Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Sasa nikuulize,
Je waliwahi kuachana kina Charles na Diana?
Je waliwahi kutengana labda?

Je inamaana wakati Diana anafanya ule uasi wa kutoka na tajiri Dodi alikuwa bado kama mke halali wa Charles au walikuwa wameshaachana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diana alikaa kwenye mahojiano na mtangazaji maarufu wa enzi hizo anaeitwa Martin Bashir. Aliongea yake mengi ya rohoni. Baada ya mahojoano yale ndoa ilikufa kabisa. Alilipwa pesa za talaka wakati ule zilikuwa £35 milioni. Aliwaachia watoto wake.
 
Yes waliachana

Sema ukiangalia Ile interview unaeza ona kabisa princess Dee was passing through alot na alikua anajitahidi a act normal

Kilichonichosha Ni Charles kumuoa Camila jamani yaniii daah

Thou princess Dee alikua tu hapendi kufungamanishwa na masheria ya royal family
 
Walishindwana tabia, Diana pia alitoka kwenye familia ya kitajiri. Title yake ilikuwa Lady Diana Spencer kabla ya kuolewa kwenye familia ya kifalme. Ulikuwa uchumba wa kutafutiwa.

Charles nae akiwa mtoto wa kifalme hakuwwza kumuelewa Daiana ilibidi amtafute Camilla kwa comfort. Wakati huo Camilla alikuwa kwenye ndoa na Major Parker Bowel
Mother queen alikuwa best yake bibi yake Diana, so huo ushost wao ukapelekea kutafutia wajukuu wao ndoa!

Sasa si Chalz or Di aliyetokea kumpenda mwenzie, matokeo yake kila mmoja akawa anakunwa kivyake

Mara ndoa chali!

Ila hii ishu inawaumiza Will na harry sana mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diana alikaa kwenye mahojiano na mtangazaji maarufu wa enzi hizo anaeitwa Martin Bashir. Aliongea yake mengi ya rohoni. Baada ya mahojoano yale ndoa ilikufa kabisa. Alilipwa pesa za talaka wakati ule zilikuwa £35 milioni. Aliwaachia watoto wake.

Dada naomba tu uanzishwe Uzi special for Royal family maana Kuna watu tunafatilia hii family na dramas zao utasema vijakazi wa Buckingham Palace
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16] Camilla bana

Hivi kwanini hanaga birthday!

Ila anamzidi umri Chalz tena sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Camilla alipomaliza GCSE au form IV alikwenda France kusoma, hii ndiyo ilikuwa route ya watoto wa matajiri. Walikwenda kufundishwa Kifaransa ili wawe classic housewives.

Aliporudi alikuwa Princess Anna alitokana boyfriend wake na ndiyo alimtoa bikra. Camilla alijiapiza lazima ambikiri Charles. Sasa Chaz kuonjeshwa kwa mara ya kwanza akawa kama kondoo.
 
Kunogewa🤣🤣

Mi nafurahigi tu story za princess Magreth
Hivi kwanini hakubow kwenye jeneza la princess Dee au ndo kijiba Cha Roho tuu
 
Kunogewa🤣🤣

Mi nafurahigi tu story za princess Magreth
Hivi kwanini hakubow kwenye jeneza la princess Dee au ndo kijiba Cha Roho tuu
Magrerth alinifurahisha aliposema kuwa alikuwa na dada yake lakini alishangaa dada yake aliletewa maprofesa wa Oxford na Cambridge wamfundishe yeye hakuitwa kwenye masomo. Baadae ndiyo alielewa kuwa dada yake alikuwa anaandaliwa kuwa mtawala wa nchi.
 
Back
Top Bottom