Uchaguzi 2020 Why I support Nyalandu and not Lissu

lazma Uwe unasoma alama za nyakati mkuu
hiki sio kipindi sahihi cha lisu kugombea ngazi hiyo kikubwa anachokifanya ni kuleta tu changamoto lakini swala la yeye kuwa raisi wa jamhuri hahahaaa asahau kwa hiki kipindi labda ajaribu 2025
Nimekuambia Mpango wa Mungu hauzuiliki kwa propaganda.
 
Mkimuweka Nyalandu mtanifanya nilale hapo 28th October.

Walau Lissu naweza enda mpa kura ya huruma.
 
Wanachama wengi wa CCM wanaopenda mabadiliko chanya watampigia kura Tundu Lisu. Watafanya hivyo sio kwa kukichukia chama chao bali kwa kuipenda Tanzania kuliko chama!!

Wengi wana hamu ya mabadiliko yatakayoleta uhuru zaidi kwa raia kukusanyika, kuongea mawazo na maoni yao bila hofu, utawala bora unaojali haki za raia na demokrasia ya kweli!!

Sio kweli kuwa wapenzi wa CCM wote ni watu wa Ndiooooo! kwa kila kitu serikali inafanya!!

Hata wao wameumizwa na kukerwa na mengi!!

Tunatamani Tanzania ambapo kila mtu anafuata sheria na katiba ya nchi!! Tanzania ambapo serikali haiingilii na kuvuruga bei za mazao ya kilimo na kuwasumbua wafanyabiashara na wawekezaji!!
Serikali siyobagua watu kwa itikadi, ukanda wala dini!!
 
CCM wanatamani Lissu asichaguliwe ili mwenyekiti wao asipate mshindani mahiri na anaekubalika.
Kuna picha kubwa baada ya kushinda uraisi ambayo wengi hawaioni.
Ukiangalia kwa makini kuna watu wanaweza kushinda uraisi lakini wanaweza kuja kuwa janga kwa nchi baada ya kushinda uchaguzi kwa kura nyingi.
Mfano wa watu hao ni Lissu.
 
Utabiri wa Sheikh wa Magomeni au?
 
Kwani magu alishawahi kutawala wapi kabla?
Magu ameserve kwenye Serikali kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Waziri ambae ni mjumbe wa Cabinet. Chombo cha juu kabisa kinachofanya maamuzi ya nchi. Sasa unaweza kumfananisha na Lissu? Hebu punguzeni hizo bangi mnazovuta.
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
Mbona analysis yako imeegemea upande mmoja? Nilitarajia utwambie Nyalandu ana sifa zipi kufaa kupewa nafasi ya kugombea tofauti na Lissu.
 
Magu ameserve kwenye Serikali kwa zaidi ya miaka 20 akiwa Waziri ambae ni mjumbe wa Cabinet. Chombo cha juu kabisa kinachofanya maamuzi ya nchi. Sasa unaweza kumfananisha na Lissu? Hebu punguzeni hizo bangi mnazovuta.
Nyinyi ndiyo wavuta bangi,toka Uhuru mmeshindwa kuiendeleza nchi hii pamoja na kuwa na rasilimali zote Hizi,Halafu hamnaga hata aibu,watu mlioshindwa kuwaletea maendeleo bado mnawaita eti wanyonge.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Kuna picha kubwa baada ya kushinda uraisi ambayo wengi hawaioni.
Ukiangalia kwa makini kuna watu wanaweza kushinda uraisi lakini wanaweza kuja kuwa janga kwa nchi baada ya kushinda uchaguzi kwa kura nyingi.
Mfano wa watu hao ni Lissu.
Janga kama CCM?
 
Nyinyi ndiyo wavuta bangi,toka Uhuru mmeshindwa kuiendeleza nchi hii pamoja na kuwa na rasilimali zote Hizi,Halafu hamnaga hata aibu,watu mlioshindwa kuwaletea maendeleo bado mnawaita eti wanyonge.Huu ni upuuzi wa kiwango cha lami.

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Wakati wa uhuru ulikuepo Wewe? Unawezaje kulinganisha maendeleo ya wakati wa uhuru na Sasa? Yote haya yaliyofanyika hamyaoni? Miundombinu yote hii iliyopo ilikuepo wakati wa uhuru? Hospitali na vituo vya afya, Ujenzi wa Shule, Sekta ya anga ilivyoimarishwa, Madini ElimubilaAda n.k Yote haya kwako siyo kitu. Ndo maana tunawaambia punguzeni bangi akili zenu zikae sawa.
 
Tatizo la watanzania mpaka leo bado akili haijafunguka. CCM haitatoka madarakani, CDM wanalijua hilo na wameridhika na mapato wanayo pata kutoka kwenu. Magufuli atapita bila tabu yeyote na wabunge pia ccm itachukua viti vingi zaidi ya uchaguzi ulio pita. Huu ndio ukweli. Acheni kupoteza muda wenu na hizi siasa za kipumbavu
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
BorA kumchagua mwanaharakati kuliko shushushu.
 
Wakati wa uhuru ulikuepo Wewe? Unawezaje kulinganisha maendeleo ya wakati wa uhuru na Sasa? Yote haya yaliyofanyika hamyaoni? Miundombinu yote hii iliyopo ilikuepo wakati wa uhuru? Hospitali na vituo vya afya, Ujenzi wa Shule, Sekta ya anga ilivyoimarishwa, Madini ElimubilaAda n.k Yote haya kwako siyo kitu. Ndo maana tunawaambia punguzeni bangi akili zenu zikae sawa.
Miundombinu HII AMBAYO kwa sehemu Kubwa unakuta mabango yameandikwa "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"? Wadanganye ambao hawajielewi aisee.
 
Lissu ni Mwanaharakati, hafai kupewa madaraka ya juu kama Urais. Anaweza kufaa Sana akiwa Waziri Mkuu, Mkurugenzi WA TAKUKURU, Spika wa Bunge, Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali au Waziri wa Katiba na Sheria but sio kuwa Rais wa nchi.

Rais anatakiwa awe
ame " out grow "Ile phase ya "uanaharakati" .

Lissu bado ame stuck kwenye phase ya "uanaharakati"

Kingine tukimpa Lissu nafasi ya kuwa Rais tunakuwa tunamsaidia Tu kumuweka katika nafasi ya kulipa kisasi Kwa watu anao amini ni watesi wake Jambo ambalo halina maslahi Kwa TAIFA letu.

Kaka Lissu wewe unasifika na kuheshimika kama Mwanasiasa makini but kwa hili la urais, hell No! I Am sorry to tell you that you are not a good fit.

Chadema mtafanya makosa makubwa Sana kama nafasi ya kupeperusha bendera ya chama chenu mtaitoa kwa MTU mwingine tofauti na Nyalandu.

Lissu awe kwenye kampeni kumsindikiza na kukuunga mkono Nyalandu.

Kura za huruma ya Watanzania kwa Lissu ziende kwa Nyalandu.
CCM mbona mnamwogopa sana huyu mtu? Poleni sana.
 
Nipo na ww mkuu lissu kiukweli hafit kwenye urais mwamba amejaa chuki na visasi sana...ukimwangalia unaona kabisa hana spirit ya uongozi hasa ngazi ya uraisi...
 
Back
Top Bottom