Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Camilla alipomaliza GCSE au form IV alikwenda France kusoma, hii ndiyo ilikuwa route ya watoto wa matajiri. Walikwenda kufundishwa Kifaransa ili wawe classic housewives.

Aliporudi alikuwa Princess Anna alitokana boyfriend wake na ndiyo alimtoa bikra. Camilla alijiapiza lazima ambikiri Charles. Sasa Chaz kuonjeshwa kwa mara ya kwanza akawa kama kondoo.
Heee kumbe ni mwendo wa kuchukuliana mabwana? Kumbe Anne nae mwingi eeh!

Sema komesha, sasa Cami anafaidi nini, mtu hata kumzalia Chalz imeshindikana?

Na angekuwa na mtoto na Chale yule Buckingham wangekoma[emoji57]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukoma sio kidogo yanii

Utakuta alikua kashafikaga na menopause Wakati Charles damu ya Moto🤣
 
Magrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.
Mage akaona mmh hapa mi Sina changu Bora niamue tu kua chapombe
Bibi alikua na Drama🤣🤣🤣🤣
 
Kunogewa[emoji1787][emoji1787]

Mi nafurahigi tu story za princess Magreth
Hivi kwanini hakubow kwenye jeneza la princess Dee au ndo kijiba Cha Roho tuu
Cha vodka Mage alijawa na wivu jinsi Di dunia ilivyokuwa inamkubali, full macho na attention yote kwake!

Sasa ye kubow kwa coffin ya Di aliona atajishusha!

Huyu Meghan kama Mage angekuwepo sijui kama hata angeolewa na Harry!

Di alimuelezea vizuri kwenye kitabu chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.
Ha ha ha! Hivi Mage alikuwa na wivu hata kwa Liz?

Ila yule mbibi alipinda ukubwani why?

Halafu usichana wake alikuwa bomba kuliko hata Liz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha vodka Mage alijawa na wivu jinsi Di dunia ilivyokuwa inamkubali, full macho na attention yote kwake!

Sasa ye kubow kwa coffin ya Di aliona atajishusha!

Huyu Meghan kama Mage angekuwepo sijui kama hata angeolewa na Harry!

Di alimuelezea vizuri kwenye kitabu chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Bibi Yule sijui angekua anamfanyaje Meghan sa izi maana angeona nae analeta nuksi au anatafuta kiki from Royal family
 
Age difference ya Liz na Maggie ni 9 years, Liz was always a big sister
Yanii hata ukiangalia during their usichana Liz alikua Ana act kabisa utu uzima
Shoga angu alivojua tu Liz ndo anakuja kua Queen akabidi atafute Kiki yake ambayo ndo inamfanya adi sa izi tumzungumzie
 
Niliwahi kusoma kitabu kinachoitwa, " THE DAY DIANNA DEAD" aisee nilisikitika jinsi kilivyomuelezea princess dianna malkia Elizabeth alivyokuwa anamtreat vibaya
Kwa hiyo kwa kifupi ni sahihi kusema Camilla aliingilia ndoa ya Diana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yah Prince charles alikuwa anamistreat princess diana kwa sababu alikuwa anampenda sana Camilla na ndo chanzo cha diana kuanzisha penzi na yule mwarabu mtoto wa billionaire wa london, na inasemekana kifo cha princess diana pale Nice France ilikuwa ni assasination ya Queen Elizabeth, ukitaka upate kumjua vizuri princess diana, ndoa yake hadi kifo chake katafute kitabu chake kinaitwa"THE DAY DIANNA DIED"
 
Sasa nikuulize,
Je waliwahi kuachana kina Charles na Diana?
Je waliwahi kutengana labda?

Je inamaana wakati Diana anafanya ule uasi wa kutoka na tajiri Dodi alikuwa bado kama mke halali wa Charles au walikuwa wameshaachana?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dianna alikuwa anapambania ndoa ivunjwe haendelee na mishe zake ila Queen Elizabeth alikuwa akubali maana ingeitia aibu familia ya kifalme, ila dianna alishamove akawa anakula bata na Dodi hata siku ajali inampata Nice france walikuwa na Dodi na ndo maana inaonekana ile ajali ilitengenezwa ili kumuua asijeakaonekana kamoove kutoka palace.
 
Ha ha ha

Sky anafanya kazi Buckingham palace[emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada ukitaka upate uhondo zaidi kuhusu princess dianna kuzaliwa hadi kuingia Buckingham , visanga alivyokutana navyo kutoka kwa charles,kutoka na Dodi mtoto wa kiarabu wa billionaire wa london hadi kifo chake Nice France tafuta kitabu hiki "THE DAY DIANNA DIED, Mi nilisoma hadi page ya 100 ila kutokana na ubize wa masomo nilishindwa kukimaliza kilikuwa hardcopy
 
Back
Top Bottom