Bali ulaya
Uyahudi ni dini,uliza waisraeli, waisraeli walishapotea baada ya kusambaa duniani na kuoana na jamii zingineSwali langu je kuna wayahud wa asili kabla hawajaja hawa kutoka ulaya?
We care for those affairs , but If you have no interest and you don't care, what brought you here?Why should we care what Israel is or isn't doing? Hamna kazi za kufanya?
Ni kundi gani hilo na malengo yao ni yapi hasa?Kuna kundi kubwa lina push habari kama hizi kwa jamii kwasababu zao na Manufaa yao wenyewe so jitahidi usifolo vikitim kwa huo mtego.
Tofautisha Jews na Judaism wewe. Unaongea na mtu ambae amefika hayo maeneo zaid ya mara 4. Waisrael ni raia wote wa Israel ila ndani kuna wayahud waarabu, wapo beedui, na Samaritan.Uyahudi ni dini,uliza waisraeli, waisraeli walishapotea baada ya kusambaa duniani na kuoana na jamii zingine
New ni mtu,Kama vile Muslim, Judaism ni Imani Kama vile Islam,kufika huko siyo kujua ya huko, Israel Ina waarabu yeah,na uislam ni dini ya pili kwa ukubwa Israel baada ya Judaism,hoja Yako nini!?Tofautisha Jews na Judaism wewe. Unaongea na mtu ambae amefika hayo maeneo zaid ya mara 4. Waisrael ni raia wote wa Israel ila ndani kuna wayahud waarabu, wapo beedui, na Samaritan.
We care for those affairs , but If you have no interest and you don't care, what brought you here?
24/7 ni time yetu na wewe una yako, ni vyema ukajikumbusha majukumu yako kwa time yako mwenyeweNawakumbusha muache ujinga mfanye kazi. Israel doesn't give a damn about y'all hawajaui hata mna exist ila nyie mnaiwaza 24/7.