Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

Why does Kenya lie on number of internet subscribers?

Twitter kw watu wazima kule, hamtuzidi kw lolote labda insta kw page za umbea..
Youtube wakenya kila mtu anaangalia anchokipenda sio km nynyi mnakomalia zile channel zenu za umbea na udaku..
Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
 
Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
Hahaha!!jamaa wanapenda umbea sana hao
 
Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers
imagine 300k na ndio rais anayetajwa zaidi africa.
huyu ruto tumemjua baada ya kuanza campain two yrs before campaign.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
imagine 300k na ndio rais anayetajwa zaidi africa.
huyu ruto tumemjua baada ya kuanza campain two yrs before campaign.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Ruto has many followers kuliko that padlock of yours. That`s what was being discussed here, so kutajwa zaidi kwa sababu ya ujinga yake.
 
Jana nilieka hapa twitter page ya Ruto na ya Magufuli. The difference is like light and darkness.
Ruto 3.4 million followers
Magufuli 300k followers

Created in July 2015

Screenshot 2020-10-13 17.57.10.png

https://twitter.com/MagufuliJP

VS

Created in July 2011
Screenshot 2020-10-13 18.00.25.png

https://twitter.com/WilliamsRuto
 
utashangaa kabla ya 2025 keshafikisha 5mln.

hawa nakumbuka battle ya social media ilipoanza,walijidai na most viewed gospel song ya muimbaji mercy masika mwema=ilikuwa na 10+mil 2019.

for now the rest is history zabroni wana 26ml,mwema ina 13mln.hata huwa nawaambia kuhusu social media ni heli wakaushe tu wasiweke battle huko.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ruto has many followers kuliko that padlock of yours. That`s what was being discussed here, so kutajwa zaidi kwa sababu ya ujinga yake.
mbona povu jombaa,ujinga ya magu ndio inafucck akili mingi ya wakenya wote na kuonekana ni useless[emoji23][emoji23][emoji23]

sijui akitumia japo 1% ya akili mtakaa na matako gani[emoji1][emoji1].

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kama ni Insta basi umetupa mbao, na randa juu yake ...wakenya wengi hawapo na hawaipendi instagram....pia youtube kivile.
Sio hawaipendi hawawezi mudu gharama ya MB uwe mkwel .hiyo mitandao inakula MB hatari na Kenya maisha magumu Kwa watu wenge wa maisha ya kawaida hawawezi kumudu ndio maana wanajazana FB hata kama huna MB unaperuzi
 
Tofauti ya watanzania na Wakenya Ni kwamba nyie mnapenda umbea sisi Wakenya sio watu wa umbea ,hao wote umepost for instance siwezi kuwafollow maana they add no value to me.
Sasa mwenye time na ninyi ni nani?

Hakuna mtandao umeajiri watanzania wengi kama instagram, people are selling their clothing lines, furniture, electronics, services, gadgets you name them, sio kama ninyi mpo mpo tu.
 
Sio hawaipendi hawawezi mudu gharama ya MB uwe mkwel .hiyo mitandao inakula MB hatari na Kenya maisha magumu Kwa watu wenge wa maisha ya kawaida hawawezi kumudu ndio maana wanajazana FB hata kama huna MB unaperuzi
Na bado huko FB hawatufikii japo watanzania FB hawafagilii kivile sababu wengi wanachukulia FB kama mtandao wa teenagers
 
Na bado huko FB hawatufikii japo watanzania FB hawafagilii kivile sababu wengi wanachukulia FB kama mtandao wa teenagers
Mpuuz huyu yani anapendaa kujifanya ana hari zuri bado aseme ukweli wakenya wengi hawawezi mudu gharama za YouTube anaongopa hapa , hivi dunia hii usipopenda YouTube utapenda mtandao gani karibu duniani kote YouTube ni chaguo namba 1 kenge huyu
 
Na YouTube ndio mtandao unaopredict hali ya ufuasi wa social media kwenye Taifa, wakenya idadi ya juu kabisa ya followers kwenye mtandao wao pendwa wa Twitter ni million 4 wakati Tanzania ni million 11,hivi hapo bado tuna haja ya kujilinganisha na hawa wapumbavu?
 
Wakenya gani!

Unamaanisha hawa wakenya wanaosambaza porn videos 24 hours kwenye mtandao wa telegram (channels na groups)!

Au unamaanisha wale wana omba likes kwenye youtube videos eti "wapi likes za wakenya"

Bora ya Watanzania wanaopiga pesa kwenye mtandao wa instagram kuliko hao wakunya wanaosambaza ujinga.
Kumbe we pia ni mambo yako hayo[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom