Why Duchess Catherine may not inherit the same title as Princess Diana

Asante mkuu, ntakisaka pia[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Linaogopa kusema umri wake, lizee balaa almost Liz age[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna watu wana matusi jamani
Mzee Mohammed Al Fayed wakati ule mwanae kafa na Diana alikuwa mkali haswa na ilifika akamwambia Charles mwanamke mwenyewe anafanana na mamba akimsema camilla

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Huyu charles anaweza kufa ghafla kwa mawazo ya ufalme
Anausubiri ufalme miaka 40,na kibibi bado kinadunda tu
William ana asilimia kubwa sana ya kutwaa kiti mapema
 
Huyu charles anaweza kufa ghafla kwa mawazo ya ufalme
Anausubiri ufalme miaka 40,na kibibi bado kinadunda tu
William ana asilimia kubwa sana ya kutwaa kiti mapema
Charles anauchukua hivi karibuni, ki bibi kitahamia Windsor Castle akaungane na mume wake.
Charles akihamia Buckingham Palace siku I ni nani ataishi St James's Palace.
 
Reactions: amu
Charles anauchukua hivi karibuni, ki bibi kitahamia Windsor Castle akaungane na mume wake.
Charles akihamia Buckingham Palace siku I ni nani ataishi St James's Palace.

Kako lockdown Windsor kitambo mbona na mzee
Sidhani kama katarudi tena huko maana sio kwa kujificha huko na Corona hii

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
🤣🤣🤣bongo kwa wajuvi watu munashuka nondo utafikiri ni waingereza ila hapo Harry yupo Kama mama yake princess Diana ana hasira nao Sana kwa kumuua mama yake na alikuwa ni mtoto wa mwisho ila kwa Sasa na nazani ufalme atapewa William badala ya baba yake Charles kwa kuwa kasha kuwa mzee yule anakaribia miaka 70 kibibi ndo kimevunja rekodi ya queen Victoria ya kutawala muda mrefu zaidi katika historia ya uk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…