Why Dr. Slaa is now politically speaking “damaged goods”!

Why Dr. Slaa is now politically speaking “damaged goods”!

tatizo hujasoma.................alipofanya vizuri nimemsifia ila alipokosea nimem'mulika..........hakuan matakatifu hapa duniani................aanze kusafisha ufisadi na utawala usiyo bora Chadema mengineyo ataeleweka..waswahili husema "Mkuki kwa nguruwe (CCM) na kwa mwanadamu (Chadema) ni mchungu................lol

Ruta wewe na mimi tunafahamiana vizuri sana hapa JF, kwa lugha nyingine naweza kusema ulianza zamani sana kumshambulia Dr. Slaa pamoja na Chadema kwa ujumla, labda wageni wa hapa JF ndio hawakufahamu rangi yako halisi, wewe ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo.

Hakuna jipya hapa ulichoandika labda kwa vijana wageni hapa jamvini lakini kwa sisi wakongwe tunajua hii ni mvinyo ile ile ya zamani ndani ya kiriba kipya.
 
nshomile bwana mpaka form sikis...huyu bwana siku hizi anacheza kama neutral player,.anaponda ccm wote anaponda wapinzani wote!!!tuambie nani presidential material unayemuona anafaa mr.know it all
 
Rutashubanyuma
I was touched by your analysis; for naysayers if you want to defends your master come up with something strong to validate your points; this is how we argue in politic point of views; Mkuu Mwita Maranya and your company I am waiting for your analysis.

Chama
Gongo la mboto DSM

chama hawawezi watabakia kulalama ............kuwa mtu wao kawekwa kiti moto bila ya huruma.....
 
Last edited by a moderator:
Mtumishi wetu na Mwita Maranya,
Ataishia kule alikodhamiria yeye mwenyewe. Kiuhalisia huwezi kutoa tathmini ya kukubalika kwa Dr Slaa bila kufanya utafiti kwanza.
[MENTION]
Mikael P Aweda[/MENTION] furukuta na umtetee hapa bosi wako kwenye hizi tuhuma zinazomkabili..............sema usikike.....
 
nshomile bwana mpaka form sikis...huyu bwana siku hizi anacheza kama neutral player,.anaponda ccm wote anaponda wapinzani wote!!!tuambie nani presidential material unayemuona anafaa mr.know it all

nyabhingi hakuna anayeelewa kila kitu isipokuwa Muumba tu..................ninachofaya nikuamsha mjadala wa succession politics................................that is all..........................
 
Mkuu Rutashubanyuma,

Hongera kwa article hii ambayo umeiandika vizuri sana kwa mtu ambaye anataka kusoma na kujifunza.

Unachoongelea sio tatizo la CHADEMA tu, ndilo tatizo la CCM na vyama vingine. Hilo ndilo tatizo la sisi Watanzania. Hatufanyi juhudi hata kidogo kuondoa udhaifu kwetu kwanza kabla hata tu ya kuuonyesha udhaifu wa jirani. We know how to talk the talk but we are not capable of walking the walk.

Tunajenga culture ya kupinga kila kitu kinachoendana tofauti na mapenzi yetu hata kama kina MANTIKI na kusifia kila kitu kinachoendana na tukipendacho hata kama ni UJINGA.

Group thinking mentality imeota vichwani mwetu kiasi kwamba tumegeuka wafuasi; hatuulizi tunaenda wapi, tunaangalia na kufuata tunaowaabudu wanaenda wapi na sisi kufuata. Mara nyingi tunapelekwa njia ambayo ina mamba na kina kirefu na wengi kuangamia na kuwa mizoga na kuwatengeneza sikukuu vultures.

Sio viongozi wetu tu, I hope wote tutajiangalia upya na kujipima na kujinoa ili tuwe askari wa kupambana na makosa mbalimbali si kwasababu tu yanafanywa na adui zetu bali kwasababu tunaamini ni mabaya hata kama yanatufaidisha sisi na tuwapendao.
 
WOWOWO nilichosema katiba hutafsiriwa na mahakama Kuu na wao tayari kuanzia 1996 walikwisha kusema ni rukhsa kuishtaki NEC kama haikuzinatia sheria za uchaguzi katika kumtangaza mshindi wa kiti cha Uraisi. CDM hawakuwa na ushahidi wa kulithibitisha hilo wakabakia kuupotosha umma kuwa katiba ndiyo tatizo......wao siyo mahakama kuu.

viongozi wanajadiliwa kwa matendo yao binafsi na lazima iwe personality analysis..........................ukichukia hiyo ni bakhati mbaya kwako.........

Ruta hapa ndipo unazidi kujiaibisha na kubainisha upofu wako juu ya masuala ya uchaguzi na siasa ya nchi hii.
Sheria ya uchaguzi na iliyoanzisha tume ya uchaguzi iko wazi kabisa kwamba hakuna mahakama yoyote ndani ya JMT inayoweza kuihoji NEC juu ya shughuli zake za uendeshaji wa uchaguzi na kutangaza matokeo na kwamba wakishamtangaza mshindi basi hapo ndio mwisho wa story.

Sasa kwa mtu mwenye akili nzuri, tena ya kawaida anafahamu kwamba mahakama za Tanzania hazina uwezo wowote wa kisheria kusikiliza malalamiko ya uchaguzi, sas hilo tamko la 1996 lilitolewa na nani na katika mazingira gani.
 
Ruta wewe na mimi tunafahamiana vizuri sana hapa JF, kwa lugha nyingine naweza kusema ulianza zamani sana kumshambulia Dr. Slaa pamoja na Chadema kwa ujumla, labda wageni wa hapa JF ndio hawakufahamu rangi yako halisi, wewe ni chui uliyejivika ngozi ya kondoo.

Hakuna jipya hapa ulichoandika labda kwa vijana wageni hapa jamvini lakini kwa sisi wakongwe tunajua hii ni mvinyo ile ile ya zamani ndani ya kiriba kipya.
[MENTION]
Mwita Maranya[/MENTION].......order, order....................kuelekea uchaguzi wa 2010 niliandika makala nyingi za kumpigia debe Dr. Slaa................nitendee ubinadamu ndugu yangu.....................usinpakazie kuwa nimekuwa nikimshambulia.................kila wakati penye kustahiki sifa huwa anapewa.......................lakini sasa kachoka mno....
 
Mkuu Rutashubanyuma,

Hongera kwa article hii ambayo umeiandika vizuri sana kwa mtu ambaye anataka kusoma na kujifunza. Hizi ndio aina za makala za JF kabla ya 2010 na ambazo sasa ni chache sana hapa kijiweni.

Unachoongelea sio tatizo la CHADEMA tu, ndilo tatizo la CCM na vyama vingine. Hilo ndilo tatizo la sisi Watanzania. Hatufanyi juhudi hata kidogo kuondoa udhaifu kwetu kwanza kabla hata tu ya kuuonyesha udhaifu wa jirani. We know how to talk the talk but we are not capable of walking the walk.

Tunajenga culture ya kupinga kila kitu kinachoendana tofauti na mapenzi yetu hata kama kina MANTIKI na kusifia kila kitu kinachoendana na tukipendacho hata kama ni UJINGA.

Group thinking mentality imeota vichwani mwetu kiasi kwamba tumegeuka wafuasi; hatuulizi tunaenda wapi, tunaangalia na kufuata tunaowaabudu wanaenda wapi na sisi kufuata. Mara nyingi tunapelekwa njia ambayo ina mamba na kina kirefu na wengi kuangamia na kuwa mizoga na kuwatengeneza sikukuu vultures.

Sio viongozi wetu tu, I hope wote tutajiangalia upya na kujipima na kujinoa ili tuwe askari wa kupambana na makosa mbalimbali si kwasababu tu yanafanywa na adui zetu bali kwasababu tunaamini ni mabaya hata kama yanatufaidisha sisi na tuwapendao.

Mtanzania hongera sana una upeo mkubwa..........mno. Kwenye utangulizi wangu niliwatahadharisha ya kuwa hii mada hawataipenda kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa kama wa yanga na Simba kuwa lazima tushinde tu.............by hooks or by crooks...........matokeo yake wanatafuta sababu ya kutoijadili kwa sababu iko nje ya comfort zone zao.........kazi kubwa ninayoifanya ni kushawishi tuache utumwa wa vyama vya siasa kama kweli tunataka kujitendea haki nafsi zetu.......
 
Sikujua first lady wa CDM ulikuwa unasurpote ile mada ya Exaud Mamuya ya kuchochea mgogoro ndani ya Chama?
 
Ruta hapa ndipo unazidi kujiaibisha na kubainisha upofu wako juu ya masuala ya uchaguzi na siasa ya nchi hii.
Sheria ya uchaguzi na iliyoanzisha tume ya uchaguzi iko wazi kabisa kwamba hakuna mahakama yoyote ndani ya JMT inayoweza kuihoji NEC juu ya shughuli zake za uendeshaji wa uchaguzi na kutangaza matokeo na kwamba wakishamtangaza mshindi basi hapo ndio mwisho wa story.

Sasa kwa mtu mwenye akili nzuri, tena ya kawaida anafahamu kwamba mahakama za Tanzania hazina uwezo wowote wa kisheria kusikiliza malalamiko ya uchaguzi, sas hilo tamko la 1996 lilitolewa na nani na katika mazingira gani.

Mwita Maranya unaniangusha maana hata hujasoma au hujaelewa nimesema nini. Mimi nimenukuu maagizo ya Mahakama Kuu uamuzi wa 1996 kwenye kesi ya Mrema na wenzie dhidi ya AG na Mkapa.

hakuna nafasi ya tafsiri nje ya maamuzi ya kimahakama.......
 
Last edited by a moderator:
Dr Slaa anaogopwa sana tena sana hili ndilo naliona kwenye makala hii! Mtu hata hajatangaza nia ya kugombea watu wanahofu na siku akitangaza sindio watapelekwa india kutibiwa, sisi watanzania halisi tunasubiri 2015 tujue mbivu na mbichi hatusikii tena habari za Gamba gumu.

labda niseme tu kwamba kwenye kila chama hakukosi kasoro na ndani ya Chadema zipo na zinashughulikiwa ipasavyo na ndicho kinachowauma wa upande wa pili maana wao hawawezi kushudhulikia kero ndani ya chama chao.

Dr ni mwiba kwa wale wa upande wa kijani na njano na makala za namna hii tunazitegemea sana kuelekea 2015.
 
Chadema needs to do some revaluation of itself. I am seriously doubting whether Dr Slaa or Mbowe will be good candidates for 2015. Likewise, Chadema has some good policies and well structured but Chadema is lacking the charisma of being people's choice for an alternative political party after CCM. Majority of Tanzanians still have in their minds a view that chadema is either a Chagga's tribe or Christian's party and these views have a much larger effect in their decision making particularly during the election period. Believe it or not

Mkuu Mdondoaji habari za siku nyingi, hatujaonana hapa JF kwa muda mrefu sana.
Back to the topic, hapa ulikuwa unaizungumzia cuf imetokea bahati mbaya ukaandika Chadema kimakosa. Dr. Slaa sio sawa na Maalim Seif na Kamanda Mbowe si sawa na Prof. Lipumba.

Nashangaa hii thread inayoendeleza mahubiri ya chuki dhidi ya Chadema imekutoa pangoni, na hii inakuja muda mfupi baada ya thread iliyoanika wazi majina ya wasaliti kufungwa bila kupatiwa majibu muafaka toka kwa watuhumiwa. Hizo propaganda za udini na ukabila zimeshachuja kwahiyo haziwezi kuwasaidia this time ni bora mtafute santuri nyingine.
 
Last edited by a moderator:
CDM ni chama kinachokuwa kwa kasi sana na watu wanakifuata bila shuluti. matatizo ya kiuongozi na challenges kama hizo lazima ziwepo.

CCM wana uzoefu wa kuongoza nchi kwa miongo kadhaa -- so stand still chadema, angalieni hizi challenges na kuzifanyika kazi -- i mean za kipuuzi waachieni walioziandika zenye mantiki basi haraka haraka chukueni ; sisi wananchi bado tunawaamini.

Personal attacks kwa DR. lazima ziwepo maana CDM ni chama kinachopendwa na kuaminiwa na umma, kimbilio la wanyonge.

Before 2010 election CDM ilikuwa na wabunge 5 tu, baada ya 2010 CDM ikawa na wabunge 43 - ukuaji ni 860% - hapo lazima kuwe na challenges.

FUSO Tofautisha personal attacks and personal evaluations.............the first ni dhuluma na the other ndiyo stahiki yake........
 
Last edited by a moderator:
I pray we are not heading for another "things fall apart, the center cannot hold anymore...Corruption, poverty, greediness and less access to health, education and other services. Kikwete has done more damage than any leader in our country history. I don't see Dr Slaa his reputation to be damage.
 
Dr Slaa anaogopwa sana tena sana hili ndilo naliona kwenye makala hii! Mtu hata hajatangaza nia ya kugombea watu wanahofu na siku akitangaza sindio watapelekwa india kutibiwa, sisi watanzania halisi tunasubiri 2015 tujue mbivu na mbichi hatusikii tena habari za Gamba gumu.

labda niseme tu kwamba kwenye kila chama hakukosi kasoro na ndani ya Chadema zipo na zinashughulikiwa ipasavyo na ndicho kinachowauma wa upande wa pili maana wao hawawezi kushudhulikia kero ndani ya chama chao.

Dr ni mwiba kwa wale wa upande wa kijani na njano na makala za namna hii tunazitegemea sana kuelekea 2015.

mbogo31 pengine huna taarifa hata wana magamba wagombea wao nao huwa ninawaweka kiti moto na kuwachambua....................siyo Dr. Slaa tu
 
Last edited by a moderator:
I pray we are not heading for another "things fall apart, the center cannot hold anymore...Corruption, poverty, greediness and less access to health, education and other services. Kikwete has done more damage than any leader in our country history. I don't see Dr Slaa his reputation to be damage.
[MENTION]
Mzalendo80[/MENTION] do you trust him after these revelations of his hypocrisy?
 
Tuhuma ya pii kuhusu kwenda mahakamani kuhoji matokeo ya Urais wa 2010 , ni umbulula kwani hujui kuwa katiba ya sasa imekataza? Ama wewe uko ulimwengu upi ? Unajua kuandika kiingereza pkumbe huna uelewa wa mambo?

Haki sawa Kabla hujanituhumu kutoelewa mambo inabidi kwanza usome taratibu sana mimi nimesema nini.....................nilichofanya ni kunukuu mamuzi ya mahakama kuu ambacho ndicho chombo pekee chenye malamka ya kuitafsiri katiba yetu. Hizo tafsir zenu zinakiuka maelekezo ya kimahakama isitoshe katiba imeweka wazi NEC lazima ifuate sheria ya uchaguzi kabla ya kumtangaza mshindi wa kiti cha uraisi.

Hili Dr. Slaa hawezi kukwepa liko wazi na ukizingatia ana shahada ya PHD in laws...............he should have known better
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom