Why Kenya may have got short end of the stick in SGR locomotives deal

Magu alishasema hatafukua makaburi. Lakini kwa hili la umeme mnaliwa kweli kweli.
Hayo Magu aliyasema hafukuwi kuwanyamazisha walio kuwa wanampigia makele, mara tumbua huku mara tumbua kule (miluzi mingi humpoteza mbwa). Lakini chini chini, makaburi yanafukuliwa usiku na mchana. Uliza watu wa ndani na wafanyabishara wajanja janja watakuambia.
Halafu umesahahu yule mhindi mkenya alivyo tuchezea akili na shughuli ya Tanesco? Mkuu anajaribu kutafuta kila njia kuipiga deki Tanesco lakini majanga ni mengi.

Kenyan businessman in $183m scandal involving senior govt officials in Dar
 
Nazifahamu taarifa za huyo Mhindi jinsi aliwatafuna, ila nimesoma hotuba ya Zitto Kabwe, yaani bado kumbe mnalipia hela nyingi sana kwa ajili ya TANESCO. Sasa sielewi ni majipu yapi mnayoyatumbua kama hayo makubwa mumeyafumbia macho.

Halafu hizi tumbua tumbua sijui mnatumia formula gani maana, mumempiga chini mkuu wa TANESCO kisa kaongeza tariff ya umeme ilhali hayo hayakua maamuzi yake binafsi. Kuna jamaa mwengine mlimpiga chini nikabaki kushangaa, anaitwa Tito, alikua mkurungezi wa RAHCO, huyo jamaa kaanzisha shughuli nzima ya SGR kwenye awamu ya muheshimiwa Kikwete.

Aliandika proposal yote na kufukuzia Wachina kila siku hadi ikawa deal. Leo hii naskia yupo jela, sijui ilikua vipi. Halafu pia naskia mradi huo mnataka kuwapa Waturuki, yaani Mchina atoe hela Mturuki anufaike na mradi. Sipati picha.
 
Ile standard gauge yetu toka kampeni mpaka leo baba nanii anaisema tu,
 
Chinese president Xi jinping took a very ugly looking train while on state visit to Switzerland - Davis talks.
Its amazing that some here are focussed on the trains beauty for hauling cargo.
 
Nazifahamu taarifa za huyo Mhindi jinsi aliwatafuna, ila nimesoma hotuba ya Zitto Kabwe, yaani bado kumbe mnalipia hela nyingi sana kwa ajili ya TANESCO. Sasa sielewi ni majipu yapi mnayoyatumbua kama hayo makubwa mumeyafumbia macho.

Halafu hizi tumbua tumbua sijui mnatumia formula gani maana, mumempiga chini mkuu wa TANESCO kisa kaongeza tariff ya umeme ilhali hayo hayakua maamuzi yake binafsi. Kuna jamaa mwengine mlimpiga chini nikabaki kushangaa, anaitwa Tito, alikua mkurungezi wa RAHCO, huyo jamaa kaanzisha shughuli nzima ya SGR kwenye awamu ya muheshimiwa Kikwete.

Aliandika proposal yote na kufukuzia Wachina kila siku hadi ikawa deal. Leo hii naskia yupo jela, sijui ilikua vipi. Halafu pia naskia mradi huo mnataka kuwapa Waturuki, yaani Mchina atoe hela Mturuki anufaike na mradi. Sipati picha.
Tz is paying those guys 400 million per day it's a 25 year contract
 
Tanesco ni mikataba mibovu ya nyuma upuzi huu hatufanyi tena, kama ikitokea siku moja ukasafiri halafu unaridi unakuta mdogo wako kaandikiana mkataba na jirani atampa maji bure na gharama zote inalipa wewe, utafanyaje? Ukienda mahakamani kubadili mkataba, unadunda huku hela zinakutoka bila kupenda.

Huyo wa RAHCO alienda Indian akapiga dili na kununua mabehewa ya mizigo substandard, hatutaki ujinga ndio maana nakuambia tunafukuwa usiku na mchana.
 
The Chinese Government has manifested its intention to start with the construction of a high speed railway in Tanzania by the year 2018, when it is expecting to finish the second one of its kind in Africa which is currently being developed in Kenya by China Communications Construction Company Limited (CCCC). As explained in a press conference in Beijing by Li Tie, Director General of the China Center for Urban Development (CCUD), a Chinese Governmental institution which carry out foreign aid projects, the new high speed railway in Tanzania would be part of the China’s One Belt One Road initiative (OBOR) launched in 2013. The initiative which started last year with the construction of the second high speed railway in Kenya connecting coastal city Mombasa with its capital Nairobi, joins the list of high speed railways in Africa that started with the currently operating in Angola inaugurated early this year. Tanzania would therefore be the third country developing high speed railways in Africa as part of the OBOR to promote trade between the Sub-Saharan Region, Europe and Asia to strengthen partnerships among the countries along the Belt and Road. OBOR consists of two main components, the land-based “Silk Road Economic Belt” (SREB) and oceangoing “Maritime Silk Road” (MSR). SREB is expected to boost trade between China, Europe and Africa to over USD 2.5 trillion a year in a decade from now. Currently the total trade between China and Africa is at USD 160.0 billion according to The Economist, with Tanzania representing about 1.0%, while with Europe it is at USD 466.1 billion according to Reuters.

Read more at: China To Build Tanzania High Speed Railway By 2018 - TanzaniaInvest and follow us on www.twitter.com/tanzaniainvest
 
Tanesco ni mikataba mibovu ya nyuma upuzi huu hatufanyi tena, kama ikitokea siku moja ukasafiri halafu unaridi unakuta mdogo wako kaandikiana mkataba na jirani atampa maji bure na gharama zote inalipa wewe, utafanyaje? Ukienda mahakama kubadili mkataba, unadunda huku hela zinakutoka bila kupenda.

Huyo wa RAHCO alienda Indian akapiga dili na kununua mabehewa ya mizigo substandard, hatutaki ujinga ndio maana nakuambia tunafukuwa usiku na mchana.

Bwana Tito hakupigwa chini kwa ajili ya mabehewa, hivi wewe huwa unafuatilia haya mambo au unaandika tu. Yeye kilichomsibu ni utoaji wa kandarasi kwa ajili ya SGR aliyoipambania kuanzia mwanzo.

Hayo ya mabehewa yanawahusu TRL na hayagusi watendaji wa RAHCO.
 
Wewe unasomaga ya magazeti unafikiri hayo hayo ndio yanafaa, vingine tunakupakulia vya jikoni unafikiri tunakukorogea sumu. Nani mwangalizi wa assets za TRL? Kuanzia reli mpaka mabehewa? TRL kazi take ni uendeshaji wa shirika sio ununuzi tuu.
 
Nazifahamu taarifa za huyo Mhindi jinsi aliwatafuna, ila nimesoma hotuba ya Zitto Kabwe, yaani bado kumbe mnalipia hela nyingi sana kwa ajili ya TANESCO. Sasa sielewi ni majipu yapi mnayoyatumbua kama hayo makubwa mumeyafumbia macho.

Halafu hizi tumbua tumbua sijui mnatumia formula gani maana, mumempiga chini mkuu wa TANESCO kisa kaongeza tariff ya umeme ilhali hayo hayakua maamuzi yake binafsi. Kuna jamaa mwengine mlimpiga chini nikabaki kushangaa, anaitwa Tito, alikua mkurungezi wa RAHCO, huyo jamaa kaanzisha shughuli nzima ya SGR kwenye awamu ya muheshimiwa Kikwete.

Aliandika proposal yote na kufukuzia Wachina kila siku hadi ikawa deal. Leo hii naskia yupo jela, sijui ilikua vipi. Halafu pia naskia mradi huo mnataka kuwapa Waturuki, yaani Mchina atoe hela Mturuki anufaike na mradi. Sipati picha.
Its a loan brother, not aid. Me to I would like to see turkey doing this. Chinese things done in Africa are substandard.
 
Wewe unasomaga ya magazeti unafikiri hayo hayo ndio yanafaa, vingine tunakupakulia vya jikoni unafikiri tunakukorogea sumu. Nani mwangalizi wa assets za TRL? Kuanzia reli mpaka mabehewa? TRL kazi take ni uendeshaji wa shirika sio ununuzi tuu.

Wacha kukurupuka na mijsifa ya ovyo, tumia muda wako kuuliza wadau upate ukweli kabla ya kuja kujianika kwa aibu humu.
Haya masuala ya usafiri nayafahamu ndani na nje, unafaa ujue kwamba RAHCO wanashughulkia miundo mbinu na walibuniwa baada ya serikali la kubinafsisha shirika la TRL na kukabidhi mhindi.
Baada ya mhindi kuachia, bado RAHCO na TRL hawajawa merged, japo serikali ipo kwenye mikakati ya kuwafanya wawe shirika moja. Hapo awali kila shirika lilikua na mkurungezi wake, lakini Magu amemteua mkurungezi mmoja ndiye anashikilia mashirika yote mawili kwa sasa, hii ni baada ya kuwatumbua akina Tito.
TRL wao wanahusika katika manunuzi ya rolling stock, yaani wagons na masuala yote ya signalling and operations, lakini RAHCO ambaye alikua kama wakala msimamizi wa TRL wakati ilikua imebinafsishwa, yeye anashughulika na miundo mbinu kwa mfano reli.

Na ndio maana walipotumbuliwa, mkurungezi wa TRL aliponzwa na manunuzi ya mabehewa naye mkurungezi wa RAHCO akaponzwa na SGR. Kuna mswada utapitishwa bungeni ili hayo mashirika yawe merged kabisa maana yalitenganishwa kisheria.
Japo pia inawezekana operator mwengine tofauti na TRL anaweza akaibuka na kukabidhiwa operations za SGR ikikamilika.
 
Mimi nimekuambia, unayoisema hapa ndio kama hayo ya magazetini, kuna majipu mengi madogo madogo ambayo haya wezi kuletwa hadharani. Tumekuonjesha mchuzi sasa unataka kujua siri ya mpishi, no, huko hunipeleki mengine sio ya kuropoka mitandaoni. Halafu, mbona umemshikilia bango huyu jamaa? Kunamasilahi binafsi au?
 
Binafsi sitegemei magaeti kama unavyodhani, masuala ya usafiri nayafahamu kwa undani zaidi ya unavyofikiri.
Halafu simshikilii bango bwana Tito, pamoja na kwamba alifanya kazi kubwa kwenye uanzishaji wa mchakato wa SGR. Lakini asingekubali kutia saini kwenye procurement iliyofanya shirika liishie kwenye single sourcing, hata kama ilikua kwa pressure kali.
 
Hayo unayo ongelea yana tofauti gani na yaliyo andikwa kwenye link za hapo chini? Nimekuambia, kuna majipu mengi madogo madogo yameunganika na issue hii, ukiyachokonowa sana utafika mpaka kwa wakubwa na ukizidi kuchokonowa zaidi, utafikia mpaka kwa kina MK254 haha.

RAHCO officials in court over $500,000 corruption case

Fired Rahco boss in Sh15tr scam
 
Sijaelewa links za magazeti unaleta za nini, ipi taarifa inayomhusisha Tito na suala la ufisadi wa ununuzi wa mabehewa ya TRL.
 
Hivi umesoma hata nilicho andika umekurupuka? Nyimbo zote ulizo andika huko nyuma, zinafanana na yaliyo andikwa kwenye links hizo. kwamba huyo jamaa ametimuliwa kwa kusaini mkataba unaobana Rahco. Lakini mimi na kwamba kuna mengine ya ziada ya hayo, kumbuka huyu jamaa alitimuliwa wiki mbili tuu baada ya rais kuingia madarakani.
 
Wewe Annael na ushabik!!! Basi kama haya madai yako ni kweli, basi Dar-Kapiri, dist. 1400km should take around 11hrs. But if u include other factors mentioned in that article, ie the terrain, stoppovers, the time'd take to pick up speed,etc then 20hrs!
Huyo th th m anatetea ujinga Kenya hoyeeee hata kama locomotive si ya kisasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Why then does it take upto 48-50hrs to journey from Dar to Kapiri Mposhi if the TAZARA trains are that fast?
distance from dar es salaam to kapiri rail distance is 1860km and not 1400 further there is borderpost at Tunduma which increses further delay that is why it takes 48hrs but without any border stoppage it normally takes 25hr that is Tazara SGR built from 1970 to 1975 and is far better than kenyas.
 
Back
Top Bottom