Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

Lissu is a million miles better than the incumbent.... and this is from me, a CCM supporter!
 
Wapiga kura wapenzi wa Chadema hawatawaelewa, ila kama kuna tatizo la Lissu kukataliwa na NEC .
NEC itamkataaje? Labda iunde sheria nyingine tofauti na zilizopo.
Kama alivyoniambia MTU mmoja kuwa inataka kuwekwa kanuni ya kukata jina la yeyote atakaye gundulika kamuoza mamaye kwa jogoo
 
Lisu anaweza kutufaa sana simply kwa sababu ana uwezo mkubwa wa kuongoza by the book na sio huyu mkanyaga katiba aliyoapa kuilinda na bado mahakama haiwezi mfanya chochote
 
Hata Magufuli alitakiwa awe waziri wa ujenzi tu hata kumpa urais ni kosa la karne
 
CCM wanatamani Lissu asichaguliwe ili mwenyekiti wao asipate mshindani mahiri na anaekubalika.
Kama unaamini Lissu ni mshindani wa Magufuli kwenye nafasi ya urais 2020, basi wewe utakuwa ni mjuzi wa siasa wa mtandaoni tu na sio site.
 
Unajaribu kutumia nguvu nyingi sana kuunga unga dhana potofu.
Bahati mbaya sana CHADEMA hawana muda kufuatilia hizo blah blah zako.
CHADEMA huwa hawabahatishi.
Jibu lao utalijua muda sio mrefu.
Hata wewe pia unaleta blah blah. Ingekuwa hawabahatishi, wangekuwa tayari wapo pale magogoni muda mrefu.
 
Unamsupport Nyarandu kwa sababu, Kuna Sifa muhimu unadhani Lissu hana.

Una utofauti gani na watu wanaomsupport Lissu, kwa sababu kuna vitu hawavikubali kwa Magufuri.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…