Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Diana alikaa kwenye mahojiano na mtangazaji maarufu wa enzi hizo anaeitwa Martin Bashir. Aliongea yake mengi ya rohoni. Baada ya mahojoano yale ndoa ilikufa kabisa. Alilipwa pesa za talaka wakati ule zilikuwa £35 milioni. Aliwaachia watoto wake.Sasa nikuulize,
Je waliwahi kuachana kina Charles na Diana?
Je waliwahi kutengana labda?
Je inamaana wakati Diana anafanya ule uasi wa kutoka na tajiri Dodi alikuwa bado kama mke halali wa Charles au walikuwa wameshaachana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Camilla ana umri mkubwa kuliko hata LizCamilla alimtoa Charles bikra, hawakuweza Ali date kwani Charles akiwa Prince of Wales alitakiwa kuoa msichana bikra. Camilla aliuwa mkubwa ki umri na alishaijua dunia pia alikuwa Mkatoliki.
Yes waliachanaSasa nikuulize,
Je waliwahi kuachana kina Charles na Diana?
Je waliwahi kutengana labda?
Je inamaana wakati Diana anafanya ule uasi wa kutoka na tajiri Dodi alikuwa bado kama mke halali wa Charles au walikuwa wameshaachana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mada Kama hizi hukosagi Princess Dee😉
Mother queen alikuwa best yake bibi yake Diana, so huo ushost wao ukapelekea kutafutia wajukuu wao ndoa!Walishindwana tabia, Diana pia alitoka kwenye familia ya kitajiri. Title yake ilikuwa Lady Diana Spencer kabla ya kuolewa kwenye familia ya kifalme. Ulikuwa uchumba wa kutafutiwa.
Charles nae akiwa mtoto wa kifalme hakuwwza kumuelewa Daiana ilibidi amtafute Camilla kwa comfort. Wakati huo Camilla alikuwa kwenye ndoa na Major Parker Bowel
Diana alikaa kwenye mahojiano na mtangazaji maarufu wa enzi hizo anaeitwa Martin Bashir. Aliongea yake mengi ya rohoni. Baada ya mahojoano yale ndoa ilikufa kabisa. Alilipwa pesa za talaka wakati ule zilikuwa £35 milioni. Aliwaachia watoto wake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] Camilla bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana
🤣🤣Asherekee aabike[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] Camilla bana
Hivi kwanini hanaga birthday!
Ila anamzidi umri Chalz tena sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujue sikufa asee[emoji16]Mada Kama hizi hukosagi Princess Dee[emoji6]
Ha ha haDada naomba tu uanzishwe Uzi special for Royal family maana Kuna watu tunafatilia hii family na dramas zao utasema vijakazi wa Buckingham Palace
Linaogopa kusema umri wake, lizee balaa almost Liz age[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Asherekee aabike
Camilla alipomaliza GCSE au form IV alikwenda France kusoma, hii ndiyo ilikuwa route ya watoto wa matajiri. Walikwenda kufundishwa Kifaransa ili wawe classic housewives.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] Camilla bana
Hivi kwanini hanaga birthday!
Ila anamzidi umri Chalz tena sana tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee ....ndo Mana yaniii analead mambo Kama haya
Kigagula🤣🤣🤣Linaogopa kusema umri wake, lizee balaa almost Liz age[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kunogewa🤣🤣Camilla alipomaliza GCSE au form IV alikwenda France kusoma, hii ndiyo ilikuwa route ya watoto wa matajiri. Walikwenda kufundishwa Kifaransa ili wawe classic housewives.
Aliporudi alikuwa Princess Anna alitokana boyfriend wake na ndiyo alimtoa bikra. Camilla alijiapiza lazima ambikiri Charles. Sasa Chaz kuonjeshwa kwa mara ya kwanza akawa kama kondoo.
Magrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.Kunogewa🤣🤣
Mi nafurahigi tu story za princess Magreth
Hivi kwanini hakubow kwenye jeneza la princess Dee au ndo kijiba Cha Roho tuu