Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Dada ukitaka upate uhondo zaidi kuhusu princess dianna kuzaliwa hadi kuingia Buckingham , visanga alivyokutana navyo kutoka kwa charles,kutoka na Dodi mtoto wa kiarabu wa billionaire wa london hadi kifo chake Nice France tafuta kitabu hiki "THE DAY DIANNA DIED, Mi nilisoma hadi page ya 100 ila kutokana na ubize wa masomo nilishindwa kukimaliza kilikuwa hardcopy
Asante mkuu, ntakisaka pia[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linaogopa kusema umri wake, lizee balaa almost Liz age[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wana matusi jamani
Mzee Mohammed Al Fayed wakati ule mwanae kafa na Diana alikuwa mkali haswa na ilifika akamwambia Charles mwanamke mwenyewe anafanana na mamba akimsema camilla

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyu charles anaweza kufa ghafla kwa mawazo ya ufalme
Anausubiri ufalme miaka 40,na kibibi bado kinadunda tu
William ana asilimia kubwa sana ya kutwaa kiti mapema
 
Huyu charles anaweza kufa ghafla kwa mawazo ya ufalme
Anausubiri ufalme miaka 40,na kibibi bado kinadunda tu
William ana asilimia kubwa sana ya kutwaa kiti mapema
Charles anauchukua hivi karibuni, ki bibi kitahamia Windsor Castle akaungane na mume wake.
Charles akihamia Buckingham Palace siku I ni nani ataishi St James's Palace.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Charles anauchukua hivi karibuni, ki bibi kitahamia Windsor Castle akaungane na mume wake.
Charles akihamia Buckingham Palace siku I ni nani ataishi St James's Palace.

Kako lockdown Windsor kitambo mbona na mzee
Sidhani kama katarudi tena huko maana sio kwa kujificha huko na Corona hii

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
🤣🤣🤣bongo kwa wajuvi watu munashuka nondo utafikiri ni waingereza ila hapo Harry yupo Kama mama yake princess Diana ana hasira nao Sana kwa kumuua mama yake na alikuwa ni mtoto wa mwisho ila kwa Sasa na nazani ufalme atapewa William badala ya baba yake Charles kwa kuwa kasha kuwa mzee yule anakaribia miaka 70 kibibi ndo kimevunja rekodi ya queen Victoria ya kutawala muda mrefu zaidi katika historia ya uk
 
Back
Top Bottom