Naomba nikuhakikishie kitu kimoja, hakuna neno wala lugha toka kwa yeyote inayoweza kunifanya nimpeleke ignore list sumbuse kumreport abuse. Naheshimu Uhuru wa kuropoka na kusema...nitakujibu kwa kadri ya lugha itayofanya tuelewane.
Hivi matusi ni universal kwamba kile ambacho wewe unaona ni tusi lazima kiwe tusi na kwa MTU mwingine ?
Ama kuhusu kutoona hoja za jamaa kwangu Mimi naona ni udhaifu wako mwenyewe kuliko kuwa makosa ya huyo jamaa.
Baada ya kumpeleka Ignorelist na kutoona hoja zake kwa fikra zako unataka Mimi niwe nacopy hoja zake na kukuwekea au napo hutaki ?
Mimi naweza tumika Kama pipe la kupitisha hoja za
Ishmael kwa kuwa naona ni nzito na zinawakilisha ushahidi wa yakini wa kuwepo kwa Mungu muumba. Nakuwekea hoja zenyewe Mkuu.