Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Hivi mkuu mambo ya mahusiano unayafahamu sawasawa kweli?Dunia ina mambo!
Yani Camilla imemshinda ndoa yake halafu akaharibu ya mwenzie!
Kama yeye fundi kwanini hakudumisha yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alikwambia kwenye mapenzi kuna formula?
Sent using Jamii Forums mobile app