Why is it sex first marriage next?

Why is it sex first marriage next?

Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Kwangu hamna shida,
Sex after marriage or before marriage poa tu.
Ajue kupika tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna girl aliniambia No Sex Until Marriage kwakua nampenda nikakubali......... Kumbe I was Stupid Washkaji wakanisaidia kumbikiri akiwa chuo mwaka wa 2, wakati huo namhudumia kama mke wangu since nimekutana naye tukiwa kidato cha 3.
 
Salam kwenu, bila shaka mpo salama na mola aendelee kutulinda amen.

Jamani kuna hili suala binafsi nashindwa kuelewa kwa hali iliyopo kwa sasa kwamba kama mwanaume hajakutana kimwili na mtarajiwa wake basi inakuwa ngumu kuendeleza uhusiano na anaweza kughairi hata kuoa ni kama kisheria fulani hivi kinachokua kwa kasi ambacho wanaume wamejiwekea.

Tatizo huwa ni nini, like why is it so important?
Nature
 
Kuna girl aliniambia No Sex Until Marriage kwakua nampenda nikakubali......... Kumbe I was Stupid Washkaji wakanisaidia kumbikiri akiwa chuo mwaka wa 2, wakati huo namhudumia kama mke wangu since nimekutana naye tukiwa kidato cha 3.
Shame
 
Back
Top Bottom