Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Hapana ni mzigo wa kujitakia kuishi na mtu wa maisha bila ya kuwa na uhakika atakupa furaha ya maisha.mkuu sio kwamba tatizo ni trusting issues na hulka zenu tu.?
Wahuni, kwenye mashule, bodaboda n.kkwani hawa wa sasa wanatolewa upya na nani?
Hapana ni mzigo wa kujitakia kuishi na mtu wa maisha bila ya kuwa na uhakika atakupa furaha ya maisha.
Kuna haja gani umuoe, asikuridhishe, ukamuacha ukaoa mwingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mtu anakupenda ndiyo maana hawezi kujizuia.sio asipende ila isiwe ndo kigezo kikuu kwamba no sex no love. hizi haraka huwa ni za nini
Kwangu hamna shida,Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Ndo Maana kukawepoo mda wa kuchunguzana maovu ya mtu huwa hayajifichi lakini yote matokeo ya dhambi, ndo maana tunasumbuka hivi.
mambo gani sasa hayo kumueka mtu pending akisubiri ndoa kumbe we unatest tu kwanza. mwisho wa siku ushamzoea unatafuta mpya
watoto watamu wanakuaje na wasio watamu wanakuaje mkuuKuna watoto ni watamu bro acha kabisa.
Mimi binafsi sex sio necessary sanakama waelewa wapo basi wachache sana.
chukua maziwa yachanganye na mwarobaini alafu glass ya pili changanya na sukari. nisubiri nakuja kukujibu.
NatureSalam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.
Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.
Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
ShameKuna girl aliniambia No Sex Until Marriage kwakua nampenda nikakubali......... Kumbe I was Stupid Washkaji wakanisaidia kumbikiri akiwa chuo mwaka wa 2, wakati huo namhudumia kama mke wangu since nimekutana naye tukiwa kidato cha 3.