Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani na wewe unajiona mjanja, sio?Wajinga kweli
Yaani na wewe unajiona mjanja, sio?
Choko choko mchokonoe pweza, watanzania hautawaweza. Kajipange upya!Iwapo nimewachanganya hisia kama watoto bila nyinyi kutambua nia yangu basi nyinyi ni zuzu kabisa lakini shukrani kwa majibu.
Bukyanagandi na wachache walisogelea mbali, take a cue from them next time, retard boy.
Tanzanians have idiotic pussyfied brains, esp the majority that are brandishing nonsense towards Kenya here. Has Kenyan strangled Tz?
If u feel u are so special quit EAC, its common sense we dont care what.the f*** u do down there or keeps u going.
Did Kenya point a gun at your excellency, has Kenya shortchanged Tanzania, typicall bullshit and acting implicitly victim is what u love.
U can have parallel policies with the tripatriate states if u so wish, never mind u love picking silly fights with your neighbours.
Nyangau ni watu wenyu, bongo lala.
nyang'au si majina zenyu mbona unarudisha kwetu.? by the way i agree with on the point of quitting EAC coz it has nothing to do with us except bringing trouble in dealing with selfish people like u.
Hawa ni watu wanaotaka kuleta uchonganishi usio na maana. Nashangaa makala hii imeruhusiwa bila hata ya utafiti mdogo tu usiohitaji hesabu.Read this article and see how Tanzania goes over the top in trying to suffocate Kenya to the extent of jeopardizing its own interests! It could be for one of only two things: jealosy or actual grievances (let's discuss this).
Read here and you will see, Tanzania had ACTUALLY closed its airport to Kenyan air traffick when the JKA caught fire!
Tanzania refused to sell Gas to Kenya but sold it to China! When there was food scarcity in Kenya, Tanzania refused to sell maize to Kenya, saying it also faced food shortages.....but weeks later, sold the same maize to Uganda!
I have heard many stories even on individual levels : Kenyans being denied to fly from Tanzanian airports, others being denied permits to conduct businesses. Let's discuss this issue because I believe those who are doing this, putting these laws, are not doing so for the benefit of the Tanzanians. I fear, before this 4th republic of CCM is out, most of our neighbours will be our enemies!
(Malawi, Rwanda, Kenya, Uganda and.....)Standard Digital News - Kenya : Tanzania would rather be in Southern Africa, it seems
Hawa ni watu wanaotaka kuleta uchonganishi usio na maana. Nashangaa makala hii imeruhusiwa bila hata ya utafiti mdogo tu usiohitaji hesabu.
Tanzania ilisaidia Kenya wakati wana njaa. Waziri wakati huo(Ruto????sina uhakika) alikwenda kumuona JK akiwa Maramba Tanga. JK akaruhusu kutolewa baadhi ya tani za chakula kutoka national grain reserve kwa Kenya.
Kwahiyo si kweli kuhusu madai hayo.
Pili, gesi haijaanza kuchimbwa katika kiwango cha biashara. Wanasahau kuwa ni China inayotandaza mabomba na gesi hiyo ikiwa tayari itabidi iuzwe nchi za jirani. Waziri Muhongo kasema hata umeme wa ziada itabidi uuzwe. Hakuna sababu ya kuzuia bidhaa inayohitaji wateja.
Tatu, Kenya ni mwekezaji namba 2 baada ya UK nchini Tanzania wala siyo nchi yoyote ya SADC kama anavtyosema mwandishi huyu zuzu. Kama Tanzania ingeizuia Kenya hilo lisingetokea.
Nne, kiwanja kilipoungua sijui Kenya walitaka Tanzania ifanye nini kama hawakuomba msaada. Ilikuwa ni wajibu wao kuomba msaada na sidhani hilo lilifanyika. Lakini pia lazima watu waangalie upande wa kifundi. Je, kulikuwa na facility za kutosha ku handle ndege za Kenya? Kama sivyo je kulikuwa na umuhimu wa kuhatarisha maisha ya watu kwasababu tu ya kumpendeza mkenya?
Tano, Kama Tanzania ingekuwa na chuki na Kenya basi isingetumia rasilimali zake ikiwemo gharama za viongozi kusuluhisha mzozo wa Kenya. Ilibidi waziri mkuu wa Turkey akiyekuwa aje Tanzania ziara yake iahirishwe ili JK na Mkapa waende Nairobi kuokoa roho za Wakenya. Si jirani mwingine wa EAC aliyeahi kufanya hivyo.
Sita, mwandishi anaposema Tanzania ni masikini, ni kweli lakini umasiki huo upo kwa kada gani?
Nadhani masikini wa Tanzania anaweza kuwa na nafuu kuliko masikini wa Kenya.
Westland na Karen siyo kwa mkenya ni kwa wazungu, unless uniambie 'kuosha choo cha mzungu' ni bora kuliko cha Mwafrika. Katika nchi masikini duniani kenya ipi karibia na 140 sasa hapo kuna unafuu gani?
Saba, kama watalii wanakuja na kulala Kenya hilo halina tatizo kwao. Si wana single entry visa na Rwanda?
Tanzania ni mshirika mkubwa sana wa eneo hilo , matusi yataiumiza Kenya na si Tanzania.
Tanzania haitegemei watalii waje Kenya ili waje Tanzania, ila Kenya inategemea watalii waingie kwa mgongo wa rasilimali za Tanzania. Hivyo lazima wawe waangalifu kama kumbu kumbu za kufunga mpaka zinavyoeleza huko nyuma.
Tunafahamu kuwa Kenya wanashabikia sana Tanzania ikiwa na mizozo lakini hilo haiifanyi Kenya iwe bora.
Kenya walipogombana Tanzania haikufaidika na chochote na wala sidhani Tanzania ikiwa na mizozo na nchi nyingine Kenya itafaidika. Lazima Kenya ielewe kuwa wao ni majirani wakubwa kuliko wengine na siasa za majitaka za kutaka watu wagombane ni za hovyo.
Ni lazima wasomi wa Kenya waelewe tatizo la wananchi wa kiwango cha chini na si ma tycoon wachache.
Huu ni uchochezi tu ambao mwisho wake ni Kenya kuwa Loser. Wamesahau soko lao kubwa EAC lipo wapi?
Mkuu Wanyarwanda wapo wengi sana na jitihada zao ni kuleta mvurugano EAC. Wanataka kuchonganisha kila mahali ili hoja yao isahaulike.Mkuu huyo jamaa sio wa kule kwa Kagame kweli?
Hata huyu livefire nina wasiwasi nae!!!!!!!
Mkuu Wanyarwanda wapo wengi sana na jitihada zao ni kuleta mvurugano EAC. Wanataka kuchonganisha kila mahali ili hoja yao isahaulike.
Wapo hapa wengi sana wengine wanajulikana na wengine wanaleta nyuzi kama watu wema sana.
Fikiria mtu anayesema Tanzania itabaki inaomboleza bila kuweka sababu za msingi huyu ana maana gani.
Tumetoa tahadhari kwa Watanzania kuwa hawa jamaa wamesoma hapa kwetu wanajua kiswahili vizuri sana na si rahisi kudhani ni wao. Tunawajua lakini tutawajibu tu.
Hakuna ugomvi na Kenya au Uganda lakini wao wanafanya spinning. Wame infiltrate sehemu muhimu sana ziwe Kenya au Uganda hata hapa nchini. Sasa wana propaganda machines zao zinafanya kazi.
Ukisoma habari hiyo hakuna madai ya maana hata moja. Mstari wa kwanza anasema Wanyarwanda wamefukuzwa huku ukweli ukiwa ni wahamiaji haramu tena wa nchi zote. Kwani Wanyarwanda wanawakilisha Burundi na Uganda au Congo?
Umakini ni kuangalia mambo wanayochomeka kwatika social media zetu. Imefikia mahali wanaweza kutufarakanisha sisi kwa sisi tukidhani tunafarakana kumbe ni fitna yao.Mkuu ni kweli kabisa
Hawa watu ni hatari sana kwa amani ya maziwa makuu
Unajua sasa naanza kujua ni kwanini hata Mungu kuna watu amewaita waovu bila kuficha
Ukiangalia suala hili ni wazi kabisa kuna agenda ya siri,unashangaa ni kwanini watu wanaotaka kuwaaminisha Watania kuwa kuna ugomvi au kutokuelewana kati ya Tanzania na Uganda wakati waganda hata hawajui hii kitu
Juzi kuna mama mmoja alitoka Uganda,alizungumza na waganda kuhusiana na haya na wengi walishangaa na wengine hata hawajui kama kuna ugomvi wowote kati ya nchi hizi
Kuna haja ya kuwa makini na hawa watu,tunaweza kucheza mchezo tusioujua!
Pumba ni nini? Maliza ugali wako na papa kwanza ndipo uandike....
Solidly agree, Tz is only a partner on paper.