Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Nimekuambia Mpango wa Mungu hauzuiliki kwa propaganda.lazma Uwe unasoma alama za nyakati mkuu
hiki sio kipindi sahihi cha lisu kugombea ngazi hiyo kikubwa anachokifanya ni kuleta tu changamoto lakini swala la yeye kuwa raisi wa jamhuri hahahaaa asahau kwa hiki kipindi labda ajaribu 2025
Mbona poa tu?Bangi hizo!
Kuna picha kubwa baada ya kushinda uraisi ambayo wengi hawaioni.CCM wanatamani Lissu asichaguliwe ili mwenyekiti wao asipate mshindani mahiri na anaekubalika.
Kuna picha kubwa baada ya kushinda uraisi ambayo wengi hawaioni.
Ukiangalia kwa makini kuna watu wanaweza kushinda uraisi lakini wanaweza kuja kuwa janga kwa nchi baada ya kushinda uchaguzi kwa kura nyingi.
Mfano wa watu hao ni Lissu.
Analysis tu sheikh wangu.Utabiri wa Sheikh wa Magomeni au?
Magu ameserve kwenye Serikali kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Waziri ambae ni mjumbe wa Cabinet. Chombo cha juu kabisa kinachofanya maamuzi ya nchi. Sasa unaweza kumfananisha na Lissu? Hebu punguzeni hizo bangi mnazovuta.Kwani magu alishawahi kutawala wapi kabla?
Mbona analysis yako imeegemea upande mmoja? Nilitarajia utwambie Nyalandu ana sifa zipi kufaa kupewa nafasi ya kugombea tofauti na Lissu.Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Nyinyi ndiyo wavuta bangi,toka Uhuru mmeshindwa kuiendeleza nchi hii pamoja na kuwa na rasilimali zote Hizi,Halafu hamnaga hata aibu,watu mlioshindwa kuwaletea maendeleo bado mnawaita eti wanyonge.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami.Magu ameserve kwenye Serikali kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Waziri ambae ni mjumbe wa Cabinet. Chombo cha juu kabisa kinachofanya maamuzi ya nchi. Sasa unaweza kumfananisha na Lissu? Hebu punguzeni hizo bangi mnazovuta.
Hao ni wahuni wa Lumumba wapo kazini.Mbona analysis yako imeegemea upande mmoja? Nilitarajia utwambie Nyalandu ana sifa zipi kufaa kupewa nafasi ya kugombea tofauti na Lissu.
Janga kama CCM?Kuna picha kubwa baada ya kushinda uraisi ambayo wengi hawaioni.
Ukiangalia kwa makini kuna watu wanaweza kushinda uraisi lakini wanaweza kuja kuwa janga kwa nchi baada ya kushinda uchaguzi kwa kura nyingi.
Mfano wa watu hao ni Lissu.
Wakati wa uhuru ulikuepo Wewe? Unawezaje kulinganisha maendeleo ya wakati wa uhuru na Sasa? Yote haya yaliyofanyika hamyaoni? Miundombinu yote hii iliyopo ilikuepo wakati wa uhuru? Hospitali na vituo vya afya, Ujenzi wa Shule, Sekta ya anga ilivyoimarishwa, Madini ElimubilaAda n.k Yote haya kwako siyo kitu. Ndo maana tunawaambia punguzeni bangi akili zenu zikae sawa.Nyinyi ndiyo wavuta bangi,toka Uhuru mmeshindwa kuiendeleza nchi hii pamoja na kuwa na rasilimali zote Hizi,Halafu hamnaga hata aibu,watu mlioshindwa kuwaletea maendeleo bado mnawaita eti wanyonge.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami.
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
BorA kumchagua mwanaharakati kuliko shushushu.Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Miundombinu HII AMBAYO kwa sehemu Kubwa unakuta mabango yameandikwa "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"? Wadanganye ambao hawajielewi aisee.Wakati wa uhuru ulikuepo Wewe? Unawezaje kulinganisha maendeleo ya wakati wa uhuru na Sasa? Yote haya yaliyofanyika hamyaoni? Miundombinu yote hii iliyopo ilikuepo wakati wa uhuru? Hospitali na vituo vya afya, Ujenzi wa Shule, Sekta ya anga ilivyoimarishwa, Madini ElimubilaAda n.k Yote haya kwako siyo kitu. Ndo maana tunawaambia punguzeni bangi akili zenu zikae sawa.
CCM mbona mnamwogopa sana huyu mtu? Poleni sana.Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Nipo na ww mkuu lissu kiukweli hafit kwenye urais mwamba amejaa chuki na visasi sana...ukimwangalia unaona kabisa hana spirit ya uongozi hasa ngazi ya uraisi...Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.
Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .
Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"
Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.
Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.
Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.
Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.
Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Kama jiwe mnavyomfananisha na Yesu na mtumeUna roho ya paka kuanzisha uzi huu hapa JF maana akina Salary Slip Sky Eclat etc wanamuona TL kama mungu wao