Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heee kumbe ni mwendo wa kuchukuliana mabwana? Kumbe Anne nae mwingi eeh!Camilla alipomaliza GCSE au form IV alikwenda France kusoma, hii ndiyo ilikuwa route ya watoto wa matajiri. Walikwenda kufundishwa Kifaransa ili wawe classic housewives.
Aliporudi alikuwa Princess Anna alitokana boyfriend wake na ndiyo alimtoa bikra. Camilla alijiapiza lazima ambikiri Charles. Sasa Chaz kuonjeshwa kwa mara ya kwanza akawa kama kondoo.
Unampenda Meghan au HarryNilimpenda sana Diana sikuhizi ninawafuatia kwasababu ya Megan
Kukoma sio kidogo yaniiHeee kumbe ni mwendo wa kuchukuliana mabwana? Kumbe Anne nae mwingi eeh!
Sema komesha, sasa Cami anafaidi nini, mtu hata kumzalia Chalz imeshindikana?
Na angekuwa na mtoto na Chale yule Buckingham wangekoma[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mage akaona mmh hapa mi Sina changu Bora niamue tu kua chapombeMagrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.
Halafu chapombe balaa! Full kuanguka mtaroni na ndinga mitaa ya Wellington Arch, na Leicester square!Kigagula[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cha vodka Mage alijawa na wivu jinsi Di dunia ilivyokuwa inamkubali, full macho na attention yote kwake!Kunogewa[emoji1787][emoji1787]
Mi nafurahigi tu story za princess Magreth
Hivi kwanini hakubow kwenye jeneza la princess Dee au ndo kijiba Cha Roho tuu
Ha ha ha! Hivi Mage alikuwa na wivu hata kwa Liz?Magrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.
Age difference ya Liz na Maggie ni 9 years, Liz was always a big sisterHa ha ha! Hivi Mage alikuwa na wivu hata kwa Liz?
Ila yule mbibi alipinda ukubwani why?
Halafu usichana wake alikuwa bomba kuliko hata Liz
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Bibi Yule sijui angekua anamfanyaje Meghan sa izi maana angeona nae analeta nuksi au anatafuta kiki from Royal familyCha vodka Mage alijawa na wivu jinsi Di dunia ilivyokuwa inamkubali, full macho na attention yote kwake!
Sasa ye kubow kwa coffin ya Di aliona atajishusha!
Huyu Meghan kama Mage angekuwepo sijui kama hata angeolewa na Harry!
Di alimuelezea vizuri kwenye kitabu chake
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanii hata ukiangalia during their usichana Liz alikua Ana act kabisa utu uzimaAge difference ya Liz na Maggie ni 9 years, Liz was always a big sister
Niliwahi kusoma kitabu kinachoitwa, " THE DAY DIANNA DEAD" aisee nilisikitika jinsi kilivyomuelezea princess dianna malkia Elizabeth alivyokuwa anamtreat vibayaNi kweli
Yah Prince charles alikuwa anamistreat princess diana kwa sababu alikuwa anampenda sana Camilla na ndo chanzo cha diana kuanzisha penzi na yule mwarabu mtoto wa billionaire wa london, na inasemekana kifo cha princess diana pale Nice France ilikuwa ni assasination ya Queen Elizabeth, ukitaka upate kumjua vizuri princess diana, ndoa yake hadi kifo chake katafute kitabu chake kinaitwa"THE DAY DIANNA DIED"Kwa hiyo kwa kifupi ni sahihi kusema Camilla aliingilia ndoa ya Diana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dianna alikuwa anapambania ndoa ivunjwe haendelee na mishe zake ila Queen Elizabeth alikuwa akubali maana ingeitia aibu familia ya kifalme, ila dianna alishamove akawa anakula bata na Dodi hata siku ajali inampata Nice france walikuwa na Dodi na ndo maana inaonekana ile ajali ilitengenezwa ili kumuua asijeakaonekana kamoove kutoka palace.Sasa nikuulize,
Je waliwahi kuachana kina Charles na Diana?
Je waliwahi kutengana labda?
Je inamaana wakati Diana anafanya ule uasi wa kutoka na tajiri Dodi alikuwa bado kama mke halali wa Charles au walikuwa wameshaachana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ukitaka upate uhondo zaidi kuhusu princess dianna kuzaliwa hadi kuingia Buckingham , visanga alivyokutana navyo kutoka kwa charles,kutoka na Dodi mtoto wa kiarabu wa billionaire wa london hadi kifo chake Nice France tafuta kitabu hiki "THE DAY DIANNA DIED, Mi nilisoma hadi page ya 100 ila kutokana na ubize wa masomo nilishindwa kukimaliza kilikuwa hardcopy
Ha ha ha itakuwa asee, unafikiri alikuwa hapendi Queen aone mjukuu kutoka kwakeKukoma sio kidogo yanii
Utakuta alikua kashafikaga na menopause Wakati Charles damu ya Moto[emoji1787]
Angesuggest auwawe..yule ndo zakeHahahaha Bibi Yule sijui angekua anamfanyaje Meghan sa izi maana angeona nae analeta nuksi au anatafuta kiki from Royal family