Atheist wanakimbia kivuli chao wenyewe lakini naamini mtu akikaa mwenyewe na kutafakari kwa kina ukweli anaupata yeye mwenyewe, na nina imani wanamkiri Mungu wakiwa wenyewe mmoja mmoja... ila kwenye Public wanajifanya kumkana. Kingunge alimkiri Mungu kwenye Bunge la Katiba sasa sijui alipitiwa au vip? majibu wanayo wenyewe.. Ila kuwapo kwa hawa watu hatupaswi kuona kama ni bahati mbaya bali ni ili maandiko yatimie.wanamwamini "hakuna mungu "
watunzi Wa vitabu vya huyo mungu wamejichanganya mno na kueleza mambo ambayo hayana mashiko kwa ulimwengu sasa zama za dark age zinapita kaka maswala ya faith ni nothingNot all of them, only those whole lack moral intelligence..
Pole sana. Ila Kumbuka ulimwengu unapita na hutaishi hapa milele cha kusikitisha zaidi hamjui nini kinatokea baada ya kifowatunzi Wa vitabu vya huyo mungu wamejichanganya mno na kueleza mambo ambayo hayana mashiko kwa ulimwengu sasa zama za dark age zinapita kaka maswala ya faith ni nothing
nothing happen after death yani kitakachotokea kuoza na kudhalisha mbolea ardhini kama utazikwa.Pole sana. Ila Kumbuka ulimwengu unapita na hutaishi hapa milele cha kusikitisha zaidi hamjui nini kinatokea baada ya kifo
watunzi Wa vitabu vya huyo mungu wamejichanganya mno na kueleza mambo ambayo hayana mashiko kwa ulimwengu sasa zama za dark age zinapita kaka maswala ya faith ni nothing
nothing happen after death yani kitakachotokea kuoza na kudhalisha mbolea ardhini kama utazikwa.
Mark Zuckerberg grew up in white plains, New YORK in Jewish family. But he is not so into it and not surprisingly, according to facebook update, Zuckerberg consider himself as an atheist.
In 2011, Jerusalem Post ranked him as number one in the list of most influential Jews in the world. However he consider himself as an atheist. Why this $33.1Billion rich young man stand up and consider himself as an atheist? Is there any reasons he has already provided why he is an atheist ?
I don't think if they can give an answer..
If we are 100% chemical animals and our chemicals cause child rape, why is child rape morally wrong?
Why is the child rapist morally culpable when he has no free-will choice?
Answer the questions
I give many evidences for God, Not one of the non theist have ever refuted a single one.I don't think if they can give an answer..
Habari za mungu Kiranga anaelezwa, haelezi.
Nitaeleza habari za mungu yupi wakati sikubali uwepo wake?
Kiranga please go home!! Your drunk!?
I do not drink, and I am home already.
Namna unavyoreason juu ya uwepo wa mungu ndio kumenifanya nihisi labda umepiga masanga mkuu.
Trust me kiranga there is one "supreme God" the master of the people and the universe. Please believe me mkubwa wangu.
It takes simple stuffs to proves his majesty and presences. Hivi sayari zote zinavyozunguka bila kugongana, maji, viumbe, ardhi vilivyo nje na ya dunia na havianguki kweli viko pale kwa bahati mbaya!?
Nop ndugu! I have decided to stick with God, Satan is too big burden to bear.
If complexity must be designed and created, then god himself must be designed and created.
And his creator musf be designed and created.
Ad infinitum, ad absurdum.
I told you before kiranga, you gotta go home now..your drunk bro!
See ya!
If complexity must be designed and created, then god himself must be designed and created.
And his creator musf be designed and created.
Ad infinitum, ad absurdum.
You just provided a reason why the appearance of design cannot be used as evidence of tge existence of god.
Prove to us that you are not drunk and not vain words.I told you, I don't drink.
And I am home.