Annuity
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 338
- 198
- Thread starter
- #101
Atheist wanakimbia kivuli chao wenyewe lakini naamini mtu akikaa mwenyewe na kutafakari kwa kina ukweli anaupata yeye mwenyewe, na nina imani wanamkiri Mungu wakiwa wenyewe mmoja mmoja... ila kwenye Public wanajifanya kumkana. Kingunge alimkiri Mungu kwenye Bunge la Katiba sasa sijui alipitiwa au vip? majibu wanayo wenyewe.. Ila kuwapo kwa hawa watu hatupaswi kuona kama ni bahati mbaya bali ni ili maandiko yatimie.wanamwamini "hakuna mungu "