Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.Twitter kw watu wazima kule, hamtuzidi kw lolote labda insta kw page za umbea..
Youtube wakenya kila mtu anaangalia anchokipenda sio km nynyi mnakomalia zile channel zenu za umbea na udaku..
Hahaha!!jamaa wanapenda umbea sana haoJana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
imagine 300k na ndio rais anayetajwa zaidi africa.Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
Hatuzipendi kwasababu ni chombo cha mabongolala, skendo,mavazi,vyakula,udaku na takataka za ajabu....tupa kule..garbage in,garbage out.Hawazipendi sababu zinakula sana data/bundle [emoji23][emoji23][emoji23]
Ruto has many followers kuliko that padlock of yours. That`s what was being discussed here, so kutajwa zaidi kwa sababu ya ujinga yake.imagine 300k na ndio rais anayetajwa zaidi africa.
huyu ruto tumemjua baada ya kuanza campain two yrs before campaign.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
JPM ana 0.94 mln followers!imagine 300k na ndio rais anayetajwa zaidi africa.
huyu ruto tumemjua baada ya kuanza campain two yrs before campaign.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
utashangaa kabla ya 2025 keshafikisha 5mln.JPM ana 0.94 mln followers!
https://twitter.com/MagufuliJP
mbona povu jombaa,ujinga ya magu ndio inafucck akili mingi ya wakenya wote na kuonekana ni useless[emoji23][emoji23][emoji23]Ruto has many followers kuliko that padlock of yours. That`s what was being discussed here, so kutajwa zaidi kwa sababu ya ujinga yake.
soon atajua hajui huyo faramangaCreated in July 2015
View attachment 1599007
https://twitter.com/MagufuliJP
VS
Created in July 2011
View attachment 1599009
https://twitter.com/WilliamsRuto
Tofauti ya watanzania na Wakenya Ni kwamba nyie mnapenda umbea sisi Wakenya sio watu wa umbea ,hao wote umepost for instance siwezi kuwafollow maana they add no value to me.
Sio hawaipendi hawawezi mudu gharama ya MB uwe mkwel .hiyo mitandao inakula MB hatari na Kenya maisha magumu Kwa watu wenge wa maisha ya kawaida hawawezi kumudu ndio maana wanajazana FB hata kama huna MB unaperuziKama ni Insta basi umetupa mbao, na randa juu yake ...wakenya wengi hawapo na hawaipendi instagram....pia youtube kivile.
Sasa mwenye time na ninyi ni nani?Tofauti ya watanzania na Wakenya Ni kwamba nyie mnapenda umbea sisi Wakenya sio watu wa umbea ,hao wote umepost for instance siwezi kuwafollow maana they add no value to me.
Na bado huko FB hawatufikii japo watanzania FB hawafagilii kivile sababu wengi wanachukulia FB kama mtandao wa teenagersSio hawaipendi hawawezi mudu gharama ya MB uwe mkwel .hiyo mitandao inakula MB hatari na Kenya maisha magumu Kwa watu wenge wa maisha ya kawaida hawawezi kumudu ndio maana wanajazana FB hata kama huna MB unaperuzi
Mpuuz huyu yani anapendaa kujifanya ana hari zuri bado aseme ukweli wakenya wengi hawawezi mudu gharama za YouTube anaongopa hapa , hivi dunia hii usipopenda YouTube utapenda mtandao gani karibu duniani kote YouTube ni chaguo namba 1 kenge huyuNa bado huko FB hawatufikii japo watanzania FB hawafagilii kivile sababu wengi wanachukulia FB kama mtandao wa teenagers
Na YouTube ndio mtandao unaopredict hali ya ufuasi wa social media kwenye Taifa, wakenya idadi ya juu kabisa ya followers kwenye mtandao wao pendwa wa Twitter ni million 4 wakati Tanzania ni million 11,hivi hapo bado tuna haja ya kujilinganisha na hawa wapumbavu?Mpuuz huyu yani anapendaa kujifanya ana hari zuri bado aseme ukweli wakenya wengi hawawezi mudu gharama za YouTube anaongopa hapa , hivi dunia hii usipopenda YouTube utapenda mtandao gani karibu duniani kote YouTube ni chaguo namba 1 kenge huyu
Kumbe we pia ni mambo yako hayo[emoji23][emoji23]Wakenya gani!
Unamaanisha hawa wakenya wanaosambaza porn videos 24 hours kwenye mtandao wa telegram (channels na groups)!
Au unamaanisha wale wana omba likes kwenye youtube videos eti "wapi likes za wakenya"
Bora ya Watanzania wanaopiga pesa kwenye mtandao wa instagram kuliko hao wakunya wanaosambaza ujinga.
Eti TBC, Utopolo tupu na usukuma.Hako ka media kanaingia mara elfu moja citizen kw kila kitu.
Uchafu huo takataka........eti DSTV ,kwa lugha ipi?
Hivi mbona ninyi mmeathirika sana na ukabila?Eti TBC, Utopolo tupu na usukuma.