Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

Ni haki yako kumsemea mgombea umpendaye ndo demokrasia, lakini nyalandu akichaguliwa Jpm atakwenda kulala.ushindi 90%
 
Ni haki yako kumsemea mgombea umpendaye ndo demokrasia, lakini nyalandu akichaguliwa Jpm atakwenda kulala.ushindi 90%
 
Lissu anamzidi magu kwa uwezo wa kutawala na kuongoza watu zaidi ya mara 16. Ni Lissu hakuna mwingine.
Lissu ameshawahi kutawala wapi? Kama ana uwezo mpeni Chama chenu akitawale maana kina matatizo ya kiuongozi kuliko nchi yetu.
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya " uana harakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya " uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu .

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urahisi, Hell No!!! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa Kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya watanzania Kwa Lissu ziende Kwa Nyalandu.
Bora tuongozwe na mwanaharakati kuliko DICTETA.
 
Unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu.
Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi.
Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Hata 2015 hawakubahatisha
 
Umefikisika kifikra!!
Yaani kuna nchi yenu na chama chao?? Nyie ni kina nani?
Mawazo ya kibaguzi yamezama sana moyoni mwako!!
Unahitaji kukombolewa kwa maombi!!

Nchi ni ya watanzania wote hivi vyama vinapita tu nchi inabaki!!

Alafu kumbe wewe sio mwanachama wa Chadema! Obvious utatamani Chadema waweke relatively weak candidate!!

Mandela, Nyerere, Lumumba na akina Nkuruma
Nao pia walikuwa wanaharakati!!

Anyway umetimiza ulilotumwa kapokee ujira wako!!
 
Watanzania hawalioni hilo wanachoangalia ni popularity kigezo ambacho Lisu anacho 100%
lakin in other side Lisu kweli hafit kwenye kugombea ngazi ya uraisi
Watanzania wengi wanaongozwa kwa mihemko
 
Watanzania hawalioni hilo wanachoangalia ni popularity kigezo ambacho Lisu anacho 100%
lakin in other side Lisu kweli hafit kwenye kugombea ngazi ya uraisi
Na popularity ya Lissu ipo kwenye mitandao na sehemu chache za mijini. Huko kwengine hakuna anaejua Lissu ni nani?
 
Back
Top Bottom