Why DNA tests are BANNED in Israel?

Why DNA tests are BANNED in Israel?

Hawa jamaa wamelaaniwa na ni moja ya jamii ya kishenzi kuwahi kutokea duniani wanalazimisha kuheshimika lakini matendo yao hayawezi kuwaheshimisha saivi kila mtu hadi ulaya anawatemea mate
 
I am interested in hearing your thoughts on the matter.

Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
Israelis afraid to find out they are of European origins instead of ancient Hebrew like the Palestinians? Israelis are forbidden to buy ancestry DNA kits from the store without presenting a court order.
 
Israelis afraid to find out they are of European origins instead of ancient Hebrew like the Palestinians? Israelis are forbidden to buy ancestry DNA kits from the store without presenting a court order.
Which European countries did they originate from?
 
Sababu zinazohusu taifa la Israel
Vizuri.. Lakini kabla hatujazitafuta hizo sababu ebu jipe muda ujiulize... Ni kwanini Israel Nchi pekee ambayo ni Multicultural country Mashariki ya kati ku-ban DNA kuwe kitu cha kuibua maswali wakati huo huo switzerland Nchi ambayo si Multicultural country ku-ban DNA sio jambo la kuibua Maswali?.


Nchi ambayo majority ni watu we race moja kwasababu zao wameban DNA ila hakuna Maswali, hakuna mtu anae hoji ila Nchi ambayo ni Multicultural ku-ban DNA ni habari ya kusisimua.
Kwa akili ya kawaida maswali yalipaswa kujengwa kwa switzerland na sio kwa Israel.
Israel kuwa Multicultural country ndani ya mashariki ya kati bila kuua Diversity jambo gumu sana.
Nb:
Kuna kundi kubwa lina push habari kama hizi kwa jamii kwasababu zao na Manufaa yao wenyewe so jitahidi usifolo vikitim kwa huo mtego.
 
37228.jpg
 
Tofautisha Jews na Judaism wewe. Unaongea na mtu ambae amefika hayo maeneo zaid ya mara 4. Waisrael ni raia wote wa Israel ila ndani kuna wayahud waarabu, wapo beedui, na Samaritan.
New ni mtu,Kama vile Muslim, Judaism ni Imani Kama vile Islam,kufika huko siyo kujua ya huko, Israel Ina waarabu yeah,na uislam ni dini ya pili kwa ukubwa Israel baada ya Judaism,hoja Yako nini!?
 
Back
Top Bottom