Why is Tanzania not a member of the The East African standby Force?

Mzee huwa unajichanganya sana, Mbona umesema Al shabaab hawana Ugomvi na Tanzania, mnatukingia Kifua dhidi ya Nani?

Mashababi hawana ugomvi na nyie maana hamjahusika kwenye kuwazuia kutanua, hampo kwenye kundi linalowanyima usingizi, lakini ikitokea tuwaache wafanye yao na kuanza kutanua, utawaskia hadi Kigoma. Wao wako kama ISIS, yaani wakipata fursa ya kutoka, hutoka na kuzagaa kote.
Hapa tu hamjahusika na ugomvi wao lakini vijana wenu wanakuja kujilipua Kenya na kwenda kufanya ugaidi Msumbiji, inaonyesha hapo kwenu jinsi vijana wanatamani sana kinuke, siku mtie guu wapate sababu. Acheni kukejeli juhudi zetu za kudhibiti haya mazombi maana siku tukishindwa na kuachia, mtatamani dunia ipasuke.

Ukipata fursa kaitazame hii movie

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ombeni sana kdf wawndelee kuwadhibiti wasipenye hadi tanzania...manake vijana wa kitanzania walivyokuwa na shobo na al-shabab..sijui itakuwaje
Wala hawana bugdha na Tanzania nchi ya asali na mawiza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Boss, eti mlianzisha SADCC? Alafu mkataba ukatiwa saini Lusaka, Zambia na makao makuu yakawa Gaberone, Botswana? 😕😕😕 Mlitumia ile sayansi yenu pendwa ya kiafrika kuianzisha au?
Hao wakina kaunda walitaka makao makuu yawe Arusha lakini Nyerere alikataa kwasababu alitaka makao makuu yawe karibu na nchi hizo za ukombozi ndiyo wakayapeleka huko Botswana.

Nyerere hakuwa na roho mbaya, hata gari la kwanza (Land Rover) la wapigania uhuru wa mau mau wakati Mzee Kenyatta akiwa jela, TANU ilitoa bure.

Nyerere pia alitaka kusubiri uhuru wa Tanganyika ili kenya, Uganda na Tanganyika zipate uhuru na kuungana kama nchi moja, tena alipendekeza Mzee kenyatta ndiyo awe Rais wa kwanza wa Afrika mashariki.
 
Hao wakina kaunda walitaka makao makuu yawe Arusha lakini Nyerere alikataa kwasababu alitaka makao makuu yawe karibu na nchi hizo za ukombozi ndiyo wakayapeleka huko Botswana.

Nyerere hakuwa na roho mbaya, hata gari la kwanza (Land Rover) la wapigania uhuru wa mau mau wakati Mzee Kenyatta akiwa jela, TANU ilitoa bure.

Nyerere pia alitaka kusubiri uhuru wa Tanganyika ili kenya, Uganda na Tanganyika zipate uhuru pamoja na kuungana kama nchi moja, tena alipendekeza Mzee kenyatta ndiyo awe Rais wa kwanza wa Afrika mashariki.
Thibitisha haya madai yako boss, la sivyo itakuwa ni hadithi tu, za kaka sungura na mzee kobe. Emperor Haile Selasie na nchi yake ya Ethiopia ndio waliwapa Mau Mau hifadhi, ufadhili na silaha. Nyinyi wengine mlikuwa busy mki'bargain' na mzungu kuhusu siku ambayo mtapewa uhuru. Huku wapiganaji wa Mau Mau wakidondoshewa mabomu na mkoloni kwenye kambi na maficho yao ndani ya misitu ya Ml. Kenya na Aberdare.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ombeni sana kdf wawndelee kuwadhibiti wasipenye hadi tanzania...manake vijana wa kitanzania walivyokuwa na shobo na al-shabab..sijui itakuwaje
Na hivyo ndivyo ilivyo mlinzi wa kweli ni Mungu wala sio majeshi😂😂😂
Tusadieni maombi pia
 
Tumefaulu kuwakingia nyie kifua, maana haya mashababi yakiachiwa yataiteka Afrika Mashariki yote, hivyo tumeyabana yamebaki ndani. Huwa wanachomoka mmoja mmoja anajitoa mhanga, ila hawana tena uwezo wa kuteka nchi yoyote.
Huko kwenu mlivyo na migawanyiko ya kidini, mashababi yangepata raha sana kama yengafaulu kufika huko, ila tumeyadhibiti.
acha kujisifu wewe hamkwenda kupigana na alshababu ili kuilinda africa mashariki bali mlijipeleka kwa kisa eti wanawateka watalii wenu na kilichowakuta mnakijua, mbona alshabab hawakuivamia tz instead wakaja kwenu, alafu wewe huijui TZ eti kuna mgawanyiko wa kidini hahaha embu kula maharage hayo ushibe ukalale
 
"Mkombozi" wa Afrika ameshindwa kupeleka majeshi Somalia atawaezaje kuwa standby force hapa Afrika?
Somalia ni vita mlivojitakia wenyewe hakuna mtu alieatuma huko😆😆😆 leo hii mumekalia kuti kavu munatafuta pakutokea
 
Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.

Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
Sisi atuitaji kuungana kupigana tunajitoshereza kijeshi nyinyi dhaifu unganeni ili mpate nguvu hivi wakenya wanadhani tz kuna nchi inaiogopa hapa Africa hata SA atuiogopi ndiyo maana wakati wa kupigania Uhuru tulikuwa na maadui wazungu wa kila aina kuanzia wareo na makaburu wa SA ila wote waliogopa kuleta upumbavu kwenye ardhi yetu
 
Tumefaulu kuwakingia nyie kifua, maana haya mashababi yakiachiwa yataiteka Afrika Mashariki yote, hivyo tumeyabana yamebaki ndani. Huwa wanachomoka mmoja mmoja anajitoa mhanga, ila hawana tena uwezo wa kuteka nchi yoyote.
Huko kwenu mlivyo na migawanyiko ya kidini, mashababi yangepata raha sana kama yengafaulu kufika huko, ila tumeyadhibiti.
Haya tumekusikia wasalimie kibera waambie watz tunatamani maisha yenu
 
Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.

Sisi si wapumbavu kama nyie,sasa tupambane na al-shabaab, wametukosea nini???
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ombeni sana kdf wawndelee kuwadhibiti wasipenye hadi tanzania...manake vijana wa kitanzania walivyokuwa na shobo na al-shabab..sijui itakuwaje
Al shababu wanataka kuikomboa Kenya kutoka Kwa vibaraka wa wazungu wa serikali feki inayo waifadhi RAIA wake kwenye mazizi ya slum huku ardhi yote wakimilikishana na wazungu
 
Thibitisha haya madai yako boss, la sivyo itakuwa ni hadithi tu, za kaka sungura na mzee kobe. Emperor Haile Selasie na nchi yake ya Ethiopia ndio waliwapa Mau Mau hifadhi, ufadhili na silaha. Nyinyi wengine mlikuwa busy mki'bargain' na mzungu kuhusu siku ambayo mtapewa uhuru. Huku wapiganaji wa Mau Mau wakidondoshewa mabomu na mkoloni kwenye kambi na maficho yao ndani ya misitu ya Ml. Kenya na Aberdare.
Wakenya amjui kitu zaidi ya kingereza cha kumwabudu mzungu hata hayo uyajui kuusu nyerere !!!!!!!????
 
Back
Top Bottom