Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

Ni haki yako kumsemea mgombea umpendaye ndo demokrasia, lakini nyalandu akichaguliwa Jpm atakwenda kulala.ushindi 90%
 
Ni haki yako kumsemea mgombea umpendaye ndo demokrasia, lakini nyalandu akichaguliwa Jpm atakwenda kulala.ushindi 90%
 
Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Lissu ameshawahi kutawala wapi? Kama ana uwezo mpeni Chama chenu akitawale maana kina matatizo ya kiuongozi kuliko nchi yetu.
 
Bora tuongozwe na mwanaharakati kuliko DICTETA.
 
Unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu.
Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi.
Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Hata 2015 hawakubahatisha
 
Umefikisika kifikra!!
Yaani kuna nchi yenu na chama chao?? Nyie ni kina nani?
Mawazo ya kibaguzi yamezama sana moyoni mwako!!
Unahitaji kukombolewa kwa maombi!!

Nchi ni ya watanzania wote hivi vyama vinapita tu nchi inabaki!!

Alafu kumbe wewe sio mwanachama wa Chadema! Obvious utatamani Chadema waweke relatively weak candidate!!

Mandela, Nyerere, Lumumba na akina Nkuruma
Nao pia walikuwa wanaharakati!!

Anyway umetimiza ulilotumwa kapokee ujira wako!!
 
Watanzania hawalioni hilo wanachoangalia ni popularity kigezo ambacho Lisu anacho 100%
lakin in other side Lisu kweli hafit kwenye kugombea ngazi ya uraisi
Watanzania wengi wanaongozwa kwa mihemko
 
Watanzania hawalioni hilo wanachoangalia ni popularity kigezo ambacho Lisu anacho 100%
lakin in other side Lisu kweli hafit kwenye kugombea ngazi ya uraisi
Na popularity ya Lissu ipo kwenye mitandao na sehemu chache za mijini. Huko kwengine hakuna anaejua Lissu ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…