Why is it sex first marriage next?

kwamba wanaotaka kula tunda kimasiharaa 😅😅😅 ni matatizo ya kiufundi tu
 
sa inakuaje unamtest Angel alafu unamuoa Prisca? au ni hulka tu mkuu!
Unajua mwanamke ni kama bidhaa dukani, lazma awe na kitu special ili kumvutia mlaji ambaye ni kidume.

Sasa unakuta labda reception mjomba sele, nyuma kama motorola bapa aijulikani mgongo umeishia wapi mwisho inaonekana miguu tu. Pengine mungu kakujalia ka rangi pendwa ka ndizi kisukari. Mlaji anaona kuna haja ya kufuatilia kwa kina zaidi kwamba huenda labda akikagua section ya mtambo huenda akapata cha kumbakisha kwako.
Ukimkonga nyoyo huko mbona habanduki tena na mipango inaanziaga hapo.

Kwahio msijiskie vibaya ni sehemu ya vetting tu.😆😆😆
 
Hiyo kanuni ya kijinga. Mwanamke anakua affected zaidi. Haya atalala na wangapi ili ampate huyo wa kumuoa. Ni kanuni ya kibinafsi sana inayokua promoted na wanaume wanaotaka kula tunda kimasihara.

Sent From Galaxy S20 Ultra
kweli kabisa.
 
Mimi sina cha kuchangia, zaidi ya kusema Id yako nzuri sana.

Ahsante.
 
Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.
Kwanini ?
 
lazima utest mitambo kwanza
 
kuna broo mmoja aliopoa dem akawa na nia ya kutest mtambo kwa siri watu wasijue maana demu alikuwa wakawaida sanaa sasa baada ya kutest mtamboo eeh mtambo ukatik jamaa kaoa😅😅
 
lazima utest mitambo kwanza
 
kuna broo mmoja aliopoa dem akawa na nia ya kutest mtambo kwa siri watu wasijue maana demu alikuwa wakawaida sanaa sasa baada ya kutest mtamboo eeh mtambo ukatik jamaa kaoa😅😅
Kuna watoto ni watamu bro acha kabisa.
 
mkuu sio kwamba tatizo ni trusting issues na hulka zenu tu.?
 
Kwasababu haifai kuchanganya haram na halali. Hatuwezi kuanza kwa kuzini alafu ndoa iwe ya baraka. Tutavurugana tu huko mbele.

Sent From Galaxy S20 Ultra
Sio kweli, vipi mkitubia nyote kabla ya ndoa ?

Pili, halali hapo ni nini na haramu ni nini pia ?
 
mkuu sio kwamba tatizo ni trusting issues na hulka zenu tu.?
Sasa kuna mtu kigeugeu kama mwanamke, mtu unapanga nae freshi mkalane muda ukifikia anakubadilishia mapigo. 🤣🤣🤣 Kwa kutumia u gentleman unapotezea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…