Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
tatizo hujasoma.................alipofanya vizuri nimemsifia ila alipokosea nimem'mulika..........hakuan matakatifu hapa duniani................aanze kusafisha ufisadi na utawala usiyo bora Chadema mengineyo ataeleweka..waswahili husema "Mkuki kwa nguruwe (CCM) na kwa mwanadamu (Chadema) ni mchungu................lol
Ruta wewe na mimi tunafahamiana vizuri sana hapa JF, kwa lugha nyingine naweza kusema ulianza zamani sana kumshambulia Dr. Slaa pamoja na Chadema kwa ujumla, labda wageni wa hapa JF ndio hawakufahamu rangi yako halisi, wewe ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo.
Hakuna jipya hapa ulichoandika labda kwa vijana wageni hapa jamvini lakini kwa sisi wakongwe tunajua hii ni mvinyo ile ile ya zamani ndani ya kiriba kipya.