Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwamba wanaotaka kula tunda kimasiharaa 😅😅😅 ni matatizo ya kiufundi tuHiyo kanuni ya kijinga. Mwanamke anakua affected zaidi. Haya atalala na wangapi ili ampate huyo wa kumuoa. Ni kanuni ya kibinafsi sana inayokua promoted na wanaume wanaotaka kula tunda kimasihara.
Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Unajua mwanamke ni kama bidhaa dukani, lazma awe na kitu special ili kumvutia mlaji ambaye ni kidume.sa inakuaje unamtest Angel alafu unamuoa Prisca? au ni hulka tu mkuu!
Mimi sina cha kuchangia, zaidi ya kusema Id yako nzuri sana.Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Kwanini ?Personally siwezi kuzini na mwanaume nnaemuona ni husband material ila mwanaume kama sitaki future nae natafuta tu mtu wa kuniliwaza na company sitofikiria mara mbili.
lazima utest mitambo kwanzaSalam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
kuna broo mmoja aliopoa dem akawa na nia ya kutest mtambo kwa siri watu wasijue maana demu alikuwa wakawaida sanaa sasa baada ya kutest mtamboo eeh mtambo ukatik jamaa kaoa😅😅Unajua mwanamke ni kama bidhaa dukani, lazma awe na kitu special ili kumvutia mlaji ambaye ni kidume.
Sasa unakuta labda reception mjomba sele, nyuma kama motorola bapa aijulikani mgongo umeishia wapi mwisho inaonekana miguu tu. Pengine mungu kakujalia ka rangi pendwa ka ndizi kisukari. Mlaji anaona kuna haja ya kufuatilia kwa kina zaidi kwamba huenda labda akikagua section ya mtambo huenda akapata cha kumbakisha kwako.
Ukimkonga nyoyo huko mbona habanduki tena na mipango inaanziaga hapo.
Kwahio msijiskie vibaya ni sehemu ya vetting tu.😆😆😆
lazima utest mitambo kwanzaSalam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Kuna watoto ni watamu bro acha kabisa.kuna broo mmoja aliopoa dem akawa na nia ya kutest mtambo kwa siri watu wasijue maana demu alikuwa wakawaida sanaa sasa baada ya kutest mtamboo eeh mtambo ukatik jamaa kaoa😅😅
sijui alipewa nn maishan du dunian ni kaziKuna watoto ni watamu bro acha kabisa.
mkuu sio kwamba tatizo ni trusting issues na hulka zenu tu.?Unajua mwanamke ni kama bidhaa dukani, lazma awe na kitu special ili kumvutia mlaji ambaye ni kidume.
Sasa unakuta labda reception mjomba sele, nyuma kama motorola bapa aijulikani mgongo umeishia wapi mwisho inaonekana miguu tu. Pengine mungu kakujalia ka rangi pendwa ka ndizi kisukari. Mlaji anaona kuna haja ya kufuatilia kwa kina zaidi kwamba huenda labda akikagua section ya mtambo huenda akapata cha kumbakisha kwako.
Ukimkonga nyoyo huko mbona habanduki tena na mipango inaanziaga hapo.
Kwahio msijiskie vibaya ni sehemu ya vetting tu.
nadhan dunia inazuka na matatizo ya kimazingira pia evolution na mambo ya vib100 na mapipa sasa vijana wote ke na me wanaona ni bora kutest mtambo
Kwasababu haifai kuchanganya haram na halali. Hatuwezi kuanza kwa kuzini alafu ndoa iwe ya baraka. Tutavurugana tu huko mbele.Kwanini ?
Sio kweli, vipi mkitubia nyote kabla ya ndoa ?Kwasababu haifai kuchanganya haram na halali. Hatuwezi kuanza kwa kuzini alafu ndoa iwe ya baraka. Tutavurugana tu huko mbele.
Sent From Galaxy S20 Ultra
Yule wa JF ulimpa?Hahahahaha, daaahh!
Lishakuwa tatizo
Sasa kuna mtu kigeugeu kama mwanamke, mtu unapanga nae freshi mkalane muda ukifikia anakubadilishia mapigo. 🤣🤣🤣 Kwa kutumia u gentleman unapotezea tu.mkuu sio kwamba tatizo ni trusting issues na hulka zenu tu.?