waarabu au wayaudi ? waarab ndo kansa ya dunia ,sio Sudani , wala Afrika kaskazini wala afrika magharibi sio mashariki ya kati wala ulaya , waarabu wameleta fujo sana , na Dubai ndo kitovu uuzwaji wa mali zinazoibiwa Afrika
Huu uongo na upoyoyo umeutoa wapi?
-World war 1 & 2 alileta mwarabu?
-Slave trade alileta mwarabu?
-Colonialism alileta mwarabu?
-Regime change alileta mwarabu?
-Blood minerals DRC na West Africa alileta mwarabu?
-Middle east conflicts kuvamiwa kwa Saddam Hussein,Damascus crisis 1958,Syria revolution since 2011,Yemeni invasion Kaleta mwarabu?
Hii dunia kama sio WAZUNGU NA WAMAREKANI ingekua sehemu salama sana.
-Sudan vita zao za kikabila usiwahusishe waarabu.Sudan kusini hadi sasa wanauana je kuna mwarabu Sudan kusini!?
-Africa magharibi ndio Francofone nations,mataifa ambayo makoloni ya zamani ya France,hayana amani na France anahisiwa kuhusika maana hata MADASGAR alihusika France kumpindua Ravalomanana kwa kumsaidia Andy Rajoelina.
-Tunafahamu namna wazungu wanavyo exploit mataifa mengine kwa neocolonialism.
-Central Africana republic mauaji ya Anti balaka,kuna waarabu pale??
-Rwanda genocide France wanahisiwa kuhusika.
-Duniani genocide nyingi zinaaminika kutekelezwa na Germany,je Germany mwarabu!?
-Kulazimisha watu mikataba ya ushoga na usagaji kwa fimbo ya misaada na ruzuku je Kaleta mwarabu!?
Unatuchukulia sisi mafala au sio!?
Punguani Waheed wewe.