Your take yako ni mbovu sijui kama unajua GENETICS na VARIATION ipasavyo
Asante mkuu.
Yaani maneno hayo mawili uliyoya capitalize kwa mtu anayeelewa biology yanamaliza mjadala.
Hata kama uondoe maneno mengine yote kwenye post yako.
Uandike tu "GENETICS, VARIATION". Ushavunjavunja hoja ya upande wa pili.
Yaani hii principle ya diversity iko so deep kiasi kwamba hata ukiondoka katika biology, ukienda kwenye Chemistry huko, utakuta kwamba watu wameweza kupata stronger and more efficient materials kwa kutumia alloys, which is basically mixing metals with foreign elements in order to strengthen the product.
Halafu unakuta mtu anatetea genetic interbreeding kwamba ndiyo source ya intelligence.
Interbreeding, if anything, is the cause of autism and mental health problems.
Of course the other way to look at this is that interbreeding is the source of autism and mental health problems, the Jews interbred, they ended up with mental health problems (kuna accounts kibao, mojawapo ikiwa ya mama mfagizi wa Einstein aliyekuwa anasema kwamba Einstein alikuwa na kichaa) and the mental health problems were advantageous in certain intellectual pursuits.
If you watch the American comedy show "The Big Bang Theory" and know a thing or two about autism you would agree that Sheldon, the protagonist, is exhibiting almost every sign of being in the autism spectrum (lack of social skills, fixation with perfection, superiority complex etc). But he is also a brilliant physicist not only despite of being in the autism spectrum, but maybe because of it.
Ukisoma historia ya mtu kama Einstein, on top of huo utamaduni wa kusoma uliofanya mjomba wake ampe kitabu kilichomfanya afikirie what is it like to travel at the speed of light, yeye mwenyewe alikuwa na a vivid imagination and a horrible sense of coordination/
Kwa hiyo there is a case to be made that inawezekana hawa watu wame interbreed, wakapata undondocha wa ku focus kwenye kitu kimoja tu, wakauchanganya na utamaduni wao wa kusoma, wakatokea kama wana advantage dspite the interbreeding.
Which would validate those who say interbreeding can promote "intelligence".
But at this point, this is a conjecture that needs more studies and some solid hair splitting.
Someone said the true mark of intelligence is the ability to entertain two opposing positions at the same time.
I think I have done just that.