Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walilipua embassy ya USAAnd why are you in East Africa in the first place? Zile Bomb zililipuliwa NAIROBI na Dar zilifanyikia other countries ama ni ujinga inawasumbua?
Ni Bibi wa M23 😂😂😂Mkombozi Wa Africa sio Bwana Wa Vita.
TPDF/JWTZ(Tanzania p*s*y D*c*ed Forces/Jeshi la Waoga Tanzania) lishanyolewa na watoto wa mapanga kule kongo sembuse Shababu.😂😂Hao Alshabab tumewasikia kwenye clip yao wakisema "salam Tanzania msidhan tumewaachia tutaingia......."
Wakijaribu yale missilles ya gambosh yatawahusu.
Yaani unataka Tanzania iingie vitani na watu ambao hatuna interest nao? Vita imeanzishwa na watu wengine wakenya wakavalia njuga sasa limewashinda mnataka kuhangaisha na wengine?Watz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
Kenya D*ck F*c*ed walishuhulishwa na mtu mmoja pale Waste gate, waliishia kuiba 😀 shut up tukizungumza kwenye Defence forces. Tofautisha kati ya Jeshi la Wananchi Tanzania na Kikosi cha majambazi kenya 🙂TPDF/JWTZ(Tanzania p*s*y D*c*ed Forces/Jeshi la Waoga Tanzania) lishanyolewa na watoto wa mapanga kule kongo sembuse Shababu.😂😂
Sasa ishu ya wacomoro inahusiana vipi na harakati za al-shabaab??nyie mbona vilaza sana..!Wakomoro walikuwa wamewakosea nini? ama ni vile ni wanyonge?😂😂
Hata mm naumia sana lazima na sisi tuwe na slum hata moja tz siyo slum zote zipo Kenya na sisi ukigoogle tz slum angalau tuwemo nawapongeza Kenya kwa kuwa na slum za kutosha
Hicho kikosi kazi zake ni zipi??? Vp washafanya mission yeyote??? Au ndio kuzuia uharamia"Mkombozi" wa Afrika ameshindwa kupeleka majeshi Somalia atawaezaje kuwa standby force hapa Afrika?
Sasa Anko tukawasaidie somalia kwan wanafaida gani kwetu??nyi majiran wenu hao mkomae tuu kuuana hahahahaWatz walivyo waoga, waliogopa kujiunga kwenye hilo kundi baada ya kuskia linaweza kutumika kupigana dhdi ya Alshabaab, yaani ukitaja chochote kinachohusu mashababi, Watz hupitia mbali kama wamekunja mikia....hehehe.....ila inabdi tuwaelewe maana mziki dhidi ya hawa magaidi unahitaji usiwe dhaifu, kumbuka Watz walivyosumbuliwa na kuhangaishwa na vjana wao wanywa gongo/chang'aa kule msitu wa Amboni kwa muda mrefu tu, hao hao wanywa gongo waliwasumbua sana Kibiti, sasa ikiwa wanaweza kulizwa na vijana dhaifu kiasi hicho, je wakivurugwa na mashababi bin shetwan wataihama nchi.
Kuna kipindi Alshabaab walihojiwa na kuulizwa mbona wameikosesha amani Tanzania, wakasema hawana ugomvi na Tanzania na hawapo huko, kwamba wanaowaliza Watz ni vijana wao tu wa Kitanzania na wala sio Alshabaab. Hivyo, ni jambo la kueleweka kwanini Watz hawawez kuthubutu chochote wala hata kuelekeza kidole dhidi ya mashababi, muungano kama huu wa majeshi ilipotajwa utahusika kuwapiga mashababi, Watz walikaa mbali nawo.
Nasikia kuna siku mlipuko na risasi zilitanda Dar usiku. Wanaume na midevu yao wakaanza kukimbia usiku wa manane wakielekea mikoani wakiwa wamevalia chupi tu. 😀 Cc. MK254. Sasa mnategemea nini kutoka kwa jeshi lao? Jirani zetu ni waoga kupindukia. Eti mnangoja wajiunge na vikosi ambavyo vinaenda kupambana na mazombie Somalia? Hizo ni ndoto za mchana.
Bahati mbaya hiyo ni unplanned town sio slums.Sasawa....naona makaazi ya middle class dar...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1161337
Kumbe umesikiaNasikia kuna siku milipuko na risasi zilitanda Dar, usiku. Wanaume na midevu yao wakaanza kukimbia usiku wa manane wakielekea mikoani, wakiwa wamevalia chupi tu. 😀 Cc. MK254. Sasa mnategemea nini kutoka kwa jeshi lao? Jirani zetu ni waoga kupindukia. Eti mnangoja wajiunge na vikosi ambavyo vinaenda kupambana na mazombie Somalia? Hizo ni ndoto za mchana!
Endeleeni kujifarijiTafuta taarifa za mabomu ya Mbagalla, yaani hiyo siku kila Mtanzania aliyeko Dar alifuata njia ya kwao, sasa sijui Wazaramo walielekea upande gani.
Yaani hawa waoga sana, waombe tuendelee kuwakingia kifua kwa hili la alshabaab.
Bahati mbaya hiyo ni unplanned town sio slums.
Huwez pafananisha hapo na kibera
Bahati mbaya hiyo ni unplanned town sio slums.
Huwez pafananisha hapo na kibera