wapalestina wote ni jamii ya wamisri, jordan na maeneo ya kiarabu, na waisrael karibia nusu ni jamii ya watu asilia wa pale though waliondoka zamani, ila wengine kiukweli wana asili ya ulaya na walifanyika waisrael sio kwasababu ya damu ila kwa kuwa converted. na kwa sababu hiyo huwezi kusema waisrael wote ni wazungu, wapo wengine rangi zinafifia kwasababu walipotawanyika, wengi walienda uarabuni, yemen, iran, iraq n.k na wengine walibaki palepale. wengine ndio walienda ulaya, wengine walienda misri, morroco, algeria, misri, libya n.k. na hawajawahi kwenda ulaya. hivyo kusema hao ni wazungu ni ujinga wa akili na kukosa historia kichwani.